Chadema msisahau: Usipojiandikisha unapoteza haki yako ya kupiga na kupigiwa kura. Msije kulalamika baadae

Wanaogoma kujiandikisha siyo CHADEMA peke yao wapo hata wanaccm wengi tu wanaojitambua ambao wamegoma kujiandikisha kwa kutokuridhishwa na kile wanachofanyiwa watanzania wenzao kwa kisingizio cha kuwadhibiti wapinzani.
Hata mimi nisie na chama nimegoma kabisa kujiandikisha...
 
Wanaogoma kujiandikisha siyo CHADEMA peke yao wapo hata wanaccm wengi tu wanaojitambua ambao wamegoma kujiandikisha kwa kutokuridhishwa na kile wanachofanyiwa watanzania wenzao kwa kisingizio cha kuwadhibiti wapinzani.
CCM waliogoma kujiandikisha ni wale waliozoea mlungula......safari hii uchaguzi hauna rushwa!
 
Ni haki ya kila raia kuanzia umri wa miaka 18 kupiga na au kupigiwa kura.

Kama una haki ya kupiga na au kupigiwa kura hiyo inamaanisha una haki pia ya kutopiga na au kutopigiwa kura.

Sasa mtu kaamua asipige kura, wewe haitakiwi kukuuma. Achana naye.
 
Ni katika kukumbushana tu.

Nichukue fursa hii kumpongeza mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema kwa kulielewa hili na kuwaandaa wapiga kura wake.

Maendeleo hayana vyama!
CHADEMA wajiandikishe kupiga kura wakampigie nani wakati CCM wameshasema watashinda kwa asilimia zote na nimarufuku kumtangaza mpinzani aliyeshinda kuwa kashinda?.
 
Siwabembelezi bali nawakumbusha bure!

Maendeleo hayana vyama!
.
IMG_20191013_192447.jpeg
 
Kajiadikishe wenyewe alafu mpigie kura wenyewe mshangilie wenyewe mje kutunyanyasa wenyewe
 
Back
Top Bottom