Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,462
- 39,928
pick a show boy, MAURY, JERRY SPRINGER or esle ..... ukawaambie huko kwamba zitto alilengwa kwenye ajali na ccm, wakati mwenyewe kakanusha KULIKO. binafsi hapa JF am not ready to hear that nonsense ! zitto alishakanusha ! wewe unang'ang'ania tu kama ulikuwepo, au mganga gani alikwambia hayo unayosema ??
Naona aidha una matatizo ya kusoma kilichoandikwa au ni mgumu kuelewa kilichoandikwa; so nitajaribu kwa mara moja na ya mwisho. Ni kwenye mawazo yako tu ambako nilidai kuwa ajali ya Mbatia ilimlenga Zitto.. sijawahi kusema, siwezi kusema na sitosema hivyo hata kama ndani ya moyo wako unaamini hivyo. Hauna ushahidi mahali popote zaidi kwenye imani yako; now imani tulishaangalia unayo haki ya kuamini nilisema hivyo! so carry on.