CHADEMA kwawaka Moto! Mbowe arudi Dar!

Status
Not open for further replies.
Zitto lazima aende ktk kamati ili alitumikie taifa, muhimu kwake ni kuwa makini na muadilifu kwa taifa. Kwa kujitoa itakuwa kama mchezo wa kina zembwela tu!!!

Akiona kuna uzushi hapo ndipo anatakiwa ajitoe na kuweka mambo hadharani!! nafikiri hiyo ndio move inayohitajika! si mwakumbuka hata mzee ndesa aliachia ngazi!!!
 
kikwete is politician and zitto is just underground,from my point of view there is one winner on this...time will tell
 
Zitto lazima aende ktk kamati ili alitumikie taifa, muhimu kwake ni kuwa makini na muadilifu kwa taifa. Kwa kujitoa itakuwa kama mchezo wa kina zembwela tu!!!

Akiona kuna uzushi hapo ndipo anatakiwa ajitoe na kuweka mambo hadharani!! nafikiri hiyo ndio move inayohitajika! si mwakumbuka hata mzee ndesa aliachia ngazi!!!

Kama serikali haitaaanza longo longo mikataba na siri kibao za serikali zikivuja na kuanikwa hapa JF kama kawaida, basi Zitto inabidi aingie humo kwenye hiyo ...... hata sijui jina lake
 
..Terms of Reference za hiyo Tume ni nini?

..Tume hii ina tofauti gani na Tume ya Dr.Jonas Kipokola?

..Mabere Marando aliteuliwa na Mwinyi kuingia kwenye Tume ya Nyalali. Kumbukumbu zangu zinaniambia alikataa. Nadhani Mabere hakukubaliana na terms of reference walizopewa na Raisi Mwinyi.

..Suala la kuangalia hapa ni kama Zitto anakubaliana na terms of reference za Tume hii ya Jaji Bomani.

..Zitto ana deni la kutueleza terms of reference ktk tume hii ni zipi na kama anakubaliana nazo.

..Maria Kejo Ndosi,Andrew Chenge ni mwanasheria tu. Hawa siyo wanaopanga royalty, kodi, na mambo mengine yanayohusu fedha na mapato ktk migodi.

..Mimi nalia na aliyekokotoa na kuja na formula ya kuuza madini kwa bei ya kutupa. Nina hakika mtu/mtaalamu huyo si mwanasheria.

NB:
 
Zitto lazima aende ktk kamati ili alitumikie taifa, muhimu kwake ni kuwa makini na muadilifu kwa taifa. Kwa kujitoa itakuwa kama mchezo wa kina zembwela tu!!!

Akiona kuna uzushi hapo ndipo anatakiwa ajitoe na kuweka mambo hadharani!! nafikiri hiyo ndio move inayohitajika! si mwakumbuka hata mzee ndesa aliachia ngazi!!!

Mzee Ndesa alipata faida gani, na uamuzi wake uliisaidia vipi Kamati hiyo?
 
habari za wakati huu salamu na amani iwe juu yenu.

Binafsi sioni sababu ya Zitto kujitokea kwenye kamati kwa sababu siioni mantiki hiyo ila kila mmoja ana mawazo yake na lazima mawazo hayo yaheshimiwe na wengine ambapo mimi ni mmoja wao ambaye nitaheshimu mawazo ya wengine lakini kwa mawazo yangu naona hakusa haja ya kujitoa.

Naomba nitoe mfano mmoja: mimi nikiwa namshutumu mwanamke fulani kwamba nyumba yake ni chafu na kuna vitendo vibaya ndani ya nyumba hiyo vinafanywa lakini pamoja na shutuma hizo sijawahi kuingia ndani ya nyumba hiyo kuthibitisha niliyosema mwanamke mwenyewe akanisikia ninavyomshutumu na akanambia kwamba shutuma ninazompa ni uongo mtupu na kama kweli basi akanitaka niingie ndani ya nyumba hiyo ili mwenyewe nithibitishe. sasa jee mimi nikatae kuingia ndani ya nyumba wakati mwenyewe ameniruhusu? naona hakuna sababu ya kukataa kwanza nitajifunza mengi niingiapo ndani ya nyumba hiyo pia nitapata kujua kwamba shutuma zile ni kweli au uongo? na kama kweli mimi nitajua kwamba nilisema kweli na kama uongo basi nitajua nijifunze kuchunguza jambo kabla ya kulisema.

lakini pia nitafahamu namna watu wanavyoishi ndnai ya nyumba ile na jinsi wanavyokaribisha wageni wao kutoka nje vipi wanawakirimu na vipi wanawapuuza nk. mengi tu si unajua tena kwenye nyumba kuna siri nyingi?

kwanza Zitto ni miongoni mwa wabunge wenye kuwa na wasi wasi na mikataba kwa maana hiyo akiwemo katika kamati hiyo itampatia nafasi ya kuondosha wasi wasi wake aliokuwa nao.
stonetowner
 
Mzee Ndesa alipata faida gani, na uamuzi wake uliisaidia vipi Kamati hiyo?

alifunua madudu mengi sana ambayo tusingeyajua kama asingekuwepo ikiwemo EL kumpigia simu Mengi kumpa taarifa za kuhongwa kwa kamati.

Nimesoma maoni yote kuhusu ushiriki wa Zitto kwenye hii forum na kwenye magazeti; sijaona hata mtu moja akitueleze kinagaubaga athari za ushiriki wa Zitto katika kamati hii kwa maslahi ya nchi. Yaani, tuelezeni jamani ni namna nchi, chadema na Zitto wataathirika kwa huyu mbunge machachari kushiriki katika hii kamati. Ebu msizunguke, wekeni pint, 1,2, 3..plainly.

PS: Mwanakijiji nimesoma makala yako ile ndefu kwenye Tanzania Daima, pamoja na uzuri wa makala hiyo sijaona kabisa makala yako ikijibu hizo dukuduku zangu hapo juu: taifa, chadema na Zitto wataathirikaje kwa Zitto kushiriki katika kamati hii?
 
Kitila,
kwenye kamati kuu uyaseme hayo hayo, by the way kumbukeni CUF ilizorota kwa ubinafsi wao, sasa chama makini hakijajifunza yaliyotokea CUF, ambo kila linalofanywa na CCM ni baya. wananchi wakakiadhibu hakuna mbunge hata mmoja bara.

Kuhusu mwanakijiji lisikupe shida ni itikadi yake ni lazima uiheshimu.
 
Mhh Kutawaka moto mwaka huu...ama kweli mwaka wa Shetani sio sisiemu wala Chadema
 
Kidumu Chama cha Chadema!

Wanaoneana wivu nini kwa "ulaji" wa Zitto?! kwi kwi kwiiiiii
Kumbe kuna Ulaji? Chadema wamesema wanafanya mkutano wao Jmosi.....wale wanachama walioko humu wanaweza wakatupa brief.Kuteuliwa kwa Zito si sawa na kama angeteuliwa Mwafrika wa Kike,Kada Mpinzani,Mchambuzi kwenye Tume ile? mbona imekuwa big deal saaana?
 
Hivi kweli watu nyie mnakaa na kuanza kubishana na Kada ? Kada is the guy ambaye yeye ni kushabikia na kungojea kasoro za Upinzani aseme . Hana mwelekeo wala si mkata issue ila huleta vijineno vya kitoto siku zote .Yeye ni nazi na mnazi wa CCM kwisha kazi yeye tanzania na watanzania si kitu kwake . Kwa mara ya kwanza ama pili naona kaleta mada ya ku copy magazetini huku akiwa anajua kwamba CCM wanataka pa kutokea so the way forward ni kujaribu ku create chaos kwa gharama yeyote ile . Hili halitafanikiwa .

je nimekiuka sheria za JF ???? basi you will just have to deal with it !
Lunyungu angalau saa nyingine unaonega point lakini hapa akili zako nimeziona fupi mno, wee umesikia members hapa wanabishana na kada ama wanabishana na mada ??halafu inaelekea una chuki fulani hivi, etihabari za kucopy na paste, kwani hizo majority za habari zinatoka wapi ? sisemi zote, nasema majority, au ndio umemuona kada tu ? mimi sio mwandishi wa habari kukaa kuandika what i think, bali kama kitu kimeshaandikwa na magazeti mengine will it make sense to you mimi kuandika the same shyt again ?am doing what i can, not what you want me to do!
 
Kada na wanazi wenzie wanashangaa kuona CHADEMA wanaitana kujadili mawazo yao tofauti kinyume na walivyozoea ndani ya CCM ambako wale miungu watu wakishatamka kitu ndio imetoka hiyo hakuna kupingana kimawazo. Kuleta tofauti ya mawazo kwao ni kuwa "SIO MWENZETU".
Jambo hili la Zito na kamati ya madini jinsi linavyochukuliwa ndani ya CHADEMA ndio njia sahihi inayotakiwa kwani kila mtu ndani ya kamati kuu atatoa mawazo yake kisha watatoka na msimamo mmoja. Huu ndio ukomavu unaotakiwa na inaonyesha hakuna mwenye miliki binafsi ndani ya hicho chama kuweza kuagiza atakacho kifanyike.
Tunakitakia kheri kikao chao,na kama ilivyo kawaida ya CHADEMA tunajua busara na maslahi ya taifa ndiyo yatakayopewa kipaumbele.

nyinyi wooote mnaosema kada ni mnazi sijui anapendelea ccm, inaonekana kama mna uoga fulani, now guess what ? let me use your fear and your energy to reach out my issues !
wakati naongelea hapa suala la watu kuwa upande mmoja wakati huo naungana na madai mengi ya chadema mlikuwa wapi ? sasa nipo upande wa ccm ndio mnaanza kuona tatizo eeh ? je sikusema kwamba hili tuala la kuangalia upande mmoja sio mzuri ? of course nilisema, lakini mliziba maskio na kuniona mie ovyo, na wengine wakanikejeli na kusema kada kwa nini wee usifanye hivyo unavyofanya hata watu wasipotaka, and guess what ? i did it by switching sides peke yangu and later on watu wakaanza kuongezeka na sasa mnaona changes mnaanza kunilalamikia, je hii ni haki kweli ?? nilipokuwa napiga kelele siku zote mlikuwa wapi ??

anyway sitaki kuharibu mada, so lets keep the flow of the thread flowing !
 
KADA MPINZANI! Acha uvivu wa kufikiri, tazama dunia kwa mapana na marefu, jifunze namna ya kusoma alama za nyakati, Jivunie kuwa mzalendo wa nchi yako na uwe tayari kuitetea na kuipigania, usikubali kupewa kipande cha muhogo ukatoa maamuzi yenye kuangamiza jamii yako!!
Gday!

kibaya gani nilichokosea ??
 
Mimi nafikiri hakuna haja ya Zitto kujitoa kwani upinzani unaitaji kushirikiana na serikali kuokoa mali za Watanzania wao wakiwa msitari wa mbele.
Sioni tatizo la final report ikisuport mikataba kwani Zitto kama Zitto kama hakubaliani na final report anaweza kuwasilisha ya kwake nafikiri taratibu zinaruhusu kufanya hivyo.
Hii ni nafasi ya pekee kwa Wapinzani kuonyesha jinsi gani wanaweza kutetea Watanzania.
Sidhani kama Mheshimiwa Zitto ana njaa ya posho za vikao, ila ansukumwa na masilahi ya Tanzania.

Kada mpinzani yeye amebobea kwenye CCM anasahau hata watanzania wenzake, kwa kuleta ubishi ambao haujengi nchi yetu.

inalekea wee mgeni hapa forum lakini kama ungekuwa pande gani nilikuwa from the beginning usingesemahaya unayosema sasa hivi ! usiband wagon mambo kwa kuwa fulani kasema hivi na wewe unafuata tu, jua nini nilichokuwa nasimamia from the beginning na utanielewa zaidi !
 
... and guess what ? i did it by switching sides peke yangu and later on watu wakaanza kuongezeka na sasa mnaona changes mnaanza kunilalamikia, je hii ni haki kweli ?? nilipokuwa napiga kelele siku zote mlikuwa wapi ??

anyway sitaki kuharibu mada, so lets keep the flow of the thread flowing !


Hongera kwa kazi ngumu na ya kuonesha mfano!! sikujua ulifanya mambo haya peke yako... it must be very lonely and hard sometimes.. but keep on fighting!!
 
Hivi chadema wamerogwa???? Mbona Mnaanza ubishi wa simba na yanga?@^$#$%#.

Naanza kupata wasiwasi kuwa Chadema wanaogopa kuumbuka!! Kwamba wasiwasi wao Sio kuwa kamati haitafanya kazi vizuri, bali ikifanya kazi yake vizuri itapelekea umma wa watanzania kujua ukweli kuwa maswala ya madini si tatizo la kitaifa kama chama hicho kinavyojaribu kuwalisha wananchi. Kina mzee slaa kila wakiangalia ni kuwa wameshakula kingi ya watanzania wengi kwamba madini ni janga la kitaifa ambalo innji imeingizwa na serikali ya CCM, kwa hiyo kwa kujulikana ukweli waTZ watang'amua uzushi wao.

Unajua wale jamaa wanasema nini moyoni kwa ubishi wa Zitto kung'ang'ania kamati HUYU BWANA MDOGO HAJUI MADHIRA YATAKAYOTUPATA CHADEMA KAMA CHAMA CHA SIASA UKWELI KUHUSU MIKATABA YA MADINI UTAKAPOKUWA WAZI KWA WA-TZ, NDIO TATIZO LA KUSHIRIKISHA WATOTO KTK SIASA!!!

Nawashauri watu wanaoweka mbele maslahi ya vyama vyao vya siasa, kuepukana na utumwa huo na badala yake walitumikie taifa.

ZITTO endelea dogo wangu, kesho unaweza usiwe chadema lakini siku zote utakuwa Mtanzania!!! MASLAHI YA TAIFA KWANZA!!!

i said the same thing, sijui watu wanaogopa nini ! kama mie wananiona ni mnazi basi waache niwe hivyo maana i cant be who they want to be cuz am simply not that and vice versa !

watu wanaogopa mawazo tofauti ya watu, wanaogopa mambo chungu mzima !hata saa nyingine nashindwa kuelewa nini haswa wanaogopa !
 
Hongera kwa kazi ngumu na ya kuonesha mfano!! sikujua ulifanya mambo haya peke yako... it must be very lonely and hard sometimes.. but keep on fighting!!

asante, lakini pia hongera kama hii anastahili kupewa zitto baada ya yeye kuamua kubaki kwenye kamati ingawa wengi hawataki awemo ! shukrani !
mwanakijiji unajua ilikuwaje kipindi kile na nadhani wengi wageni hapa hupata wakati mgumu kuelewa kwa nini nipo hivi, lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kama utaweza waeleze nilikuwa vipi !
 
Mwenzetu tunakuvumilia mawazo yako lakini haya unayoandika yanaonyesha ushamba wako. Lazima ujue kuwa kutofautiana mawazo ni sehemu nyeti na ya msingi katika jamii ya kidemokrasia. Wewe unawaza kutokana na athari za uzoefu wa uozo wa CCM waliolishwa wananchi wengi.

Mbowe kurudi kufanya kazi yake ni jukumu lake, na huo ndiyo unaitwa uongozi. Ulitaka JK ndiye aje kuongoza vikao vya kamati kuu ya Chadema? Usisahau pia kwamba JK alipomteua Zitto alikuwa na sababu zake za kisiasa, ndiyo maana wapo wanaosema Zitto ameingizwa mkenge ili aumbuke...Tazama muundo wa kamati yenyewe...CCM watupu (na Cheyo ni mmoja wao), isipokuwa Zitto. Haya ndiyo maslahi ya taifa?

Wako wapi wataalamu na wanasheria wa madini walio independent? Yako wapi mashirika yasiyo ya kiserikali? Wako wapi wawakilishi wa madhehebu ya dini? Mbona kamati nzima na CCM tu? Kwa nini wananchi washindwe kuona kwamba Zitto kawekwa ili kusindikiza na kupiga mhuri maamuzi ambayo huko mbele ya safari akiyapinga yatatumika kummaliza?

Hivi kuzingatia maslahi ya taifa ni kufanya kazi katika kamati yenye muundo wa kiutata eti kwa vile imeundwa na rais?

La msingi, tujpe muda tuone matokeo ya kikao cha kamati kuu ya chadema. Hii inaonyesha chama kinaendeshwa kwa vikao sio matamko ya barabarani...[/
QUOTE]

great ! ni vizuri kwamba umeweza kuona yooote muhimu uliyoandika !
 
jamani sasa nadhani mambo ya kuattack member badala ya mada sio mchezo mzuri, inaeleweka kabisa kwamba kwenye siasa kuna mchezo mchafu so naomba huo mchezo usitumike hapa JF ili kueneza chuki, wee kama unaona kada anacopy habari na kupaste,ni either uchangie or you simply walk away, sipo hapa kuona mada niliyoanzsisha imesomwa mara ngapi, imejibiwa mara ngapi, AS LONG AS MESSAGE SENT am ok, hata kama mkichunia everything i post, THATS OK with me, as long as naweza kujiexpress what i feel, and my views and GOOD TO GO !

tuendeleeni na mada na sio kada !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom