Chadema msisahau: Usipojiandikisha unapoteza haki yako ya kupiga na kupigiwa kura. Msije kulalamika baadae

Hao akina Mdee, Mnyika, na Kubenea walipataje ubunge !? Hapa mtaani kwangu Diwani ni chadema na mwenyekiti ni chadema. Walipataje hawa ? Ulofa mbaya sana !

Kwani hao walishinda chini ya utawala wa awamu hii?

Looks like your ability to digest is zero.

Watu wanaongelea udikteta wa awamu hii. Wewe unakuja na mifano ambayo ni matokeo ya chaguzi ambazo hazikusimamiwa na huu utawala wa kidikteta wa awamu hii. Elewa hoja badala ya kurukia kujibu kabla ya kufikiri na kutafakari.
 
Ni katika kukumbushana tu.

Nichukue fursa hii kumpongeza mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema kwa kulielewa hili na kuwaandaa wapiga kura wake.

Maendeleo hayana vyama!
Jee kura zina heshimika? Kwamba matokeo ya kura ndio yanayotangazwa na sio utashi wa "mlipaji mshahara" wa muhesabu kura?
 
Back
Top Bottom