CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

Jamani niulize swali moja...kutokana na hoja zilizopo! (toka kwa Wangwe)
Ikiwa kweli nafasi walizonazo Chadema ktk uchaguzi wa wabunge ni sita tu.. why wamekuwa na watu watatu toka sehemu moja ama wenye uhusiano kinasaba na sehemu hiyo moja hali Tanzania ni kubwa sana yenye makabila zaidi ya 120!....
Kwa nini wasilitazame swala hili nje ya box hilo ambalo linawapa utata watu wengi.
Ni swala la kujiuliza Je, Watanzania wengi wanalitazama vipi hili....pengine wengi wanakubaliana na Wangwe.
 
no sir i dont accept that!, what wrong did he do?. if communication skill is the only qualification for leadership then Mute people are automatically excluded from offering services to their community even if they can!. sweet talk is different from actions, to me gaffes can be an issue sometimes but not all the time, what i want to see is whether some body can deliver or not!
lack of eloquency or gaffes can not be a reason to punish Wangwe or push him aside.

To call wangwe a loose canon in your own sense can not be a loose canon at all, instead it can be a person who view things on his own way and who is ready to stand and air his opinion without fear of the chairman's whip!

BUT AGAIN WHAT WRONG DID CHACHA WANGWE DO?, I THINK THE ANSWER WONT BE HE IS GOODMAN VERSUS BAD MAN, WHERE IS THE EVIDENCE THAT HE IS A BAD LEADER, THAT HE DESERVE TO BE PUSHED ASIDE?

Tundu Lisu say he is still a friend of Wangwe and he is ready to help Wangwe in his case (election case), but the question is if this man doesnot fit to push forward chadema's agenda through his position of vice chairman, and in Tundu Lisu's own words that this man conpires against his own party then why still support him to win the constituency through the ticket of your own party which you openly declare that the man conspires against?

THE ANSWER IS SIMPLE " RUZUKU", wangwe Goes Ruzuku goes,

How did you come up with this "simple" answer?
 
Jamani niulize swali moja...kutokana na hoja zilizopo! (toka kwa Wangwe)
Ikiwa kweli nafasi walizonazo Chadema ktk uchaguzi wa wabunge ni sita tu.. why wamekuwa na watu watatu toka sehemu moja ama wenye uhusiano kinasaba na sehemu hiyo moja hali Tanzania ni kubwa sana yenye makabila zaidi ya 120!....
Kwa nini wasilitazame swala hili nje ya box hilo ambalo linawapa utata watu wengi.
Ni swala la kujiuliza Wantanzania wengi wanalitazama vipi hili....

Mkandara Mkuu,

Umetumia vigezo gani kujua makabila au sehemu walizotoka hao wabunge wa chadema? je umetumia majina yao au vigezo vipi kujua walikotoka? Huoni kuwa kama kuangalia majina au "sehemu wanazotoka" wabunge wa chadema ni sawa na mtazamo alio nao mgaya kuwa viongozi wa ccm 75% ni waislam?

Kwa mtazamo huu, je utakubaliana na Mgaya kuwa viongozi wa ccm ni 75% waislam?
 
no sir i dont accept that!, what wrong did he do?. if communication skill is the only qualification for leadership then Mute people are automatically excluded from offering services to their community even if they can!. sweet talk is different from actions, to me gaffes can be an issue sometimes but not all the time, what i want to see is whether some body can deliver or not!
lack of eloquency or gaffes can not be a reason to punish Wangwe or push him aside.

To call wangwe a loose canon in your own sense can not be a loose canon at all, instead it can be a person who view things on his own way and who is ready to stand and air his opinion without fear of the chairman's whip!

BUT AGAIN WHAT WRONG DID CHACHA WANGWE DO?, I THINK THE ANSWER WONT BE HE IS GOODMAN VERSUS BAD MAN, WHERE IS THE EVIDENCE THAT HE IS A BAD LEADER, THAT HE DESERVE TO BE PUSHED ASIDE?

Tundu Lisu say he is still a friend of Wangwe and he is ready to help Wangwe in his case (election case), but the question is if this man doesnot fit to push forward chadema's agenda through his position of vice chairman, and in Tundu Lisu's own words that this man conpires against his own party then why still support him to win the constituency through the ticket of your own party which you openly declare that the man conspires against?

THE ANSWER IS SIMPLE " RUZUKU", wangwe Goes Ruzuku goes,

Kauli ya TUNDU LISSU jana ndizo zilifunga mchezo.
Kwanza bado anamsaidia kwenye kesi...Hivyo hapo hakuna kitu chochote personal.
Ama lissu mchagga?

Lissu aliweka wazi kuwa ana mheshimu sana WANGWE tena hata kwa USOMI wake.
Lakini hata hivyo...Alikiri kwamba hakuna jingine la kujadili zaidi ya WANGWE!
Nyie wenyewe mliona tulivyopoteza muda kumjadili Jmushi kama anataka kumwaga damu ama la.

Lissu na wengine tuko nyuma yenu.

Wangwe OMBA MSAMAHA RUDI KAMBINI.

MBOWE...REKEBISHENI MAKOSA YOTE KAMA YAPO NA UWAELEZE NI KWANINI HAKUNA UKABILA CHADEMA.
ZITTO,SLAA TUNAWASUBIRIA KAULI ZENU!
AMA NA NYIE SI CHADEMA?
 
Naomba mtu mmoja anisaidie swali moja muhimu sana:

Tanzania kuna mikoa 27 na wilaya karibu 140 (I think 137 hivi).

Katika mikoa hii yote tanzania kuna makabila yapatayo kama 120 hivi.

Ukiwa na nafasi sita za Wabunge wa viti maalum (6 seats) ni jinsi gani unaweza kuzigawa nafasi hizo kuweza kuridhisha mikoa yote 27 na wilaya 137? Kama ukiamua kutoa nafasi moja mkoa mmoja au wilaya moja unachaguaje mikoa hiyo au wilaya hizo bila kusababisha manung'uniko sehemu nyingine. Na kwenye huo mkoa au wilaya unachaguaje kabila la kuwapa nafasi hiyo? Kwa mfano kama ukienda Tanga kuna wadigo, wabungu, wasambaa na wazigua et al je ukiamua kutoa nafasi moja kwa mkoa wa Tanga utaangalia kabila gani kuwapa?

Mtu ambaye anaweza kuja na formula nzuri hapa nadhani tutakuwa tumewasaidia sana Chadema katika hili tatizo. Mwalimu Kichuguu sijui kama unaweza kutusaidia formula nzuri ambayo haitabagua, haitakuwa na upendeleo na kwa hakika itakubalika na pande zote.

Njia nzuri ni kufikiria yale maswali ya mafumbo: "Mama Grace alikuwa na ng'ombe wawili, mbuzi wawili na kondoo mmoja kati ya hao mbuzi mmoja ni beberu, ...."
 
Mwanakijiji,

Hili swali la wabunge wa Chadema nakumbuka mara ya mwisho lilipotolewa majibu hapa ilionekana kuwa hawa wabunge wengi wao wamekulia au kuishi Dar es salaam. Unakumbuka kuna mtu ameandika kwenye ile thread ya sababu ya Mnyika kushindwa ubungo kuwa eti ni kwa vile hilo jimbo lina wachaga wengi na ndio maana Mnyika ameshindwa. Kuna mambo yanaandikwa hapa yaani yanaumiza kichwa kuyaona kuwa Tanzania hii bado watu wanaangalia makabila ya watu.

Nikiwa nasubiri hiyo formula, bado najiuliza kuwa watu wanajuaje makabila ya watu kama hawajauliza?
 
Mwankijiji,
Mimi binafsi kwa maoni yangu kwanza nitatazama nafasi muhimu za majimbo na sio watu.. Kwa mfano nitatazama ni sehemu gani Chadema wameshindwa kwa kura chache sana na CCM.. Kwa mfano mtu kama Mnyika kama yeye haruhusiwi kisheria basi mtu mwingine toka jimbo hilo.. Nitaongezea tu kwa kusema hivi mfano Ukerewe huko kwetu Mama Mongela kashinda kwa bahati sana kama hakuiba kura. Mikoa yote kanda ya ziwa wamekosa tumaini na CCM hivyo ni muhimu sana kuwatazama hasa mkoa wa Mara.. Kwa hiyo mwakilishi kutoka huko ni njia nzuri sana kuendeleza kuwaonyesha wananchi wa sehemu hilo kuwa Chadema inaendelea kutambua mchango wao..Tukumbuke kuwa wabunge ni wawakilishi nhivyo hatuwezi kulifuta swala la majimbo iwe ni kutokana na makabila, jinsia ama dini..
Na hakika mkuu ikiwa kama wabunge walioshindwa uchaguzi wanaweza kuteuliwa tena basi hakuna njia nzuri zaidi ya kuwaweka wale walioshinda wakatenguliwa na system...Na kama sheria hairuhusu basi ni muhimu sana kutazama ktk majimbo ambayo tuna nguvu kwa kila mkoa ama mikoa ambayo ni muhimu sana katika uchaguzi ujao kutokana na population ya sehemu hizo.

Ni maoni yangu lakini kusema kweli hili la kuchagua watu wanne toka mkoa mmoja na mmoja ana uhusiano kindoa na sehemu ile ile inaweza kuzaa hisia kama hizi. Ni jukumu la viongozi wetu kuangalia maswal;a kama haya kwani hata CUF wanachoshindwa kujieleaza zaidi ni kuhusiana na kuwepo waislaam wengi ktk nyadhifa za chama hicho hali Tanzania ina maislaam asilimia 30, wakristu 30 na wengineo 30.. Ni muhimu sana kulitazama hili hata kama Zanzibar ina asilimia 99 ya waislaam.
 
Tunaweza kutofautiana kimawazo, unaweza kufikiri unachotaka, to me Chacha is just too crass. Sina tatizo na core subject matter ya Wangwe, to the contrary he is to be commended for raising important issues to the table kama nilivyosema hapo juu, delivery yake ndiyo inayommaliza yeye mwenyewe in a self defeating way.

Labda hizi articles haziwezi ku potray message, msikilize hapo bungeni na kwenye interview yake na BBC kuhusu vita ya Comoro. Siyo kwamba hana points, hawezi kujieleza. Sasa kama wewe unaona habitual gaffes ni OK na mimi sioni hivyo, well, there goes the difference between me and you and the type of leadership that is acceptable to me vs you.

Speaker wants Wangwe disciplined soma hapa

Alivyomchemkia balozi wa EU

EU extends budgetary support to Tanzania soma hapa na

Tanzania: EU Gives Sh900 Billion in Budget Support

hapa

Chacha wangwe anavyocheza ngoma ya mafisadi soma hapa

Hana "collective responsibility" anaongea na magazeti ovyo in a way that sabotage the party. This Day wanamwita "outspoken"

Graft also widespread in opposition parties soma hapa

Ona anavyochemsha bungeni hapa

Anaendeleza ugomvi badala ya kutafuta usuluhishi

Wangwe kuishitaki CHADEMA soma hapa

Wambana Mbunge kuhusu ahadi

He is defensive soma hapa
 
Mwafrika wa Kike,
Mkandara Mkuu,

Umetumia vigezo gani kujua makabila au sehemu walizotoka hao wabunge wa chadema? je umetumia majina yao au vigezo vipi kujua walikotoka? Huoni kuwa kama kuangalia majina au "sehemu wanazotoka" wabunge wa chadema ni sawa na mtazamo alio nao mgaya kuwa viongozi wa ccm 75% ni waislam?

Sikiliza maelezo ya Lissu alipohojiwa na Mwanakijiji...Kumbuka naelewa zivuri kuwa Kilimanjaro ni strong hold ya Chadema lakini swali naloweza kujiuliza hivi kweli wanahitaji wabunge watu kati ya sita wakati wananchi wengi wa Tanzania hutazama maswala haya kwa rangi zake!..
CUF walikuwa na kila sababu ya kuwa na waislaam wengi ktk chama chao (Zanzibar) lakini sio kulingana na maono ya Watanzania wengi hasa wasiokuwa waislaam. Je, mtu akiuliza swali hilo huoni kama ni muhimu jibu liwe ktk mtazamo mpana zaidi ya kile unachoona wewe..
 
Nimeyasikiliza maelezo ya Lissu na mengi ambayo yameandikwa sana hapa JF kuhusu ukabila. Kama vile tulivyokataa issue za Mgaya kuwa ccm ni chama cha kiislam (kama ulidhani naongelea CUF), the same standard zinatumika pia kwa CHADEMA (as far as I remember).

Swali ambalo Mgaya aliulizwa last time aliposema kuwa ccm ni chama cha kiislam kwa vile viongozi 75 wa juu na wajumbe wa NEC na CC ni waislam ni moja tu - je amejuaje kuhusu dini za watu?

The same question nauliza hapa ni kuwa, watu wanajuaje kuhusu makabila ya wabunge wa chadema kama wao wenyewe wabunge) hawajasema makabila yao?
 
Hawezi kwa sababu alifanya makusudi kwa malengo mahsusi ya kujaribu kunizushia jambo akiamini kwamba ningekaa kimya. Ambacho hakujua ni kwamba hapa JF ukisema kitu unajibiwa, huwezi kujisemea na watu wakakuacha. Wengine tunaamini kabisa ile falsafa kwamba uongo ukisemwa bila kukanushwa mwishowe huonekana kuwa ni kweli. Sasa nimembana hapa hadi kumpa habari zangu personal kabisa tangu nikiwa sekondari amebaki kubwabwaja maneno mengi.

Kitila Mkumbo amewahi kusema uongo zaidi ya mara mbili hapa hapa JF,kwanza ilikuwa GT anasema kuwa mwanasiasa ni Kitila Mkumbo akabisha sana lakini siku akaja kubadili jina kutoka Mwanasiasa na kuwa Kitila Mkumbo hiyo ilikuwa 2007.
Kitila huyo huyo ilisemwa yuko Ulaya na ni UK, akabisha baadaye akawa yuko kwenye shughuli za watu wa ulaya na mikutano kiasi cha kulumbana na Balozi Mwanaidi Majaar.

Mtu mwingine ambaye ni mwongo ni Fikira Duni kila likija jambo anaweka kinga ya kusema ni Udaku na uzushi,GT aliweka hoja kuwa Membe anamiliki kampuni ya vitambulisho na huo mradi una ufisadi akadaiwa ushahidi na kuambiwa aombe radhi kwa kuwa mwongo.
Ikaja habari ya Membe ya kugombea urais 2010 ikasemwa kuwa ni uzushi na kuna habari ya Tido na Suzane Mungi bwana Fikira Duni akaja juu na kulalama kuwa ni majungu, uzushi na udaku, habari ya vitambulisho Jenerali Ulimwengu alipoipata hapa JF akaifanyia kazi hadi sasa anaendeleza libeneke lakini mwanzo ilisemwa ni uzushi iko www.raiamwema.co.tz kwa zaidi ya matoleo manne yanaeleza habari hiyo.
baada ya FD kuonekana anatumia kinga ya udaku kuficha hoja au kuzima hoja hasa zenye maslahi kwake kwani ni rafiki wa Mwikalo anayeshiriki kutuibia kwenye mradi wa vitambulisho,sasa ameamua kubadili jina lake na kujiita Fair Player.

Fikira Duni na Kitila wamezusha mengi kiasi cha kusema kuwa DR.Warioba hana sifa za kuwa mkuu wa chuo cha Mzumbe, lakini vijana wa Mzumbe hawakusema kuwa tupeni ushahidi ndani ya 24 hours tuliwapa miezi na sasa ni miaka wameshindwa kuthibitisha uongo wao.
kwa maneno yangu ya hapo juu nathibitisha na kuwaomba wana JF hasa GT aje kututhibitisha uongo na ubabaishaji wa Msomi wa Udsm Bwana Kitila Mkumbo, kama aliwahi kulikataa jina lake halisi kipi kitamshinda kukataa kumfuata Mrema alipokuwa huko TLP? au akimuona mtu kashuka kisiasa anaona hafai? ni kweli Mkumbo anatabia hiyo ya uongo na ushahidi uko kwenye maandiko yake hapa hapa jamvini,tumemaliza kesi.

Chacha Wangwe.

Ni mpambanaji mkubwa na anaonewa na Mbowe kwa sababu ni mkweli na muwazi, viti maalum mkoa wa Mara haukupewa kiti hata kimoja wakati mkoa wa Mara hasa TARIME ndio waliopiga kura nyingi kwa upinzani,sielewi Mara haikupewa mbunge mmoja wa viti maalum, wamekwenda kuwapa wachagga watupu,CUF wametoa viti maalum kutokana na kura zinazopatika kwenye mkoa mfano mkoa wa TANGA wamempa mtu kutokana na kura nyingi walizopigiwa,Pemba wamewapa viti maalum kwa kura walizopata,basi wangewapa Sumbawanga kwani Musoma mnawachukia,mchukieni WANGWE kama mlivyomchukia DR.Warioba lakini kazi zao mnaziona. wangwe kapata kura nyingi Tarime kumshinda Slaa, Zitto hadi ALFU.
 
Mwankijiji,
Mimi binafsi kwa maoni yangu kwanza nitatazama nafasi muhimu za majimbo na sio watu.. Kwa mfano nitatazama ni sehemu gani Chadema wameshindwa kwa kura chache sana na CCM.. Kwa mfano mtu kama Mnyika kama yeye haruhusiwi kisheria basi mtu mwingine toka jimbo hilo.. Nitaongezea tu kwa kusema hivi mfano Ukerewe huko kwetu Mama Mongela kashinda kwa bahati sana kama hakuiba kura. Mikoa yote kanda ya ziwa wamekosa tumaini na CCM hivyo ni muhimu sana kuwatazama hasa mkoa wa Mara.. Kwa hiyo mwakilishi kutoka huko ni njia nzuri sana kuendeleza kuwaonyesha wananchi wa sehemu hilo kuwa Chadema inaendelea kutambua mchango wao..

Mkandara, mtu mwingine atasema badala ya kuangalia ni wapi walishinda kwa kura chache ni bora kuangalia mikoa ambayo hawakushinda kabisa ili kuwapa moyo wale wapinzani wachache walioko mikoa hiyo. Kwa mfano, Mtwara, Lindi, Tanga n.k Kule ambako tayari wanawawakilishi hawahitaji mwingine. Hivyo Mara isingetakiwa kupata mgombea mwingine, the same with Kilimanjaro na Kigoma. Lakini nadhani principle yao inatokana na mikoa uliyoshinda wabunge ndiyo wanatoa wa viti maalumu mpya (sina uhakika na hili).

Tukumbuke kuwa wabunge ni wawakilishi nhivyo hatuwezi kulifuta swala la majimbo iwe ni kutokana na makabila, jinsia ama dini..
Na hakika mkuu ikiwa kama wabunge walioshindwa uchaguzi wanaweza kuteuliwa tena basi hakuna njia nzuri zaidi ya kuwaweka wale walioshinda wakatenguliwa na system...Na kama sheria hairuhusu basi ni muhimu sana kutazama ktk majimbo ambayo tuna nguvu kwa kila mkoa ama mikoa ambayo ni muhimu sana katika uchaguzi ujao kutokana na population ya sehemu hizo.

Kwanini tusifute tu huu Ubunge wa viti maalum. Nitafafanua hili jambo siku chache zijazo kwa kutumia hesabu za seti!

Ni maoni yangu lakini kusema kweli hili la kuchagua watu wanne toka mkoa mmoja na mmoja ana uhusiano kindoa na sehemu ile ile inaweza kuzaa hisia kama hizi.

Mzee kitu kimoja kinachonishangaza katika hoja hii ya ukabila/ukanda ni kuwa hatuna data za kulinganisha nazo. Kwa mfano, CUF ina wabunge wangapi wa Kuteuliwa na wanatoka wapi? Endapo tutaona kuwa asilimia kubwa ya wabunge wa kuteuliwa kutoka CUF wanatoka Pemba basi hoja ya ukabila/ukanda inakuwa na msingi.

Hilo lina apply kwa CCM pia wabunge wake wengi wa kuteuliwa wanatoka mikoa gani, na katika mikoa hiyo tuangalie uwiano wa kabila na mahusiano. This would require an emperical study of the situation. Kwa kuangalia tu juu juu na kutoa madai mazito ya ukabila kwangu sioni msingi kwani kwangu ukabila siyo idadi. It is has never been suala la idadi isipokuwa kwenye suala la Chadema.

Ni jukumu la viongozi wetu kuangalia maswal;a kama haya kwani hata CUF wanachoshindwa kujieleaza zaidi ni kuhusiana na kuwepo waislaam wengi ktk nyadhifa za chama hicho hali Tanzania ina maislaam asilimia 30, wakristu 30 na wengineo 30.. Ni muhimu sana kulitazama hili hata kama Zanzibar ina asilimia 99 ya waislaam.

Hilo ndilo tatizo ukiangalia idadi tu ni kiini cha matatizo mengi sana. Kwangu mimi ni principles tu ziongoze. Ndio maana binafsi sitakuwa na tatizo kama Serikali nzima inaongozwa na watu wanaotoka mkoa mmoja as long as Katiba na sheria zilizopo zinafuatwa pasipo kujali kitu kingine chochote kile. Lakini kwa vile tunajua binadamu walivyo, ni vizuri kuwa na kanuni nzuri ya kugawa madaraka bila hasa kuangalia vitu ambavyo mtu hana uwezi wa kuvibadilisha kama rangi, na nasaba.
 
Yaani ni matatizo tu kila mahala.

Sitapenda nione Mbowe, Dr Slaa, Zitto, na Wangwe wanakuwa na upinzani hadi uchaguzi ukikaribia. Ni afadhali waliamua kuwa na mshikamano kabla ya moto wa 2010.

Ntawaona kuwa wao ni wasaliti wakubwa wa kisiasa.

Nilikwishawaona Mabere Marando, Dr Masumbuko Lamwai na wengine waliodanganya kuwa wao ni wapinzani.

Sasa ndio naamini kwamba mpinzani wa kweli Tanzania ni Augustine Mrema ambae kwa bahati mbaya ndo hivo tena!
 
ingia klhnews.com pale juu kuna mahali panasema "listen shows"..

Chacha Vs Lisu
kwa nilivyowasikiliza Chacha yuko sahihi kwa 99.9999999% harafu Lisu yupo sahihi kwa 0.0000001%.
Kwanini Hoja zote za Lisu hazina ushaihidi kwa namna nyingine 99.99999999% ni Uongo na upikaji wa habari.

Chacha
Amesema wabunge watano kati ya sita wanatoka mkoa mmoja kati ya mikoa 26. kitu ambacho ni 100% ukweli

Amesema nenda makao makuu ukaone wafanyakazi kitu ambacho ni 100% na akasema kama unabisha nenda mwenyewe ukajionee.

Amesema Chadema inafahamika japo hata haijajishughurisha kujienga matawi kitu ambacho ni 80% sahihi.

Amesema kama ni Yuda asigejishughurisha kujenga nyumba tokea msingi huko mara ili aje aibomoe kitu ambacho ni 90% ukweli.

Amesema kama wanapata milioni 66 kwa mwezi na wanakiona ni kidogo ambacho hakiwezi pelekwa matawini kwanini wanaendekeza Elkopita?? kitu ambacho ni 100% sahihi.

Na akasema mikoani walikua hawapeleki kabisa hata Tsh 0/= yani ilikua NULL mpaka alipoingia madarakani ndio wakaanza kupeleka baadhi ya maeneo,kitu ambacho Lisu alianza kujihami na muelewa utaelewa tu chacha anaongea ukweli 100%.

Kuhusu kabulu kuongea na chacha tena kumpa pole za msiba ndio wa campitalize kua anakihujumu chadema kwa kutoa siri za chama eti kwa vile ni CCM ,Chacha amezidi kuhoji kwanini wamuone kama mtoa siri kwa kuongea na mbunge wa ccm na kumtuhumu anahujumu siri za chama na kumuacha DR SLAA ambaye mkewe ni Kanda wa CCM na diwani wa CCM.?? hapo Chacha kaonyesha hoja hiyo ni feki .Na chacha akizidi kuonyesha ulewa mkubwa kwa kusema wao na CCM sio maadui Eti wa kutokua marafiki ama mawasiliano hoja zao ndio adui zinapogongana 100% .Ila kimaisha wao ni ma CDA yani wote watoto wa nyumbani.

Chacha kasema huo ukabila alikua hajauona nami naongeza wenda sio malengo yao CHADEMA kusheheni kabila moja Na akazidi kusema alisikia mtaani na kwa wanachama ikabidi aliangalie na akakuta kuna ukweli nami nasema huo uvumi nimeusikia siku nyingi sana hata kabla ya chacha kua mbunge.

CHADEMA acheni kukimbilia kusimamisha watu kwa sababu ya masilahi yenu binafsi angalieni hayo matatizo anayoyaongelea Chacha namyapatie ufumbuzi na sio kukimbilia kumtimua.
Hayo mambo ya siri ktk CHAMA mnayoyaita ndio ufisadi wenyewe huo kama chacha alivyosema.
 
Chacha Vs Lisu
kwa nilivyowasikiliza Chacha yuko sahihi kwa 99.9999999% harafu Lisu yupo sahihi kwa 0.0000001%.
Kwanini Hoja zote za Lisu hazina ushaihidi kwa namna nyingine 99.99999999% ni Uongo na upikaji wa habari.

Chacha
Amesema wabunge watano kati ya sita wanatoka mkoa mmoja kati ya mikoa 26. kitu ambacho ni 100% ukweli

Amesema nenda makao makuu ukaone wafanyakazi kitu ambacho ni 100% na akasema kama unabisha nenda mwenyewe ukajionee.

Amesema Chadema inafahamika japo hata haijajishughurisha kujienga matawi kitu ambacho ni 80% sahihi.

Amesema kama ni Yuda asigejishughurisha kujenga nyumba tokea msingi huko mara ili aje aibomoe kitu ambacho ni 90% ukweli.

Amesema kama wanapata milioni 26 kwa mwezi na wanakiona ni kidogo ambacho hakiwezi pelekwa matawini kwanini wanaendekeza Elkopita?? kitu ambacho ni 100% sahihi.

Na akasema mikoani walikua hawapeleki kabisa hata Tsh 0/= yani ilikua NULL mpaka alipoingia madarakani ndio wakaanza kupeleka baadhi ya maeneo,kitu ambacho Lisu alianza kujihami na muelewa utaelewa tu chacha anaongea ukweli 100%.

Kuhusu kabulu kuongea na chacha tena kumpa pole za msiba ndio wa campitalize kua anakihujumu chadema kwa kutoa siri za chama eti kwa vile ni CCM ,Chacha amezidi kuhoji kwanini wamuone kama mtoa siri kwa kuongea na mbunge wa ccm na kumtuhumu anahujumu siri za chama na kumuacha DR SLAA ambaye mkewe ni Kanda wa CCM na diwani wa CCM.?? hapo Chacha kaonyesha hoja hiyo ni feki .Na chacha akizidi kuonyesha ulewa mkubwa kwa kusema wao na CCM sio maadui Eti wa kutokua marafiki ama mawasiliano wao ni maadui pale hoja zao zinapogongana 100% Chacha.

Chacha kasema huo ukabila alikua hajauona nami naongeza wenda sio malengo yao CHADEMA kusheheni kabila moja Na akazidi kusema alisikia mtaani na kwa wanachama ikabidi aliangalie na akakuta kuna ukweli nami nasema huo uvumi nimeusikia siku nyingi sana hata kabla ya chacha kua mbunge.

CHADEMA acheni kukimbilia kusimamisha watu kwa sababu ya masilahi yenu binafsi angalieni hayo matatizo anayoyaongelea Chacha namyapatie ufumbuzi na sio kukimbilia kumtimua.
Hayo mambo ya siri ktk CHAMA mnayoyaita ndio ufisadi wenyewe huo kama chacha alivyosema.

Kwa maoni yako haya, inabidi Wangwe atafute mwanasheria mpya au sio?
 
Back
Top Bottom