CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,419
2,000
mkuu halima mdee wa jf, nilikutahadharisha mapema juu ya kick zenu za kishamba kuwa zitabuma ukaninanga ati nimetumwa humu jf kuwajibu cdm,

Lakn sasa hivi nadhani unaona mwenyew mamb yana jipa,

Leo lissu kakanusha kuhutubia bunge la ulaya, sijui baada ya hapa mtatunga uongo gani maskini!!

Any way mnahama ufipa mje hapa makambako?? Au ufipa itabaki kuwa kama banda la kuku kama miaka yote mkuu😁😁😂😂😂😂
Sidhani kama unachangia uzi huu
 

Nikupa

Senior Member
Mar 15, 2018
183
250
Chadema ilishindwa fair and square...maigizo mengine yote tuache...kwamba eti yalikuwepo mabegi ya kura zilizokuwa zimepigwa na kusambazwa kwenye baadhi ya vituo ni uongo mkubwa..kulikuwepo na waangalizi wa uchaguzi kwenye vituo vingi Redet na makundi mengine kadhaa na hakuna aliyesema kulikuwepo na mabegi ya kura...Mimi kwenye vituo changu sikuona begi la kura...yaani ni akina Mdee na wanachadema wengine ndio eti walioona kinachoitwa mabegi ya kura..
Sehem ambazo watu wameona mabegi ata ww umeona na umesikia bado unakataa ,je ata uko kwako ingekua umeona ungesema
 

ngalelefijo

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
2,999
2,000
Hayo ndo mambo mnabidi muyafanye sasa ! Sio kukaa nyuma ya keyboard kila siku kulalama na kuizodoa serikali!. Kubalini kwamba Upinzani hasa Cdm bado haujajijenga kitaasisi! Imarisheni chama sasa!.Na bila kusahau Kujenga Ofisi kuu ya chama!.Sio kama kibanda cha pale Ufipa!.
Upinzani sio ofisi.tukiwaambia vichwani mmefunga subwoofer mnakua wakali kwelii.ona sasa
 

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,958
2,000
Hongera zao waweke tangazo la akaunt na no. mpesa nitawachangia walau mifuko 2 ya saruji.
 

CHIBURABANU

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
2,468
2,000
Chadema ilishindwa fair and square...maigizo mengine yote tuache...kwamba eti yalikuwepo mabegi ya kura zilizokuwa zimepigwa na kusambazwa kwenye baadhi ya vituo ni uongo mkubwa..kulikuwepo na waangalizi wa uchaguzi kwenye vituo vingi Redet na makundi mengine kadhaa na hakuna aliyesema kulikuwepo na mabegi ya kura...Mimi kwenye vituo changu sikuona begi la kura...yaani ni akina Mdee na wanachadema wengine ndio eti walioona kinachoitwa mabegi ya kura..
Mkuu kwa ninavyojua roho mbaya ya waccm,kama ilikuwa ni maigizo kweli.basi hao kina mdee sa hizi wangekuwa wananyea debe mpaka waeleze hizo karatasi walizipata wapi?.lakini kwa sababu ni kweli kulikuwa na kura feki walizotengeneza maccm wanafunika Kombe mwanaharamu apite.
CCM NA UKATILI NI DAMDAM.
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,591
2,000
Kama mnawekeza nguzu zenu zote kubomoa misingi ya wenzenu halafu mnawakebehi kwani mini hawajengi. Bila shaka mtakuwa na akili mbovu Sana.
Jinsi unavyojeieleza tu, inaonyesha una upeo mdogo sana wa kuelewa mambo ndiyo maana unatumia lugha za generalization.
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,591
2,000
japo chadema haikushindwa uchaguzi uliopita
Ni vigumu kuniaminisha kuwa kijiji chenye watu mia tano, kina ofisi za CCM tu, na kunapotokea mgogoro wanakwenda kusuluhishana kwenye ofisi za CCM, halafu eti ghafla siku ya uchaguzi wanakwenda kuipigia CHADEMA ambao hawana uwakilishi wowote hapo kijijini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom