Kinacholelezwa ni rahisi mno kuelewa.
Acheni kupanga utek,aji na vitisho (Terrorism).
Elezeeni siasa na sera zenu mbadala, halafu wananchi wachague mchele na pumba..... Is that hard to understand???
Sasa wanaooanga huo utekaji na ugaidi si ni akina mwigulu na nape+ccm na kikwete! Sasa iweje nape alete unafiki hapa? In short nenda lumumba kachukue 7, 000 yako...