Chadema msiba wa Salome hawahusu?

Damu ya waliouwa mwembechai na pemba itawalilia hadi makaburini.

Msishangae kuhusu yanayotokea sasa hivi

Mbona unanisikitisha sana,yaani unashangilia watu kufa?.Jaribu kuficha tofauti zako za kiitikadi hata katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.

Sidhani kama unaweza kumshawishi mtu apende sera za chama chako kwa kauli kama hizi.
 
jamani nimeandika thread hapa kumuuliza mheshimiwa zitto aje kujibu tuhuma za wafuasi wa chadema tawi la JF, lakini naona wameifuta na sasa nimeibandika tena sasa nauliza kwa nini waifute ??
 
[/COLOR][/B]

nakwambia mbona watakimbia hapa mwaka huu !
 
wanaotumbua mamilioni kwa safari za nje wakati watoto wakifa hospitalini kwa magonjwa yanayotibiwa!
Sasa kuna uhusiano gani na Kifo cha Mama Mbatia?.Mbona huna huruma.
Wewe ni mwanamke kweli ninaanza kuwa na mashaka nawe,najua wanawake wanakuwa na roho ya huruma tofauti nawe
 
jamani nimeandika thread hapa kumuuliza mheshimiwa zitto aje kujibu tuhuma za wafuasi wa chadema tawi la JF, lakini naona wameifuta na sasa nimeibandika tena sasa nauliza kwa nini waifute ??

Ile ya mafisadi wa JF mbona siioni?
 
Sasa kuna uhusiano gani na Kifo cha Mama Mbatia?.Mbona huna huruma.
Wewe ni mwanamke kweli ninaanza kuwa na mashaka nawe,najua wanawake wanakuwa na roho ya huruma tofauti nawe

utajiuliza mengi sana mwaka huu na zaidi utaishia kuandika PM kwa watu kuwa unajua ID yangu kama wenzako walivyofanya hapa.

Inakuwaje wewe mwanamke mmoja tu tena waziri tajiri (anamiliki nissan patrol) maisha yake yawe bora zaidi ya wanawake maelfu wanaokufa kila siku vijijini wakati wa ujauzito au magonjwa mengine yanayotibika just because hakuna usafiri mzuri wa kuwapeleka hospitalini?
 
maisha ya mama mbatia yana thamani sawa na maelfu ya wanawake na watoto wanaokufa kila siku ndani ya Tanzania bila kutumiwa ndege za serikali kwa ajili ya mazishi!
 
utajiuliza mengi sana mwaka huu na zaidi utaishia kuandika PM kwa watu kuwa unajua ID yangu kama wenzako walivyofanya hapa.

Inakuwaje wewe mwanamke mmoja tu tena waziri tajiri (anamiliki nissan patrol) maisha yake yawe bora zaidi ya wanawake maelfu wanaokufa kila siku vijijini wakati wa ujauzito au magonjwa mengine yanayotibika just because hakuna usafiri mzuri wa kuwapeleka hospitalini?[/QUOTE]

Aisee hivi ilikuwaje ubongo wako ukaruhusu vidole kuandika hayo? mambo mengine hayahitaji mtu kuwa na shahada ya chuo kikuu ili uyafahamu.
 
Aisee hivi ilikuwaje ubongo wako ukaruhusu vidole kuandika hayo? mambo mengine hayahitaji mtu kuwa na shahada ya chuo kikuu ili uyafahamu.

Hili ni swali inabidi ujiulize wakati unatafuta solution ya vifo vya watoto wachanga (kwa maelfu) wanaokufa Tanzania wakati Kikwete akitumbua mamilioni kwa safari za nje ya nchi
 
ipo kwenye jokes MKUU !! wameihamisha weee, nadhani ile ndio thread pekee wawahi kuihamisha namna ile in 2 days !!
Yaani hapa ukitaka thread yako "mafisadi wa JF" waipende sema baya kuhusu CCM tu.Itakaa wee na kupewa thanks za kilo!
Mamabo mengine yanatia huruma sana
 
Hili ni swali inabidi ujiulize wakati unatafuta solution ya vifo vya watoto wachanga (kwa maelfu) wanaokufa Tanzania wakati Kikwete akitumbua mamilioni kwa safari za nje ya nchi

Solution gani unatafuta kwa kushangilia vifo vya watu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom