CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

Mkuu kwa ninavyojua roho mbaya ya waccm,kama ilikuwa ni maigizo kweli.basi hao kina mdee sa hizi wangekuwa wananyea debe mpaka waeleze hizo karatasi walizipata wapi?.lakini kwa sababu ni kweli kulikuwa na kura feki walizotengeneza maccm wanafunika Kombe mwanaharamu apite.
CCM NA UKATILI NI DAMDAM.
Duh...Kuna mambo mengi serikali na vyombo vya dola imeacha kushughulikia kwa kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni mtego...
 
Kiwanja kimenunuliwa Bei gani ? tuanzie hapo Chadema Kuna wezi wa kutupwa tutajieni Bei ya kiwanja mliyonunulia
 
Hawa jamaa hawajawahi kuwa serious aisee

Sioni tofali hata moja zaidi ya kupiga picha na masururu tu
Dah.
Hapo Ni kuzuga lengo Ni kutafuta michango ya ujenzi ya hewa wafisadi

Hiyo picha kitakachofuuata Ni changia ujenzi wa jengo hewa la Chadema makambako
 
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.

Mbona mnasahau kuwa kuna mwenzenu yupo jela,au ndio mlimtumia kama kondomu sasa mmemuacha? Bora mumsaidie kwanza huyu dogo
Screenshot_20201115-065935.png
 
Kuna picha nyingi zinatembea mitandaoni zikionesha wafuasi wa CHADEMA huko Makambako wakijenga ofisi ya chama wilaya/jimbo
Hili jambo linafikirisha sana, katika kipindi ambapo chama hakina ruzuku ndio kinajenga.

Katika kipindi ambapo bei ya cement ipo juu wananchi ndio wamejitolea.

Katika kipindi ambapo wananchi mifuko imekauka (mbao, mahindi na chai havina soko) ndio Wanamakambako wamejitoa.

Hii inatuonyesha mtu kuwa kuna watu wapo tayari kulala njaa ili vyama vyao vya ukombozi (ACT Wazalendo, CDM na CHAUMMA) vifanye mafanikio.

Hili jambo ni onyo kwa watawala kuwa kuna nyakati si za kuwaibia watu na kuwaonea.

Wajifunze kwa makaburu ya SA yaliyokuwa yanamiliki hadi nuclear weapons lakini uonevu ulivyozidi watu walifunga ili kidogo kipatikanacho wapewe mashujaa wakupigania Uhuru waliokuwa Tanzania.

Asante ni

Mjumbe wa ushirikiano mwema ACT & CDM
ACT imezaliwa kutokana na udikteta ndani ya Chadema. Udikteta ambao bado upo mpaka sasa. "Ushirikiano mwema" baina ya ACT na Chadema ni kiini macho kinachotokea wanapokosa wote. Mmojawapo akipata kidogo tu, hakutakuwa na ushirikiano wowote.
 
Chadema ilishindwa fair and square...maigizo mengine yote tuache...kwamba eti yalikuwepo mabegi ya kura zilizokuwa zimepigwa na kusambazwa kwenye baadhi ya vituo ni uongo mkubwa..kulikuwepo na waangalizi wa uchaguzi kwenye vituo vingi Redet na makundi mengine kadhaa na hakuna aliyesema kulikuwepo na mabegi ya kura...Mimi kwenye vituo changu sikuona begi la kura...yaani ni akina Mdee na wanachadema wengine ndio eti walioona kinachoitwa mabegi ya kura..
Huyo atakae sema kulikuwa na mapungufu ataenda kuishi nchi gani? Wale waliotafiti kushuka kwa umaarufu wa mh umesahau yalio wakumba? Unajua wasimamizi walio idhinishwa gharama zote walilipwa na serikali, ili waandike watakacho ambiwa? Acha upuuzi.
 
Chadema ilishindwa fair and square...maigizo mengine yote tuache...kwamba eti yalikuwepo mabegi ya kura zilizokuwa zimepigwa na kusambazwa kwenye baadhi ya vituo ni uongo mkubwa..kulikuwepo na waangalizi wa uchaguzi kwenye vituo vingi Redet na makundi mengine kadhaa na hakuna aliyesema kulikuwepo na mabegi ya kura...Mimi kwenye vituo changu sikuona begi la kura...yaani ni akina Mdee na wanachadema wengine ndio eti walioona kinachoitwa mabegi ya kura..
Waangalizi wa kuandaliwa,kuendana na maslahi,ili kuhalakisha haramu.
 
Chadema ilishindwa fair and square...maigizo mengine yote tuache...kwamba eti yalikuwepo mabegi ya kura zilizokuwa zimepigwa na kusambazwa kwenye baadhi ya vituo ni uongo mkubwa..kulikuwepo na waangalizi wa uchaguzi kwenye vituo vingi Redet na makundi mengine kadhaa na hakuna aliyesema kulikuwepo na mabegi ya kura...Mimi kwenye vituo changu sikuona begi la kura...yaani ni akina Mdee na wanachadema wengine ndio eti walioona kinachoitwa mabegi ya kura..
How do explain variation ya kura laki 1 kati ya JPM na Gwajima?
Au tuelezee kura za Misungwi mkuu!!

Hvi kweli kabisa Lissu aangushwe na JPM hadi vituo vyote vya Ikungi? Yaani vyoteeeee? U can't be serious
 
Nilishawahi kubishana na wewe sana juu ya popular votes za rais zinavyo reflect ushindi wa wabunge.

Misungwi utaaibika boss,madiwani wote na Mbunge walipita bila kupingwa kwa hiyo ni wazi JPM alizoa kura zote.

Watu wamechagua maendeleo safari hii hakuna cha kuangalia huyu ni mtoto wa nyumbani au anahitaji huruma. Ni mwendo wa kuchagua betri tatu zinazofanana ndio zimesababisha anguko kwa wapinzani.
 
Kahama mjini na Kawe kuna uongo mtakatifu

Pia jumla ya kura walizopata wagombea ni nyingi zaidi ya kura halali
 
Nilishawahi kubishana na wewe sana juu ya popular votes za rais zinavyo reflect ushindi wa wabunge.

Misungwi utaaibika boss,madiwani wote na Mbunge walipita bila kupingwa kwa hiyo ni wazi JPM alizoa kura zote.

Watu wamechagua maendeleo safari hii hakuna cha kuangalia huyu ni mtoto wa nyumbani au anahitaji huruma. Ni mwendo wa kuchagua betri tatu zinazofanana ndio zimesababisha anguko kwa wapinzani.
Kwahiyo JPM kupata kura laki 1 zaidi ya Gwajima ndio popular vote??
Misungwi hakukuwa na uchaguzi maana walishapita bila kupingwa hiyo turn out ya 100% ilitoka wapi? Kuna vitu vya kipuuzi sana mnafanya alafu mnajiona wajanja.
Hvi kweli Misungwi ina turn out kuliko hta Ilemela/ Geita mjini na Shinyanga mjini ?
 
Kwa nini Misungwi wasijitokeze watu laki moja? Hujui watu wa mjini wengi huwa hawaendi kupiga kura? Kwani hao laki moja unaosema hawamo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura?

Ninacho maanisha ni kuwa always kwenye uchaguzi wowote ule mgombea urais anayepata popular votes nyingi ni dhahiri kuwa atapata wawakilishi wengi kama wabunge na madiwani.
 
How do explain variation ya kura laki 1 kati ya JPM na Gwajima?
Au tuelezee kura za Misungwi mkuu!!

Hvi kweli kabisa Lissu aangushwe na JPM hadi vituo vyote vya Ikungi? Yaani vyoteeeee? U can't be serious
Nadhani wewe huwafahamu watanzania...halafu nadhani huifahamu TZ...huifahamu saikolojia ya waTZ...Bila Shaka wewe hujatembelea maeneo mengi TZ...mwenzio nimebahatika kutembelea karibu wilaya zote za TZ Tena basi mpaka vijijini kabisa ambako baadhi hata lugha ya Kiswahili inawapa tatizo...huyo Magufuli muone hivyo hivyo popularity yake inatisha? Ikungi ?! Nimefika Ikungi Tena basi mpaka vijijini...Lissu angekuwa popular Ikungi Kama Magufuli asingwania urais...
 
Back
Top Bottom