CHADEMA mnakosea kulea Ufisadi wa Heche

CHADEMA mnakosea kulea Ufisadi wa Heche

CCM mnakosea kulea mauaji n utekaji wa SAMIA.
Kazi ni kipimo cha utu
 
BARAZA KUU LA CHADEMA HALIWEZI KUMUONDOA AU KUMWADHIBU KIONGOZI WAKE KWA AGENDA AU SHINIKIZO LA WAPINZANI WAKE. KIMANTIKI HAIWEZEKANI. HII NI KUWATOA KWENYE MSITARI.
 
Kama Mnahalalisha ufisadi wa Heche mjue tu kuwa mnakiuwa chama chenu.

Mnailalamikia CCM kwa ufisadi halafu muda huo huo mnahalalisha vitendo vya uvunjifu wa uaminifu kwa makamu mwenyekiti wenu.

Kama mnamaanisha kuchukua dola na sio mzaha acheni huu ujinga.

Kama kala hela za Chama muondoeni msimuangalie machoni.
Ukitoka kunywa nyeupe Matejoo tuwekee financial statement ya Chadema ku support madai yako.
 
Kama Mnahalalisha ufisadi wa Heche mjue tu kuwa mnakiuwa chama chenu.

Mnailalamikia CCM kwa ufisadi halafu muda huo huo mnahalalisha vitendo vya uvunjifu wa uaminifu kwa makamu mwenyekiti wenu.

Kama mnamaanisha kuchukua dola na sio mzaha acheni huu ujinga.

Kama kala hela za Chama muondoeni msimuangalie machoni.
Lakini anayetuhumu ndio anapaswa kuwa na ushahidi bahati mbayq sisi wananchi tunasikia tu tuhuma lakini hata figure za kiwango hakitajwi lakini sauti za akae pembeni kupisha uchunguzi ndio nyingi.Swali ni anakaa pembeni kupisha uchunguzi upi? Msingi wa kuchunguza ni upi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom