CHADEMA kwanini inacheza ngoma za Rais Magufuli?

Mbowe ajawahi kuongoza nchi lakini ameongoza chama kwa muda gani hadi sasa?
Mifano hapo uliyoweka ni marais walioondoka madarakani kwa aibu na fedheha kubwa!Naona Jiwe akipitia humo humo kwani yuko kama hao!
Nyerere aliongoza TANU na baadaye CCM kwa miaka mingapi vile?
 
Afadhali ya DJ kuliko mpiga tumba
Dj Zero chama kimemshinda ila anaogopa ku surrender, tulimshauri sana dj zero akawa mbishi hadi legacy yake imechafuka.

Lakini sishangai ma dikteta wengi uwa wabishi hadi utoka kwa fedheha,mfano Omar Ali Bashir,Saddam, Bokassa etc

In God we Trust
 
Mifano hapo uliyoweka ni marais walioondoka madarakani kwa aibu na fedheha kubwa!Naona Jiwe akipitia humo humo kwani yuko kama hao!
Nyerere aliongoza TANU na baadaye CCM kwa miaka mingapi vile?
Jibu swali hapo nimeweka viongozi waliokaa muda mrefu haijalishi ni wa chama au nchi, dj zero ni mmoja wapo
 
Ccm bila vyombo vya virungu na washa washa tungesha isahau
Kwa hiyo hao wabunge kutoka ndio wamecheza ngoma ya CCM?!

Kama ni hivyo, mbona CCM bungeni bado wanatapatapa!.

Hapo ni nani anaecheza ngoma ya mwenzie?

If that could be the case, CCM wange "relax" but mbona bado wanahangaika, hawatulii bungeni!.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Makengeza anajua kuongoza kuliko mpiga tumba wenu
DJ makengeza aendelee hivi hivi kuongoza chama kidikteta na kuendelea kuwa na
washauri wake wale wale malesbians mwakani ataongoza nchi

In God we Trust
 
Jibu swali hapo nimeweka viongozi waliokaa muda mrefu haijalishi ni wa chama au nchi, dj zero ni mmoja wapo
Nyerere mbona hujamweka kwenye hiyo list?Nimekuuliza aliongoza Tanu na baadaye CCM kwa miaka mingapi?
Viongozi madikteta kama Jiwe hupata tabu sana wanapoondoka madarakani!
 
Nyerere mbona hujamweka kwenye hiyo list?Nimekuuliza aliongoza Tanu na baadaye CCM kwa miaka mingapi?
Viongozi madikteta kama Jiwe hupata tabu sana wanapoondoka madarakani!
Naomba JF idumu milele.

Wapinzani wa leo kesho watakuja kumsifu JPM siku akija kuwa raia.

Kwa uchapazi maadamu JF idumu.

#katoliki2030
 
Nyerere mbona hujamweka kwenye hiyo list?Nimekuuliza aliongoza Tanu na baadaye CCM kwa miaka mingapi?
Viongozi madikteta kama Jiwe hupata tabu sana wanapoondoka madarakani!
Nyerere yupo hai?
 
Back
Top Bottom