CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

Mbona aling'oka na richmond bado ipo na inafanya kazi , sasa inaitwa symbion ?
Richmond corruption scandal
On February 7, 2008, Lowassa was forced to resign after being implicated in the Richmond Energy deal corruption scandal. This followed a parliamentary select committee report on an emergency power generation contract between the Tanzania Electric Supply Company Ltd (TANESCO), a public corporation, and a US company styled Richmond Development Company LLC of Houston, Texas. The five-member select committee, headed by Kyela MP, Dr. Harrison Mwakyembe, found the contract to have been fraudulently concluded, hence unconscionable. Richmond was contracted to provide 100 megawatts of electricity each day after a drought early in 2006 but the Richmond generators arrived late and did not work as expected. In spite of this, the government paid Richmond more than $100,000 a day.[5] Lowassa's office then influenced the government's decision to extend Richmonds contract despite advice to the contrary form TANESCO. Two other cabinet ministers who had held the energy portfolio, Dr. Ibrahim Msabaha and Nazir Karamagi were forced to resign as well.[8][9]

Lowassa however denied that his office was involved in improperly awarding a contract to US-based electricity company Richmond Development in 2006.[3]
 
nafikiri hii issue lugumi haitawatoa mafichoni baada ya kukumbatia mafisadi sijui mtaeleza nini mueleweke sasa hivi

Kwani hawa watu wanatumbuliwa kwa maslahi ya nani!!?? ................... Chadema au Taifa!!?
 
**** mwenye akili anawaamini chadema?? Walisema lowassa ni fisadi, kumbe .......
 
bado hatujapata rais wa kupambana na ufisadi tanzania kamwe. labda anapambana na baadhi ya mafisadi....
 
Bakiza akiba ya maneno maana haijulikani siku wala saa ya Mbowe kubadili gia angani na kumteua Lugumi kuwa mgombea urais wa chadema..
Nauliza tena LUGUMI ni shetani au malaika.
 
Asante LUGUMI kwa kuieka serikali mfukoni.Kwa nini wanakuogopa wewe ni nani?

Tafuteni ujio mpya, hapo mliposhika mtateleza sasa hivi, kama lugumi ni ufisadi, toka lini mmeanza kupinga ufisadi??
 
Mkuu tafuta sukari kwanza maigizo nishida
Mkuu vipi yale maigizo ya kunzungusha mikono yamefanikiwa,Vipi msigwa ameisha pata hera za kwenda nje ya nchi kuangalia nyumba za mabalozi au anasubiri kuuza yale madawati ya mgao,maana alisema ni bora aende nje ya nchi kuliko kupewa madawati
 
Rais anakaa kimya kwa maslahi na nani? Kukaa kimya hakutafanya 'Ufisadi wa Lugumi' upoteee

Rais bora ni yule anaeweza kujibu maswali yanayowasumbua wananchi wake kwa wakati
Hivi una akili wewe?? Rais aje ajibu ilibiweje?? Kamati za bunge zinafanya nini??
Aisee, bavicha wengi hamnazo! Kwa nini mnatumia vidole kufikiri??
 
Kweli kupanga nikuchagua na sisi kwa niaba yenu tumechagua LUGUMI.
 
CHADEMA piganieni Tume Huru na Katiba Mpya kwa sasa, mambo mengine hayatekelezeki nje ya hapo! Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaaa
 
Umakini wa kiongozi yeyote hupimwa na uwezo wa kiongozi huyo kuchukua hatua dhidi ya watu wanaomhusu (marafiki zake, ndugu zake, wabia wake wa biashara n.k.). Kuchukua hatua dhidi ya maadui zako au watu walio mbali nawe ni jambo rahisi sana maana hata walipiza visasi huweza kufanya hivyo.

Umakini wa Magufuli wa kuchukia rushwa, ufisadi, uzembe na uvivu, tutaupima vizuri zaidi siku ambapo mkosaji ni ndugu yake, rafiki yake, au mbia wake.
 
Umakini wa kiongozi yeyote hupimwa na uwezo wa kiongozi huyo kuchukua hatua dhidi ya watu wanaomhusu (marafiki zake, ndugu zake, wabia wake wa biashara n.k.). Kuchukua hatua dhidi ya maadui zako au watu walio mbali nawe ni jambo rahisi sana maana hata walipiza visasi huweza kufanya hivyo.

Umakini wa Magufuli wa kuchukia rushwa, ufisadi, uzembe na uvivu, tutaupima vizuri zaidi siku ambapo mkosaji ni ndugu yake, rafiki yake, au mbia wake.
Mkuu game la Lugumi ni gumu sana kama sukari tu imeto watu jasho
 
Ukiwa watoe kwanza boliti ndani ya jicho Lao ndio wakosoe
 
Back
Top Bottom