CHADEMA mnampuuza Mbowe!

CHADEMA mnampuuza Mbowe!

Ha ha ha ha Nape bwana, sawa CDM kinaongozwa kiharakati zaidi fine, tujuze ni harakati za nini? kumkomboa mtanzania wa hali ya chini na kuiondoa CCM madarakani ? au? na on other hand CCM ni chama cha nini? maana hatuoni siasa zaidi ya ubadhirifu wa mali ya watanzania bila kificho. Unajua moyoni nasema nini na kama huhamini nenda muhimbili ukaone watanzania wanavyoteseka bila sababu ya msingi ilhali serikali haitoi kipaumbele kwa hao watanzania wachache wanaoumwa magonjwa ambayo yanatibika lakini wabunge wa CCM wanapitisha billion 1 kwa ofisi ya waziri mkuu kwa ajili ya kuzika viongozi wa kitaifa. Sometime bro uone aibu kuzungumza hizo kauli za kisiasa, shauri zako MUNGU ANAKUONA. Ungekua na busara kwa kiwango changu kidogo ungetamka hii statement "CDM wanatupa changamoto ya kuwafanyia watanzania walio wengi mambo ya muhimu ambayo kwa bahati mbaya hatukuyapa kipaumbele sana, sis CCM ni wasikivu na tutatafanyia kazi mawazo ya wenzetu yenye masilahi kwa nchi yetu kama ambavyo nafikiria hata wao CDM wangechukua mawazo yetu kama wangekua wanaongoza serikali"
 
Nakushauri achana na Chadema kabisa.Kila dakika unahangaika na Chadema kana kwamba wewe ni Katibu Mwenezi wa Chadema.

Umemporomoshea matusi ya nguoni Mbowe jana kule Igunga unadhani Chadema haijui.

The best thing for you to do now ni kujiandaa kisaikolojia kuipisha Chadema Ikulu 2015
LYK THATS GONNA HAPPEN!!!:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
Huyu kachanganyikiwa! Hivi ni aje katibu mwenezi wa ccm kila maneno matano chadema limo!

Utaanza lini kukiongelea chama chako? naona hata usiku utakuwa unaota ndoto kuhusu chadema! unakipenda chadema manaake ndin kimeujaza moyo wako! Lakini huku hatukutaki wewe!
 
Siku90 za mafisadi kuondolewa kwenye chama CCM zilifia wapi?
Miezi 6 ya waliopata uongozi wa CCM kwa rushwa watachukuliwa hatua zilienda wapi?
 
Leo umejaribu kuuweka ukomavu ambao hata mzee wako angefurahi kama ungekuwa na desturi hii. Mimi si mwanasiasa, na kiuhalisia huwa naamini kuwa wewe umechafuliwa tu na aina za siasa chafu za CCM. Siku zote jaribu kuwa mkweli. Mfalsafa mmoja wa Denmark aliwahi kusema "I will speak for the truth even if the heaven will fall down." Ivi ni kweli Nnauye hujui kuwa wanaofanya utekaji, utesaji na hayo madhambi siyo CDM? Ivi hujui namna mambo haya yanavyofanika? Hivi damu hizi unadhani Mungu anafurahia halafu mnafanya mzaha kama huu? Hapo ndipo unaniudhi sana hata kama ni kijana mzuri ninayekupenda. Hii dhambi utatubu wapi? Wakati fulani unapaswa kuwa an individual na jaribu kufikiri kama an individual. Najua hujawa na exposure kubwa ya kujua siasa tunazofanya ni za kizamani sana hasa kwa Tanzania nchi ambayo imekuwa na heshima kubwa na nzuri kwa miaka nenda rudi.

Kuwa chama cha harakati haina maana ya tafsiri ya kuua au ugaidi. Unataka kusema wanaharakati mbalimbali hapa Tanzania wanafanya hayo? Usitake kuanzisha jambo jipya. Mwalimu Nyerere aliacha kazi ya ualimu na kuingia katika harakati za kisiasa. Neno harakati maana yake ni "Movement." Unapofanya siasa unakuwa na "Potical Movements" za aina mbalimbali. Haina uhusiano na unachosema. Maana ya Mbowe ni kwamba Chama (CDM) sasa kinakomaa hakihitaji movements nyingi bali sasa kujenga mfumo wa chama zaidi. Nyenyerere (hayati baba wa Taifa) alipojiunga na harakati za kisiasa ni kwamba ilihitajika mipango na strategies mbalimbali za kukieneza na kukijenga chama. Au unataka kusema alifanya kazi ya ugaidi. Halafu kwa nini neno hili ugaidi mnalitumia sana? Makanisa yanachomwa wazi na mabomu yanatupwa wazi kuwadhuru Wakristo mbona hapa hamtaji sana ugaidi? Nnauye kuna nini? Hizi ni siasa mbaya sana. Makanisa ambayo kabisa bomu limetupwa kwa lengo la kudhuru na kuua mpo kimya na kukimbilia kusema huu sio udini hata kama utafiti haujafanywa. Labda kwa taarifa yako mimi nawapongeza wanaosema mpango huu mchafu dhidi ya makanisa sio ya udini. Wanasema hivyo ili ku-stabilize hali na hii kwangu ni dawa nzuri zaidi kuliko kila mahali kusema huu ni udini. Kwa nini mfano huu hautumiki kwa mambo hayo mnayopenda kusema "Ugaidi." Unatambua kuwa kitu unapokisema sana mara kwa mara unakiumba? Unajua falsafa ya watoto wadogo anayekuwa wa kwanza kumsemelea mtoto mwenzake kwa mama au baba huwa ndiye mkosaji? Ivi mkiacha siasa hizi za kuchafuana na kumwaga damu za watu haitakuwa siasa? I hate this.

Ndugu yangu na wanasiasa wote, tuonyesha transition and maturity ya kisiasa. Tumesema sana haya. Ebu sasa tuanzishe enzi mpya na siasa za ustaarabu hata kama mwenzako atakuchafua. Watanzania ni watu wa pekee sana. Sio watu wa vurugu lakini ni analytical sana. Kujua mbivu na mbichi kwao sio kazi. Kinachowaponza watanzania ni woga - but they know everything. Watanzania wengi ni waoga sana kwa sababu za kihistoria. Sasa isiwe nayo ni dili. CCM ni chama ambacho kimefanya mengi nchi hii - whether good or bad. Like other creatures, a time will come for CCM to slow down and reach its beginning if not its end. You will not avoid this. This is a principle and it is bad to fool yourself. Biblia na vitabu vingine vitakatifu vina mifano mingi ya hekima. Kadhi dhalimu alipoona mwisho wake umefika alijifanyia urafiki na watu ili atakapokuwa hayupo kwenye hicho kiti cha enzi basi apate marafiki wa kumpokea atakapoanza maisha mapya Usweken. Ukienda makaburini utaona wazee wengi wanapenda kusogelea makaburi. Kwa nini - kwa sababu kisaikolojia wanawaza na kutambua kuwa kaburi si adui yao tena na lipo karibu sana na wao. Ni ajabu sana kama wataanza kulitukana kaburi na kulikimbia. Mfano huu utusaidie binadamu. Kila kilicho na mwanzo kina mwisho. Au haya hayapo kwa CCM? This is very natural. Hata vyama vingine navyo ni hivyo hivyo. Leo CDM wanapendwa kila kona lakini wakifanya vituko kaburi linawafuata. Is just a matter of accepting the truth. Other wise you will make many things that cost the life of people to postipone the natural truth (deaath) - but it is always there even if you will go to the best hospitals. You won't cure death because it is part of life. Nawapenda wote wanaopenda kusema kweli mahali ambapo kweli exists.

Naomba nirudie kusema kuwa mimi binafsi naamini wewe binafsi unafaa sana kuwa kiongozi lakini kwa Tanzania ya leo unajiharibu sana. Watu wa leo wanataka sana ukweli. Ebu tujenge utamaduni huu na CCM ndicho chama ambacho kinapaswa kuwa na dira hiyo ili kujenga utamaduni wa nchi kusema ukweli. Haipendezi kuona kila jambo linageuzwa kuwa la kisiasa (maana hapa kwetu siasa sasa ni uwongo) na lawama kwa kundi fulani eti kwa sababu sio chama chako, that is not good. Hii nasema hata kwa vyama vingine vya kisiasa. Tupende sana kusema ukweli na watu watakupenda sana tena sana. Wewe bado ni kijana mdogo usifuate siasa za akina Tyson ambazo zimewaharibu vijana wadogo akina Magulu ya Ncha ambao wangefaa kuwa tunu ya taifa hili lakini kabla hata hawajaanza kutumika wamesha-expire. Very ridiculous. Ninyi ni vijana fanyeni sisa za kujipambanua ambazo zinaonyesha who you are. Usifuate hao walio karibu sana na kaburi lakini wanalimbia. Ni ajabu sana. I like you only that you are poluted unless you just turn back.
 
Tangu lini Nape akaitakia mema CHADEMA ?
Ukimuona kobe juu ya mti, usishangae ujue kapandishwa; Division four ya point 29...........................................Masters ya Ki-china kutoka mzumbe; Mmmmm inatia shaka hata uwezo wake wa kufikiri.

By ze way nape is encountered with psychological problem that arouse from unknown family background.
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

Kwa ushahidi upi, wa mahakama au ccm?

Be blessed!
 
nashukuru mungu wewe mwenyewe ndo umeanza na mapovu! Chama kipi cha kigaidi? CDM au CCM hivi ule mchezo wenu wa kuteka wagombea muda wa kurejesha fomu mmeuacha? kwa leo nijibu hilo tu then wenzangu watakuja na technic zenu nyingine za ugaidi mnaofanyia Watanzania
Sikutaka kuchangia mkuu huu uzi wa Nape maana kwangu huwa namuona ni EMPTY MAGAZINE,ila kwa kuwa umenena ukweli ndio maana nimeku-quote ili niongezee,ukweli mwingine juu ya ugaidi wa CCM,kama Nape anabisha ajitokeze akane.Wakati wa uchaguzi wa vumoja wa vijana wa CCM wilaya ya Temeke,watu walitekwa wakawekwa pale Equator,na ilikuwa ni mpango ulioratibiwa na mgombea na viongozi wa CCM waliokuwa wanamsapoti mshindi ambae ndio mwenyekiti wa vijana wilaya ya Temeke.
Utekaji wa watu kwenye chama cha magamba wao kwa wao kipindi cha chaguzi zao za ndani ni jambo la kawaida
 
Wewe nawe kituko, kutoka kwa watu kama Lissu wenye historia ya kifafa unategemea siasa? Haya majitu yaacheni hivyo hivyo ili vichaa nao wapate vyama vya kuongoza.
Ndugai unamatatizo makubwa sana...
 
Mkuu ongea kwa kuthibitisha siyo kuropoka tu! no research no right to speak!!!!
CCM ndiyo wapigaji madili yanguvu Mfano:
1.EPA
2.KAGODA
3.RICHMOND
4.KINANA BARIDIIII
5.LOLIONDO
6.MEREMETA
7.JITEGEMEE CO.LTDCCM. Kampuni la kupiga madili.
8.UDA
9.TRL LTD (Mkataba fake tumepoteza Engine za Treni pamoja ma mabehewa yake
10.FEDHA ZA USWISS
11.KASHIFA YA JAIRO
12.ARV FAKE
13.MADINI. pia HALMASHAURI NYINGI ZIMEKUWA MTAMBO WA KUZIKIA PESA ZA WALIPA KODI
Katika hayo na mengine mengi sana nimangapi CHADEMA wamekuwa wapigaji?

Mkuu; chonde, chonde, chonde, chonde, usisahau HOME SHOPPING CENTRE. Mtaani kwetu wanasema Home shopping Centre ndo mfuniko wa ufisadi.
 
Leo umejaribu kuuweka ukomavu ambao hata mzee wako angefurahi kama ungekuwa na desturi hii. Mimi si mwanasiasa, na kiuhalisia huwa naamini kuwa wewe umechafuliwa tu na aina za siasa chafu za CCM. Siku zote jaribu kuwa mkweli. Mfalsafa mmoja wa Denmark aliwahi kusema "I will speak for the truth even if the heaven will fall down." Ivi ni kweli Nnauye hujui kuwa wanaofanya utekaji, utesaji na hayo madhambi siyo CDM? Ivi hujui namna mambo haya yanavyofanika? Hivi damu hizi unadhani Mungu anafurahia halafu mnafanya mzaha kama huu? Hapo ndipo unaniudhi sana hata kama ni kijana mzuri ninayekupenda. Hii dhambi utatubu wapi? Wakati fulani unapaswa kuwa an individual na jaribu kufikiri kama an individual. Najua hujawa na exposure kubwa ya kujua siasa tunazofanya ni za kizamani sana hasa kwa Tanzania nchi ambayo imekuwa na heshima kubwa na nzuri kwa miaka nenda rudi.

Kuwa chama cha harakati haina maana ya tafsiri ya kuua au ugaidi. Unataka kusema wanaharakati mbalimbali hapa Tanzania wanafanya hayo? Usitake kuanzisha jambo jipya. Mwalimu Nyerere aliacha kazi ya ualimu na kuingia katika harakati za kisiasa. Neno harakati maana yake ni "Movement." Unapofanya siasa unakuwa na "Potical Movements" za aina mbalimbali. Haina uhusiano na unachosema. Maana ya Mbowe ni kwamba Chama (CDM) sasa kinakomaa hakihitaji movements nyingi bali sasa kujenga mfumo wa chama zaidi. Nyenyerere (hayati baba wa Taifa) alipojiunga na harakati za kisiasa ni kwamba ilihitajika mipango na strategies mbalimbali za kukieneza na kukijenga chama. Au unataka kusema alifanya kazi ya ugaidi. Halafu kwa nini neno hili ugaidi mnalitumia sana? Makanisa yanachomwa wazi na mabomu yanatupwa wazi kuwadhuru Wakristo mbona hapa hamtaji sana ugaidi? Nnauye kuna nini? Hizi ni siasa mbaya sana. Makanisa ambayo kabisa bomu limetupwa kwa lengo la kudhuru na kuua mpo kimya na kukimbilia kusema huu sio udini hata kama utafiti haujafanywa. Labda kwa taarifa yako mimi nawapongeza wanaosema mpango huu mchafu dhidi ya makanisa sio ya udini. Wanasema hivyo ili ku-stabilize hali na hii kwangu ni dawa nzuri zaidi kuliko kila mahali kusema huu ni udini. Kwa nini mfano huu hautumiki kwa mambo hayo mnayopenda kusema "Ugaidi." Unatambua kuwa kitu unapokisema sana mara kwa mara unakiumba? Unajua falsafa ya watoto wadogo anayekuwa wa kwanza kumsemelea mtoto mwenzake kwa mama au baba huwa ndiye mkosaji? Ivi mkiacha siasa hizi za kuchafuana na kumwaga damu za watu haitakuwa siasa? I hate this.

Ndugu yangu na wanasiasa wote, tuonyesha transition and maturity ya kisiasa. Tumesema sana haya. Ebu sasa tuanzishe enzi mpya na siasa za ustaarabu hata kama mwenzako atakuchafua. Watanzania ni watu wa pekee sana. Sio watu wa vurugu lakini ni analytical sana. Kujua mbivu na mbichi kwao sio kazi. Kinachowaponza watanzania ni woga - but they know everything. Watanzania wengi ni waoga sana kwa sababu za kihistoria. Sasa isiwe nayo ni dili. CCM ni chama ambacho kimefanya mengi nchi hii - whether good or bad. Like other creatures, a time will come for CCM to slow down and reach its beginning if not its end. You will not avoid this. This is a principle and it is bad to fool yourself. Biblia na vitabu vingine vitakatifu vina mifano mingi ya hekima. Kadhi dhalimu alipoona mwisho wake umefika alijifanyia urafiki na watu ili atakapokuwa hayupo kwenye hicho kiti cha enzi basi apate marafiki wa kumpokea atakapoanza maisha mapya Usweken. Ukienda makaburini utaona wazee wengi wanapenda kusogelea makaburi. Kwa nini - kwa sababu kisaikolojia wanawaza na kutambua kuwa kaburi si adui yao tena na lipo karibu sana na wao. Ni ajabu sana kama wataanza kulitukana kaburi na kulikimbia. Mfano huu utusaidie binadamu. Kila kilicho na mwanzo kina mwisho. Au haya hayapo kwa CCM? This is very natural. Hata vyama vingine navyo ni hivyo hivyo. Leo CDM wanapendwa kila kona lakini wakifanya vituko kaburi linawafuata. Is just a matter of accepting the truth. Other wise you will make many things that cost the life of people to postipone the natural truth (deaath) - but it is always there even if you will go to the best hospitals. You won't cure death because it is part of life. Nawapenda wote wanaopenda kusema kweli mahali ambapo kweli exists.

Naomba nirudie kusema kuwa mimi binafsi naamini wewe binafsi unafaa sana kuwa kiongozi lakini kwa Tanzania ya leo unajiharibu sana. Watu wa leo wanataka sana ukweli. Ebu tujenge utamaduni huu na CCM ndicho chama ambacho kinapaswa kuwa na dira hiyo ili kujenga utamaduni wa nchi kusema ukweli. Haipendezi kuona kila jambo linageuzwa kuwa la kisiasa (maana hapa kwetu siasa sasa ni uwongo) na lawama kwa kundi fulani eti kwa sababu sio chama chako, that is not good. Hii nasema hata kwa vyama vingine vya kisiasa. Tupende sana kusema ukweli na watu watakupenda sana tena sana. Wewe bado ni kijana mdogo usifuate siasa za akina Tyson ambazo zimewaharibu vijana wadogo akina Magulu ya Ncha ambao wangefaa kuwa tunu ya taifa hili lakini kabla hata hawajaanza kutumika wamesha-expire. Very ridiculous. Ninyi ni vijana fanyeni sisa za kujipambanua ambazo zinaonyesha who you are. Usifuate hao walio karibu sana na kaburi lakini wanalimbia. Ni ajabu sana. I like you only that you are poluted unless you just turn back.
I believe that the leaders of both political parties must try to work through our differences. And I believe we will be able to work through differences. I reassured the House and Senate leaders that I intend to work with the new Congress in a bipartisan way to address issues confronting this country.

John Robert Bolton
 
Siku90 za mafisadi kuondolewa kwenye chama CCM zilifia wapi?
Miezi 6 ya waliopata uongozi wa CCM kwa rushwa watachukuliwa hatua zilienda wapi?

Mkuu Ndibalema; Usishangae wakaja hapa jamvini na majibu ati uliwanukuu vibaya, hawakusema siku 90 bali miaka 90, na hiyo miezi 6 ya Mangula watakanusha na kusema ni miaka 6.
 
Vipi kwani nape ushampata baba yako mzazi naona toka itumwe kumtafta baba yako hukutaka onekana mpaka leo ndo umekuja na huu utumbo wako
 
Naona unataka watu tukutukane kwa upumbavu wako halafu tupigwe ban.
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

ccm=chama cha machizi.

sasa hapo umeandika nini kama siyo uchizi!
 
Kama haya ndiyo yaliyopo kichwani mwa katibu mkuu wa ccm - uenezi, basi hiki chama kimeshakwenda mrama....
 
Mh.Mbowe tutampa ushirikiano wote mpaka nchi ipate uhuru toka ktk makucha ya ccm!hakuna kulala.yule binti wa dtv mliokua mkigombea na RA yupo wapi?
 
Hivi kwani wanaharakati wanashida gani .au unaogopa yasije yakawakuta yalio mkuta gadafi na mwenzake mubarak kutoka kwa wanaharakati.
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.
Una ushahidi au ndo siasa,wewe kama mtanzania uliyebahatika kuwa na weredi pia nafasi katika chama umechukua hatua gani katika kuhakikisha hiyo mipango ya kudhuru watanzania haifanyika na wanaofanya hiyo mipango wanachukuliwa hatua za kisheria?
 
Back
Top Bottom