The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,906
Kila mtu anajua mpango wa kuivuruga Chadema unavyokwenda.
Sasa why Chadema Wana play na mchezo huo? Kwanini wasijifunze kucheza tofauti?
Kama mpango ni kuwavuruga mfukuzane ..why msiamue 'hafukuzwi' mtu Kwa sasa?
Muache anaetaka kutoka atoke Tu mwenyewe?
Why kumjibu mtu kama Makonda?
Kwanini Chadema wasicheze mchezo wa wa kukataa Ku react wanapokuwa provoked?
After all imebaki miezi Tu uchaguzi uje .na wanafiki wote watahamia NCCR na kubaki kujipanga upya?Why uwape Kiki kuwa uliwafukuza?Why usiwaache kama huwaoni ..huku unachukua tahadhari kimyakimya?