Chadema msiba wa Salome hawahusu?

"Dereva wa lori hilo, Peter Mangula, mkazi wa Makambako, wilayani Njombe, aliyenusurika katika ajali hiyo, alitoroka baada ya ajali hiyo na Jeshi la Polisi limeahidi kumsaka mpaka apatikane."

Huyo dereva jina lake la kati ni nani? au ana majina mawili tu.
 
ni wapi Zitto alidai hayo unayoyasema, kama unataka kujua habari za Zitto nenda kwenye tovuti ya Bunge umpigie simu na umuulize. Au na yeye ni fisadi mwenzio pia? mwenzako fisadi mwanakijiji anafanyaga hivyo anapiga simu na kuuliza wewe unashindwa nini? halafu unataka kujilinganisha naye. halo halo..!! la mbuzi.

spin at its best, nimesema kuna watu wanahusisha kifo kile na mambo ya siasa, na wengine wakidai kwamba zitto alitaka kuuliwa na nikataka nipate machache toka kwake binafsi !

kuhusu mie kumpigia simu nadhani hapo umechemsha bigi taimu, kuna threads ngapi humu za JK, EL, RA, CCM, kwa nini msiwapigie simu nao pia na muache kuandika hapa ??
 
ni wapi Zitto alidai hayo unayoyasema, kama unataka kujua habari za Zitto nenda kwenye tovuti ya Bunge umpigie simu na umuulize. Au na yeye ni fisadi mwenzio pia? mwenzako fisadi mwanakijiji anafanyaga hivyo anapiga simu na kuuliza wewe unashindwa nini? halafu unataka kujilinganisha naye. halo halo..!! la mbuzi.

Mhhh,

hadi bi senti amekuja kumtetea Zitto?

Naona MUNGU amesikia maombi ya watanzania
 
Labda tuwaulize wanataka nini?najua wanaangalia maandiko haya.Hili jambo linakera sana na kama wanavyosema sijui mapinduzi ya kifikra sijui nini tena ndio haya haki ya nani hizi ni mbio za baiskeli ya barafu kwenye jua kali.

Hawa hawa wakipewa nchi watatukandamiza na kutufutilia mbali sisi "wapinzani" wao.Huyo mod asema kwa nini anafuta thread hiyo.Huu ni utawala wa kiimla

sasa nadhani wale members ambao hawakuweza kuona nini nilichokuwa nazungumzia siku zooote waweze kuona hapa !! mbaya zaidi wakitajwa kwenye list ya mafisadi wanakurupuka haraka haraka, na kujipa namba eti yeye namba 1, fulani namba 2 ! am not with that, tabia hiyo acheni jamani, mshakuwa wakubwa ! hamuwezi kuwa kwenye limelight forever, mlidhani nilikuwa naongopa ??
 
Mhhh,

hadi bi senti amekuja kumtetea Zitto?

Naona MUNGU amesikia maombi ya watanzania


suala hapa sio kutetea viongozi, bali hoja ! shukrani kwa kutueleza nia yako ya kuwa hapa JF !!

wengine napenda mchukue nafasi kuona hilo !!
 
Labda tuwaulize wanataka nini?najua wanaangalia maandiko haya.Hili jambo linakera sana na kama wanavyosema sijui mapinduzi ya kifikra sijui nini tena ndio haya haki ya nani hizi ni mbio za baiskeli ya barafu kwenye jua kali.

Hawa hawa wakipewa nchi watatukandamiza na kutufutilia mbali sisi "wapinzani" wao.Huyo mod asema kwa nini anafuta thread hiyo.Huu ni utawala wa kiimla

mhhh,

kile nilichosemwa mwanzo kimethibitishwa hapa.

Nia kubwa hapa ni kupondea JF ili wasomaji wapya wakose picha.
hii kampeni yenu itashindwa.

JF is here to stay. Wamesikia kuwa mikataba iliyosainiwa na JK akiwa madini imevuja na itawekwa hapa sasa wameanza kutapatapa
 
sasa nadhani wale members ambao hawakuweza kuona nini nilichokuwa nazungumzia siku zooote waweze kuona hapa !! mbaya zaidi wakitajwa kwenye list ya mafisadi wanakurupuka haraka haraka, na kujipa namba eti yeye namba 1, fulani namba 2 ! am not with that, tabia hiyo acheni jamani, mshakuwa wakubwa ! hamuwezi kuwa kwenye limelight forever, mlidhani nilikuwa naongopa ??

here i go again !
 
Mimi sijakuelewa kwanini unapiga vigele gele kwa kifo cha Mama mbatia?

Kwangu mie kifo cha mama mbatia ni kama kifo cha wamama wengi Tanzania wanaokufa kila siku kwa uzembe na ufisadi wa serikali ya sisiemu. Kama mama mbatia naye ni kiongozi wa sisiemu na alikuwa hajafanya chochote kusaidia hilo, sioni sababu yoyote ya kuhuzunishwa na kifo cha mtu mmoja wakati maelfu wanakufa kimya kimya kila siku!
 
Za saa hivi mheshimiwa !
Pole sana kwa kazi, na hongera kwa kulitumikia taifa letu.
Mimi binafsi nina maswali machache ambayo ningependa uyaclear wewe binafsi na sio kama chama. Tokea kifo cha mama Mbatia (Mungu amrehemu) kumetokea, maneno meeeengi sana ya kisiasa hasa tena hapa yakiongozwa na wafuasi wa Chadema tawi la JamboForums. Sasa mheshimiwa, wewe kama Zitto (sahau siasa kwa dakika moja) unachukuliaje hili suala zima la watu kuhusisha kifo cha mama Mbatia na siasa, wengi wakisema kwamba wewe zitto ulitaka kuuliwa. Kwa kweli hata kama tunataka maendeleo ndani ya vyama vyetu, nafahamu fika kwamba kuna dirty taactics ambazo hutumiwa, lakini hii ni MBAYA SANA TENA SANA kwa taifa letu.
Naamini wengi watasema mie chizi kwa kuwa napingana nao, lakini vile vile naamini chizi huyo huyo katika maneno kumi atakayoongea basi angalau hata moja linaweza likawa na maana. Mheshimiwa tukumbuke kwamba maendeleo ya nchi yetu, mapenzi ya nchi yetu, na maendeleo ya kisiasa ni mambo ya kidunia tu hivyo jiangalie wewe mwenyewe katika kutetea ule ukweli unaoufahamu na kupinga yale yasiyo ya kweli ( Kama na hili pia litakuwemo ndani).
Kwa kweli, Zitto sitokuficha umefika katika hatua nzuri sana, na katika hatua hiyo sidhani kama wengi walio wapinzani wako, na hata wale walio karibu yako watapenda ufanikiwe zaidi yao, KUMBUKA NIMESEMA WALE WAPINZANI WAKO NA HATA WALE ULIO NAO KARIBU hivyo jiangalie sana na watu wanaosema wako karibu na wewe maana watu hao hao (hapa JF) washasema ulitaka kuuliwa (huku wakiwa hawana proove ukiangalia hawakuwa katika eneo la tukio )
Sasa najua unaweza ukawa busy, hivyo ukachukua muda mrefu kujibu lakini natumaini hata kama itachukua muda mwingi angalau upitie hapa na udondoshe walau maneno machache !
Shukrani !
KadaMpinzani for JF !
 
"Dereva wa lori hilo, Peter Mangula, mkazi wa Makambako, wilayani Njombe, aliyenusurika katika ajali hiyo, alitoroka baada ya ajali hiyo na Jeshi la Polisi limeahidi kumsaka mpaka apatikane."

Huyo dereva jina lake la kati ni nani? au ana majina mawili tu.

Mafuchila hata mimi bado nafuatilia kuhusu hili jina
 
Na baadae,

Baada ya kupondea JF kushindikana, kutakuwa na vituko vingi sana vya kuomba kufungiwa ili malamiko yaanze
 
Hii inaitwa flooding, nadhani kuna mtu anahitaji kwenda kupumzika for the weekend. Natoa wazo apumzike kidogo ili atakaporudi aanza kulia tena kwanini alinyimwa nafasi.
 
nafikiri tutakupa muda wa kupumzika kidogo kwani uhuru wa maoni haina maana uwanyime wengine service ya JF hasa wakati kuna mambo muhimu ya kujadili. Kama mtu mmoja alivyosema unataka jibu kwa Zitto mpigie simu, andika email n.k na hasa kwa vile umesema unataka jibu "binafsi na siyo kama Chadema".

Kuendelea kuvumilia unachofanya ni kupoteza heshima na hadhi ya forum hii. Kuna hoja nyingi ambazo unazitoa na za msingi, lakini unachofanya sasa ni uharibitu na matumizi mabaya ya forum hii, na lengo lako ni kuharibu mtiririko wa mada zinazoendelea hapa.

siyo tu lengo lako kuonesha upande wa pili au mawazo tofauti bali unakusudia kuhakikisha kuwa mawazo mengine hayatolewi na hayasikiki isipokuwa ya kwako kwa kisingizio cha utetezi wa hoja zako. Kitendo chako cha kuposti swali lile lile kwenye vyumba tofauti na threads tofauti si cha kiungwana hata kidogo na si cha kuvumiliwa.

Jenga hoja, iache isimame yenyewe, kulazimisha hoja kwa kutumia flooding hakuifanyi hoja hiyo kuwa na nguvu. Nakushauri uache, vinginevyo ukipwa pumziko la muda (kama ilivyokuwa huko nyuma, usianze kulia tena).

M. M.
 
JF itapeta tu whether somebody anapenda or not!

wenye chuki na JF wajinyonge, mikataba zaidi itawekwa hapa mchana kweupeeeeeeeeeeeeeee

Juhudi za kuidunisha JF zinashindwa na watu wanaexplode sasa!

ha ha ha ha haha ha
 
mwanakijiji dont you even say nothing !

nimeandika thread pale punde tu mkaifuta, nikaandika zaidi ya mara 4 tena mkafuta, nikaanza kutembeza copy kila sehemu mkaanza kufuta an sasa mnaiita flooding. eti tupishe mambo muhimu yaongelee, hapa si kila mtu ana freedom yake ya kutoa hoja au siku hizi mshaanza kutumegea ni kiasi gani tuandike kwa wiki ?

kwanza unasema hivyo kama nani ?

kama hamuogopi, acheni basi swali nililomuuliza zitto aje ajibu, nyie mbona thread zenu haziguswi ?

nia na mabaya yenu yashaanza kuonekana! sasa mnaanza kuspin mambo !
 
I see somebody exploding....

kupondea JF kutashindwa, I said so
mimi thread zangu zinahamishwa na kufutwa hapa JF all the time!

Kampeni ya kuimaliza JF itahitaji timu ya mamilioni ya watu sio just few of.......

ha ha ha haha
 
mbona za kwetu zinafutwa, kuhamishwa na kuwe merged na nyingine hatupigi kelele. Wewe swali kwa Zitto umetaka alijibu kama "mtu binafsi" sasa kwanini usimuulize huko aliko kama mtu binafsi?

Jana ilipozungumzwa kuwa inawezekana Habari Leo waliacha kutaja jina la Zitto kwenye habari yao kwa makusudi.. unajua nilifanya nini? Sikwenda kupiga kelele kuanzisha mada kumuuliza "Zitto unafikiri nini kuhusu mawazo ya watu wa JF kuwa hukutajwa sababu ya wivu"..

Kuna masomo mengine hauhitaji kukalishwa chini kufunzwa.

Ndiyo njia nyepesi ya kujitafuta chati, mshambulie mwanakijiji, mshambulie Zitto, shambulia hiki au kile alimradi hoja nzito zenye kujadili mstakabali wa Taifa letu zisijadiliwe.

Hilo nitakupinga.
 
Back
Top Bottom