Majanikv Nakuunga mkono mdogo wangu,ndugu yangu.
Mimi niseme kitu kimoja, suala la zanzibar waachieni wazanzibari wenyewe, cuf ina nguvu kubwa kulete mageuzi na kuindoa ccm madarakani, na vijana tunao waunga uwamsho,lakini kuna kitu kimoja ambacho ndicho kinachotuuumiza wazanzibar,sisi tuko wachache, wakati wa uchaguzi serikali ya muungano hutumia nguvu kubwa kuhakikisha ccm inakuwepo madarakani,iwe kwa kuwauwa wazanzibari au kuwavunja vunja viungo,au kwa mabomu ya machozi,na haya wanawafanyia wazanzibari tu kwa vile ni wachache na wanaweza kutudhibiti.
Lakini hawafahamu kuwa wazanzibari hatujawa tayari kufanya mapinduzi lakini na uchache wetu tukiamua,tutapiga mambomu wote wanafiki na office yote ile ya kisiwandui,najua tutakufa wengi sana mpaka kuitoa ccm,lakini iko siku tutakifika.
Upande wa bara tunaaamini wazanzibari ccm 2015 itakuwa mpinzani na chadema itachukua, na bara nyinyi vijana muko wengi kabisa, sisi tunawetegemea nyinyi muipindue ccm,kwa kwa uchaguzi pili kwa nguvu za umma,mana ccm haitatoka madarakani kama munavyofikiria nyinyi.
Pili serikali tanganyika huko kwenu wanaogopa nguvu za umma kwa sababu wananchi ni wengi zaidi ya hilo jesho la police,na pale moto chedema watakapo uwasha ccm hawataweza kuuzima abadani na itaondoka madarakani,kwa nguvu zenu,tuangalie misri na libya ? Umoja ni nguvu, cha msingi kama ni lengo kuiyondoa ccm madarakani basi sio lazima chedema kuwepo zanzibar cha msingi tuangalie jee wako ambao wanao unga mkono hoja ya kuiondoa ccm ? tupoo.
Wazanzibari tunaamini kuwa kuiyondoa ccm zanzibar ni muungano,ukivunjika ccm bye bye, na huko bara pia ccm itakuwa haina nguvu tena.,uaminimusiamini zanzibar hakuna tena ccm,tuna wahuni tu,ccm haina mvuto tena,pemba ishasahauliwa ccm, badu unguja sasa,ndio ambao kumepamba moto, hata ikifika 2015 ccm tushaizika na muungano.
Mungu ibariki Tanganyika na watu wake, NA Zanzibar na watu wake.
Zanzibar kwanza