HONGERA, HONGERA, HONGERA, MNITAFUTE KUNA 500,000/= MICHANGO WANGU, KATIBU AWASILIANE NA MIMI , ATUMIE INBOX YANGU.Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.
Hujajibu swali yaani kivipi voter turnout iwe 100% kwenye jimbo ambalo mbunge na madiwani wameshapita bila kupingwa?Nadhani wewe huwafahamu watanzania...halafu nadhani huifahamu TZ...huifahamu saikolojia ya waTZ...Bila Shaka wewe hujatembelea maeneo mengi TZ...mwenzio nimebahatika kutembelea karibu wilaya zote za TZ Tena basi mpaka vijijini kabisa ambako baadhi hata lugha ya Kiswahili inawapa tatizo...huyo Magufuli muone hivyo hivyo popularity yake inatisha? Ikungi ?! Nimefika Ikungi Tena basi mpaka vijijini...Lissu angekuwa popular Ikungi Kama Magufuli asingwania urais...
Hapana sio kweli wabunge/udiwani ni individuals kuliko chama mkuu ndio maana kuna wagombea wakihama chama wanashinda kiulaini. Ila Urais mostly mtu anaangalia chama na siasa za kitaifa kuliko mgombea specifically.Kwa nini Misungwi wasijitokeze watu laki moja? Hujui watu wa mjini wengi huwa hawaendi kupiga kura? Kwani hao laki moja unaosema hawamo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura?
Ninacho maanisha ni kuwa always kwenye uchaguzi wowote ule mgombea urais anayepata popular votes nyingi ni dhahiri kuwa atapata wawakilishi wengi kama wabunge na madiwani.
Tatizo cm yangu haiupload ila lipo wazi kabisaDuh... Ushahidi juu ya hili?
Wizi gani? Kwani unadhani JPM aliposema watanzania waweke betri tatu na katikati wasiweke gunzi la mahindi hawakumuelewa?Hapana sio kweli wabunge/udiwani ni individuals kuliko chama mkuu ndio maana kuna wagombea wakihama chama wanashinda kiulaini. Ila Urais mostly mtu anaangalia chama na siasa za kitaifa kuliko mgombea specifically.
Issue sio kujitokeza yaani wagombea wamepita bila kupingwa tena kwa dispute kibao alafu turnout inafika 100%? Alafu wote JPM!! Hahahahah
Kuhusu wawakilishi si kweli, Dk Slaa na Lowassa kwa asilimia walizopata za kura hazikulingana na % za ubunge (Assuming NEC ni sahihi), kura million 6 zikupe wabunge 35?? Are u serious? Unless ukiri kuna wizi mlifanya.
Jibu swali kwanini kuna tofauti ya kura laki 1?Wizi gani? Kwani unadhani JPM aliposema watanzania waweke betri tatu na katikati wasiweke gunzi la mahindi hawakumuelewa?
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa wazi kuwa wizi ulifanyika, ila mnajaribu kuwaamisha watu kwa ushabidi usio wq wazi. Mfano Kawe mlidai kukamata kura zilizopigwa,kwa nini mzichome kihuni?
mkuu huna haja ya kuhangaika na wajingaHow do explain variation ya kura laki 1 kati ya JPM na Gwajima?
Au tuelezee kura za Misungwi mkuu!!
Hvi kweli kabisa Lissu aangushwe na JPM hadi vituo vyote vya Ikungi? Yaani vyoteeeee? U can't be serious
Ingekuwa ni kweli mawazo mbadala Yana heshimika tusingeona tuliyoyashuhudia hivi karibuni.Mawazo yako yanaheshimiwa...ndiyo demokrasia
Kwa vyama vingi vya UKOMBOZi ofisi siyo kipaumbeleWanakumbuka shuka kukiwa kumekucha haya ofisi ya makao makuu ya CHADEMA mtajenga lini?
Vizuri wajenge waepuke kudharauliwa kufikiwa na ofisi yaoHii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.
Ukombozi kwanza,engine yanafuata kwa umuhinu wake.Kwa vyama vingi vya UKOMBOZi ofisi siyo kipaumbele
Afadhali mtangulizi wake alikuwa anadokoa kwa akili.. huyu wa sasa kakomba kila kitu, tena hadharani🙄Hvi kweli kabisa Lissu aangushwe na JPM hadi vituo vyote vya Ikungi? Yaani vyoteeeee
Mkuu sasa ulitaka Mbowe akubali wakati hata yeye amebwagwa? kama angeshinde ubunge tayari angetoa pongezi kwa JPM.Jibu swali kwanini kuna tofauti ya kura laki 1?
Nielezee kivp turnout iwe 100% huko Busega!!
Kweli kabisa hata kata ya Uhang'ati huko ashinde JPM? Mpaka Wete? Ole? Duh kuna vitu vinashangaza kabisa.
Kinachoshangaza hata walioshinda hawashangilii. Kata nayotoka matokeo yalitangazwa hakuna hata aliyeshangilia watu walikua hawana time kabisa hadi unajiuliza kuna uchaguzi au kikao cha harusi?
Msijidanganye mkuu zungukeni mtaani sio tu upinzani ila hta wana ccm hawajaridhika na huu ushindi wa kishindo. Mbona wa Kikwete 2005 ulikua wazi kabisa kuwa ni kishindo hta kina Mhe.Mbowe walikiri mapema kabisa.
Haaahaaa ningeshangaa sana kma ungejibu kwa hoja.Mkuu sasa ulitaka Mbowe akubali wakati hata yeye amebwagwa? kama angeshinde ubunge tayari angetoa pongezi kwa JPM.
Kwa hiyo wananchi kujitokeza kupiga kura 100% ni jambo la ajabu?
Hilo la kutokushangilia mimi nadhani halina logic maana mimi naona kilichotokea watu walikitarajia mapema mno,hasa kwa anguko la Chadema na Act wazalendo,maana siasa kiunaharakati hazina nafasi Tanzania tena.
Kwa hiyo ulitaka kwa kuwa Gwajima alikuwa mgombea wa Ccm basi kura zake zilingane na mgombea urais wa Ccm? Hii ni ngumu maana kwenye ubunge kuna mengi...
Iwe wete au Uhang'ati wananchi wanataka maendeleo na miaka mitano iliyopita waliona matokeo chanya kwa hiyo sioni ajabu JPM kupata kura nyingi.
Hizo turnout ya 100% unazitoa tu ili kupata justification kuwa kuna wizi ulifanyika, lakini all in all kama hizi allegagitions zipo kweli ukiambiwa ulete ushahidi nadhani huwezi kuwa na ushahidi wa kutosha.Haaahaaa ningeshangaa sana kma ungejibu kwa hoja.
Voter turnout ya 100% haiwezi tokea kwenye jimbo la wapiga kura laki plus. Kma umesoma tafiti huwa kuna margin of error kidogo sasa huko Busega iliwezekanaje turnout iwe full house?
Variation ya kura laki 1 ina maana walipiga kura za Urais tu alafu za ubunge wakapotezea!! Watu laki hawakuchagua mbunge wao wala diwani!! Haaahaaa
Hai kura zaidi ya laki zilipigwa alafu matokeo ndani ya masaa 6 hku majimbo madogo kma ya Ole yalichukua siku mpka 3. Embu Nielezee software gani ilitumika kujumuisha matokeo ili tuwaazime hta US wamalize chaguzi zao ndani ya masaa 6 tu!!
Upofu wako unasababishwa na mahaba, ni jambo la kawaida kabisa!Chadema ilishindwa fair and square...maigizo mengine yote tuache...kwamba eti yalikuwepo mabegi ya kura zilizokuwa zimepigwa na kusambazwa kwenye baadhi ya vituo ni uongo mkubwa..kulikuwepo na waangalizi wa uchaguzi kwenye vituo vingi Redet na makundi mengine kadhaa na hakuna aliyesema kulikuwepo na mabegi ya kura...Mimi kwenye vituo changu sikuona begi la kura...yaani ni akina Mdee na wanachadema wengine ndio eti walioona kinachoitwa mabegi ya kura..
Upofu wako unasababishwa na mahaba, ni jambo la kawaida kabisa!