Chadema msiba wa Salome hawahusu?

naona mtu kishaanza kujichanganya hapo juu, mara hawakutoa salamu na sasa kishaanza kuwa zito alisambaza picha ambazo kamera report ya Mathayo inaonyesha kuwa yeye ndiye alisambaza
 
maneno mengine KAMWE HAYAWEZI KULETA MAENDELEO KATIKA TAIFA LETU ! nadhani hata mtoto wa darasa la kwanza anatambua hilo !
 
naona mtu kishaanza kujichanganya hapo juu, mara hawakutoa salamu na sasa kishaanza kuwa zito alisambaza picha ambazo kamera report ya Mathayo inaonyesha kuwa yeye ndiye alisambaza

ndio hawakutoa kama chama, hao walitoa na kuhudhuria kama ni watu wa kawaida, kama chama la msiba wa mwanasiasa mwenzao halijawakaa, wao imewakaa kuspin kuhusu mafisadi na kutafuta mianya ya kujiup hilo basi.

CHADEMA aibu hivyo, igeni wenzenu CUF, ule ndio uvumiliano wa kisiasa
 
ukiangalia zitto alienda pale kufanya kitu cha ubinaadamu ( so count chadema OUT) lakini i could care less about Cha Dema, Cha Guera !
 
ndio hawakutoa kama chama, hao walitoa na kuhudhuria kama ni watu wa kawaida, kama chama la msiba wa mwanasiasa mwenzao halijawakaa, wao imewakaa kuspin kuhusu mafisadi na kutafuta mianya ya kujiup hilo basi.

CHADEMA aibu hivyo, igeni wenzenu CUF, ule ndio uvumiliano wa kisiasa

nina hakika kwa definition yako hii sio siasa
 
mwafrika wa kike CHADEMA kikipewa sio siri kitafanya unyama haujawahi kutokea, inaonyesha wazi, basi hata kutoa rambi rambi kama chama mmeshindwa? wanafunzi walipogoma chuo kikuu mbio wafitinifu mkatoa tamko, na kila panapowaka moto hamchelewi kuutia mafuta.

nyie hasa ndio mafisadi wakuu wa nchi yetu
 
Kasome habari zote zilizowekwa hapa kuhusu CHADEMA kutoa rambirambi. Nina hakika unyama unaotaja hapa ni zaidi ya unyama uliofanywa na ccm kwa mauaji ya mwembechai na pemba!
 
mwafrika wa kike CHADEMA kikipewa sio siri kitafanya unyama haujawahi kutokea, inaonyesha wazi, basi hata kutoa rambi rambi kama chama mmeshindwa? wanafunzi walipogoma chuo kikuu mbio wafitinifu mkatoa tamko, na kila panapowaka moto hamchelewi kuutia mafuta.

nyie hasa ndio mafisadi wakuu wa nchi yetu

halafu bana naombeni msipunguze size ya haya maneno !!
wakubwa kuomba radhi sio dhambi na sio kosa ! ombeni radhi, na mbadirike ili tusonge mbele !
 
so MKUU what do you think is the solution ??????

Hizi discussions hazijengi kitu jamani.. Zitto kasambaza picha ama CHADEMA hakikutoa rambi rambi etc etc!! nafikiri tunaonyesha utanzania wetu wa kupenda mizaha hata kwenye mambo nyeti!!!hayo hayawezi kusaidia kitu, zaidi ni kupunguza credibility ya hii JF. Kuna issue za muhimu na kushare na kuchangia....naomba kuwakilisha mkuu!!
 
nyie binaadamu nyie!!

kaumia MUdhhir kwenye ajali mkafurahi na kupongezana, mmesahau kabisa kama yule binaadam na ajali niko kinachotokea.

halafu mnapenda demokrasia na kuheshimu sheria kipi alichokosea kutumia haki yake ya kidemokrasia na kutoa hoja keshakuwa fisadi.

alieleta uongo sio fisadi?

sijawahi kuona, utu ndio mila na utamaduni wa watanzania, sijui utamaduni huu mpya mnaotaka kuupandikiza kwenye nchi yetu mmeutoa wa wapi?

lakini mtajizuru wenyewe na hasada zenu
 
Hizi discussions hazijengi kitu jamani.. Zitto kasambaza picha ama CHADEMA hakikutoa rambi rambi nafikiri hazijengi wala kusaidia kitu, zaidi ni kupunguza credibility ya hii JF. Kuna issue za muhimu na kushare na kuchangia....naomba kuwakilisha mkuu!!

Huyo aliyesema kuwa Zitto kasambaza picha alikuwa anawahi kuficha ukweli kuwa Mathayo ndio kasambaza hizo picha za msiba.
 
nyie binaadamu nyie!!

kaumia MUdhhir kwenye ajali mkafurahi na kupongezana, mmesahau kabisa kama yule binaadam na ajali niko kinachotokea.

halafu mnapenda demokrasia na kuheshimu sheria kipi alichokosea kutumia haki yake ya kidemokrasia na kutoa hoja keshakuwa fisadi.

alieleta uongo sio fisadi?

sijawahi kuona, utu ndio mila na utamaduni wa watanzania, sijui utamaduni huu mpya mnaotaka kuupandikiza kwenye nchi yetu mmeutoa wa wapi?

lakini mtajizuru wenyewe na hasada zenu

Damu ya waliokufa Pemba na mwembechai inakulilieni toka huko makaburini waliko!
 
Mama Mbatia katangulia,naomba tusichukue advantage ya kifo chake kujinufaisha kisiasa.
Naona ishakuwa deal sasa!
 
hapo ^^ bado najiuliza sijui familia ya marehemu itakuwa inajisikiaje ! naomba Mungu awaepushe hawa binadamu kusema ovyo ! wakishindwa wakumbwe na mabalaa ili waone wenzao wanavyojisikia ilihali katika hali ngumu kama hii haswa kufiwa na mama yao, mke wake, dada, shangazi, bibi wa watu !
 
Back
Top Bottom