CHADEMA mnampuuza Mbowe!

CHADEMA mnampuuza Mbowe!


makada wa ccm mnaotumia style hii kufanya arguments huwa mnatupa credit nyingi sana kwasababu wanachama wa ccm wenye akili timamu hawapendezwi na hukimbia ccm kwa aibu hii mnayoifanya@

Hivi huyo jamaa na Le mutuz wanauhusiano wa vinasaba?maana naona wote ni wakimbizi na bongo zao zinafanana.
 
Kinacholelezwa ni rahisi mno kuelewa.
Acheni kupanga utek,aji na vitisho (Terrorism).
Elezeeni siasa na sera zenu mbadala, halafu wananchi wachague mchele na pumba..... Is that hard to understand???
 

makada wa ccm mnaotumia style hii kufanya arguments huwa mnatupa credit nyingi sana kwasababu wanachama wa ccm wenye akili timamu hawapendezwi na hukimbia ccm kwa aibu hii mnayoifanya@

Waache waendelee mkuu na hawa ndiyo wasomi wenye exposure waliobakia kwenye hicho chama.I pity them ! Eichh!
 
-Una audacity ipi ya kutoa ushauri kwa CHADEMA wewe?

-Kama CHADEMA kitaathirika kwa namna yoyote kwa mujibu wa mtazamo ulioueleza si ndiyo utafurahi zaidi?Next time ukiandika hapa uwe unafanya hivyo kama msomi.

-Political state ya CHADEMA kama chama cha siasa unaweza vipi kuitofautisha na political activism?Unaweza vipi kui-distinguish kwa kutumia ITIKADI ya chama hiki?

-Next time usiwe unatutia aibu vijana wenzako kwa kuandika andika tu ilimradi uonekane active.

-Hizo siasa za kudhuru watu ni zipi.Ni jambo la ajabu kabisa badala ya kunadi itikadi na sera za chama chako wewe unanadi udaku na majungu.Ndiyo siasa mpya zilizoletwa na vijana huko kwenye chama chako?Usiharibu Taswira ya vijana wa taifa hili kwa uzembe na udhaifu unaouonyesha katika kuitumikia dhamana uliyopewa na chama chako

-Umeachana na mradi wa kuzunguka kumtukana yule waziri mkuu aliyejiuzulu sasa unajaribu kutafuta umaarufu wa bei rahisi kupitia CHADEMA.Najua mfumo wa majimbo ni kitanzi kwenu,mna kazi ngumu sana sana.Get prepared!

Kwani unadhani kuna ulazima wowotw wa kumjibu hayo huyo jama?
Anajaribu kuthibitisha tu kama ni kweli, maana vijana anaowatuma mtandaoni wameomba awaongezee posho kutokana na ugumu wa hoja wanazokutana nazo hapa mtandaoni.
Kwa hiyo hapa kaja tu kuthibitisha kama kuna ugumu wowote kiasi cha kuweza kuongezwa Posho.
 
bora ukae kimya kama Mwigulu
jana umepayuka ni chama cha magaidi wakati mahakama imeshatamka sivo
unastahili kushtakiwa kwa kukiuka amri ya mahakama.
unatakiwa pia kuitwa mahakamani kutoa ushahidi wa lini chadema walipanga mashamabulizi
ukiwa mtu wa nafasi nyeti katika chama unakiabisha chama chako kwa kuropoka hovyo brother
chagua maneno ya kuongea yenye kujenga chama chako na yenye kuleta mashikamano wa kisiasa.
siasa safi na siasa za kistaarabu hazitoi maneno ya kejeli kama yako.
ni ushauri tu kwa sisi amabao hatuna vyama tunawasoma kwa umakini wa hali ya juu
 
Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

.

Mimi naogopa hapo tu kwenye Kudhuru watu, Maana unaongea kama vile mnajiandaa kumdhuru Mtu au mnataka kutoa Viseo Mpya!
 
... Nape Nnauye ungekuja hapa kutueleza umefikia wapi kuvua magamba labda tungepata cha maana lakini si huu umbea shirikishi...
 
Last edited by a moderator:
bora ukae kimya kama Mwigulu
jana umepayuka ni chama cha magaidi wakati mahakama imeshatamka sivo
unastahili kushtakiwa kwa kukiuka amri ya mahakama.
unatakiwa pia kuitwa mahakamani kutoa ushahidi wa lini chadema walipanga mashamabulizi
ukiwa mtu wa nafasi nyeti katika chama unakiabisha chama chako kwa kuropoka hovyo brother
chagua maneno ya kuongea yenye kujenga chama chako na yenye kuleta mashikamano wa kisiasa.
siasa safi na siasa za kistaarabu hazitoi maneno ya kejeli kama yako.
ni ushauri tu kwa sisi amabao hatuna vyama tunawasoma kwa umakini wa hali ya juu

Hachelewi kuja kudai akauti yake imeingiliwa.
 
yaonekana nape ni msikilizaji mzuri wa viongozi wa chadema.
 
Safi sana Nape Nnauye, Katibu mwenezi wa Chadema ulioko ndani ya ccm.
Kadri unavyoanzisha threads kama hii unakuwa unazidi kuitangaza Chadema kwa watanzania na unakuwa unatukumbusha wanachadema kuwa muwakilishi wetu ndani ya ccm bado uko hai na bado upo na sisi.
Lakini pia kadri unavyoanzisha threads kuhusu Chadema unaudhihirishia umma wa watanzania kuwa Chadema imewakalia kooni ccm kiasi kwamba hamli wala hampumui kwa amani tena kwa kuhofia kitumbua chenu kutiwa mchanga na Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

Nape Nnauye;

Mbona unatia huruma sana, majuzi tuu ulisema hadharani kuwa CHADEMA ni kama mgonjwa wa kifafa na kukifananisha chama hicho na nguruwe. Jana huko Igunga umetamka tena kuwa wananchi wajihadhari na vyama vyenye mlengo wa kigaidi na hakuna shaka kuwa ulikuwa unamaanisha CHADEMA. Zaidi ya hapo ukasema CHADEMA ilichelewesha utekelezaji wa ahadi za maendeleo kwa kuwa kilimfungulia Kafumu kesi.

Sasa unakuja na chorus nyingine kuwa CHADEMA wanampuuza Mbowe na kuwa kwa kumpuuza kitakufa na kuadhiri demokrasia nchini. Hiyo huruma ama uchungu unaokufika kwa kufa kwa CHADEMA umekuanza lini. Chama unachokilinganisha na nguruwe, mgonjwa wa kifafa, magaidi kina faida gani kwako. Chama hicho hicho wewe mwenyewe kwa kushirikiana na mwenzako Mwigulu mmekitengenezea kesi ya ugaidi na mauaji kwa lengo la kukisambaratisha; iweje leo unapata uchungu wa chama hicho kumdharau mwenyekiti wake.

Jamii ya wapenda mabadiliko inajua wazi kuwa mikakati yenu, ndoto na maombi yenu ya kila siku ni kuona CHADEMA ikifa kama magugu yaliyomwagiwa dawa lakini kwa kuwa umeshagundua kuwa mipango yenu mfu haiwezekani na haitakaa ifanikiwe ndiyo sababu leo unataka kujifanya rafiki na mpenzi wa uwepo wa CHADEMA.

Nape una mtihani unakusubiri mbele yako. Jana ulitangazia umma wa Watanzania kuwa ifikapo 2015 mtakuwa mmeshatimiza ahadi zote mlizotoa mwaka 2010. Nenda kajipange wewe, mwenyekiti wako na wengineo wote ndani ya CCM muangalie namna ya kutekeleza hilo kwani 2015 sio mbali.

Kama CHADEMA inakufa iache ijifie yenyewe wala kwenye msiba wake usiende kwani utakuwa unapoteza muda wa kutekeleza ahadi mlizotoa kwa wananchi ikiwa ni pamoja kuleta MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Kuendelea kwako kuiota CHADEMA ni kutaka kujipa ugonjwa ambao tiba yake itakuwa ngumu kuipata.
 
Ha ha ha ha Nape bwana, sawa CDM kinaongozwa kiharakati zaidi fine, tujuze ni harakati za nini? kumkomboa mtanzania wa hali ya chini na kuiondoa CCM madarakani ? au? na on other hand CCM ni chama cha nini? maana hatuoni siasa zaidi ya ubadhirifu wa mali ya watanzania bila kificho. Unajua moyoni nasema nini na kama huhamini nenda muhimbili ukaone watanzania wanavyoteseka bila sababu ya msingi ilhali serikali haitoi kipaumbele kwa hao watanzania wachache wanaoumwa magonjwa ambayo yanatibika lakini wabunge wa CCM wanapitisha billion 1 kwa ofisi ya waziri mkuu kwa ajili ya kuzika viongozi wa kitaifa. Sometime bro uone aibu kuzungumza hizo kauli za kisiasa, shauri zako MUNGU ANAKUONA. Ungekua na busara kwa kiwango changu kidogo ungetamka hii statement "CDM wanatupa changamoto ya kuwafanyia watanzania walio wengi mambo ya muhimu ambayo kwa bahati mbaya hatukuyapa kipaumbele sana, sis CCM ni wasikivu na tutatafanyia kazi mawazo ya wenzetu yenye masilahi kwa nchi yetu kama ambavyo nafikiria hata wao CDM wangechukua mawazo yetu kama wangekua wanaongoza serikali"
 
Kwanza hongera sana,kwakujitokeza kwenye mada,mi napenda tuachane naya mbowe,mh Nape maisha bora yakila mtanzania yako wapi?nikutoka sukari mia sita kwa kg wakati wa mkapa kwenda sh 2500,mkate kutoka 1000 kwenda 2000,kwenye mfuko wa bei kunanini?mbona mh.MKAPA aliweza?kwa kifupi haya ndo yaifanya ccm inakimbiwa habari ndo hiyo.
 
mwenyekiti wako alikiita chama cha msimu kilipobadilika mnakimbilia kuanzisha sheria ya kuzuia mikutano ya vyama kipindi ambacho si cha kampeni kitu ambacho ni kinyume na katiba.
wewe ulianzisha kuvua gamba ukimtukana lowasa majukwaani jiandae 2015 pa kukimbilia lowasa yu nyiani.

UTAISOMA.
 
Inaonekana harakati zinawatisha sana!
Nape huwezi kutoa ushauri wa kuijenga chadema! Either utatoa ushauri wa kuibomoa ama utatoa ushauri wenye kuwapunguzia nyie wachumia tumbo stress!
 
Yani humu jamvini hadi raha, jamaa kaanzisha kalala mbele

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nasikiliza news ya TBC taifa imenichefua sana
wanamtangaza Nape akiwaasa wananchi wa Igunga wasichague chama cha kigaidi
chama gani cha kigaidi? hiyo movie si ilishazimwa na mahakama?
sikuona kama ni habari ya kutangaza TBC wakiacha habari za muhimu zaidi
huku ni kuchochea uhasama na chuki kwa wananchi,

wametangaza pia kanusho la ikulu kuhusu JK kufanya siasa msikitini akiomba kura.
kwanini wasimkamate dr slaa au kutaka ushahidi kuliko kumuita mwongo na mzushi?
TBC imebaki kuwa chombo cha propaganda cha CCM na sio TV ya Taifa tena.
chadema kazeni uzi hawa watu mnawanyima sana usingizi hadi kieleweke
ambao tuko nje tunaona juhudi zenu
Nape tafuta single nyingine kaka ulizoanzisha zote zimebuma.

yaonekana nape ni msikilizaji mzuri wa viongozi wa chadema.
 
chadema ni wapigaji flani ivi, wamejikusanya kuchek madili

Mkuu ongea kwa kuthibitisha siyo kuropoka tu! no research no right to speak!!!!
CCM ndiyo wapigaji madili yanguvu Mfano:
1.EPA
2.KAGODA
3.RICHMOND
4.KINANA BARIDIIII
5.LOLIONDO
6.MEREMETA
7.JITEGEMEE CO.LTDCCM. Kampuni la kupiga madili.
8.UDA
9.TRL LTD (Mkataba fake tumepoteza Engine za Treni pamoja ma mabehewa yake
10.FEDHA ZA USWISS
11.KASHIFA YA JAIRO
12.ARV FAKE
13.MADINI. pia HALMASHAURI NYINGI ZIMEKUWA MTAMBO WA KUZIKIA PESA ZA WALIPA KODI
Katika hayo na mengine mengi sana nimangapi CHADEMA wamekuwa wapigaji?
 
KAKA NINA WASIWASI ULIPATA SIFURI FORM FOUR,UKUMBUKE PIA 2007/8 ULIKUWA BONGW LA GAMBA, SASA UNAKULA NA KUNYA KWA PESA MLIZOIBA, WEWE NI KIJANA AMBAYE AKILI ZAKO ZIMEGANDA, IVI MSEMAJI WA CHADEMA SI MNYIKA? WEWE ULITEMBELEA FREE COZ ATA BABA YAKO ALIKUWA POACHER,WEWE NI UMEFICHWA KAMA UCHAFU WA HAYO MAOVU LAKINI USIJALI KUNA SIKU UTSEMA UKWELI 2015 IKFIKA! "Never allow the intergrity of your own way of seeng and say thing to be swamped by the infuluence of maste however the great" GEORGE P LATHROD
 
Back
Top Bottom