Damu ya waliouwa mwembechai na pemba itawalilia hadi makaburini.
Msishangae kuhusu yanayotokea sasa hivi
Mbona unanisikitisha sana,yaani unashangilia watu kufa?...
[/COLOR][/B]
Mbona unanisikitisha sana,yaani unashangilia watu kufa?.Jaribu kuficha tofauti zako za kiitikadi hata katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Sidhani kama unaweza kumshawishi mtu apende sera za chama chako kwa kauli kama hizi.
Sasa kuna uhusiano gani na Kifo cha Mama Mbatia?.Mbona huna huruma.wanaotumbua mamilioni kwa safari za nje wakati watoto wakifa hospitalini kwa magonjwa yanayotibiwa!
jamani nimeandika thread hapa kumuuliza mheshimiwa zitto aje kujibu tuhuma za wafuasi wa chadema tawi la JF, lakini naona wameifuta na sasa nimeibandika tena sasa nauliza kwa nini waifute ??
Ile ya mafisadi wa JF mbona siioni?
Sasa kuna uhusiano gani na Kifo cha Mama Mbatia?.Mbona huna huruma.
Wewe ni mwanamke kweli ninaanza kuwa na mashaka nawe,najua wanawake wanakuwa na roho ya huruma tofauti nawe
utajiuliza mengi sana mwaka huu na zaidi utaishia kuandika PM kwa watu kuwa unajua ID yangu kama wenzako walivyofanya hapa.
Inakuwaje wewe mwanamke mmoja tu tena waziri tajiri (anamiliki nissan patrol) maisha yake yawe bora zaidi ya wanawake maelfu wanaokufa kila siku vijijini wakati wa ujauzito au magonjwa mengine yanayotibika just because hakuna usafiri mzuri wa kuwapeleka hospitalini?[/QUOTE]
Aisee hivi ilikuwaje ubongo wako ukaruhusu vidole kuandika hayo? mambo mengine hayahitaji mtu kuwa na shahada ya chuo kikuu ili uyafahamu.
Aisee hivi ilikuwaje ubongo wako ukaruhusu vidole kuandika hayo? mambo mengine hayahitaji mtu kuwa na shahada ya chuo kikuu ili uyafahamu.
wataelewa tu mwaka huu hata kama itahitaji kutumia fimbo !
Yaani hapa ukitaka thread yako "mafisadi wa JF" waipende sema baya kuhusu CCM tu.Itakaa wee na kupewa thanks za kilo!ipo kwenye jokes MKUU !! wameihamisha weee, nadhani ile ndio thread pekee wawahi kuihamisha namna ile in 2 days !!
Unataka kumcharaza nani tena kwenye net? Teh teh teh tehhh..........
Hili ni swali inabidi ujiulize wakati unatafuta solution ya vifo vya watoto wachanga (kwa maelfu) wanaokufa Tanzania wakati Kikwete akitumbua mamilioni kwa safari za nje ya nchi
Solution gani unatafuta kwa kushangilia vifo vya watu?