CHADEMA kwanini inacheza ngoma za Rais Magufuli?

Chadema wanacheza ngoma ipi ya Magufuli.

-Kuwajadili kina Silinde na wenzake?

- Baadhi ya wabunge wake kuja Dsm?

Mimi naona wao CCM, na Spika wao, plus Magufuli ndio wanaicheza ngoma ya CDM; kutwa kuwajadili, wanataka kujua kila linalofanywa na wabunge wa CDM, na kuwafuatilia wapi walipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe aliwaambia hao wabunge wasitoke nje ya dodoma ili kma wana maambukizi wasipleke kwa wanachi, imekuwaje tena wengine waende dar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dj Zero chama kimemshinda ila anaogopa ku surrender, tulimshauri sana dj zero akawa mbishi hadi legacy yake imechafuka.

Lakini sishangai ma dikteta wengi uwa wabishi hadi utoka kwa fedheha,mfano Omar Ali Bashir,Saddam, Bokassa etc
 
Ongeza hapo na Magufuli,dikteta lenye PhD fake!
 
Mbowe aliwaambia hao wabunge wasitoke nje ya dodoma ili kma wana maambukizi wasipleke kwa wanachi, imekuwaje tena wengine waende dar?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hao wabunge kutoka ndio wamecheza ngoma ya CCM?!

Kama ni hivyo, mbona CCM bungeni bado wanatapatapa!.

Hapo ni nani anaecheza ngoma ya mwenzie?

If that could be the case, CCM wange "relax" but mbona bado wanahangaika, hawatulii bungeni!.

Magufuli hasira, Ndugai hasira, Mwigulu hasira.... Halafu unasema CDM wanacheza ngoma zao; no way!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema inabidi wafikiri beyond horizon. Ilivyo ni kwamba serikali sasa hivi inatumia dola na fedha kuwafanya wapinzani wakate tamaa. Inachotakiwa kufanya Chadema ni kutumia mbinu za kijasusi. Iwaruhusu wabunge na mashabiki wake kuimba mapambio ya kumsifia Mr Zero IQ na kujiunga na harakati zake. Baadae wamlie timing na ku-pull triger wakati muafaka utakafika.
DJ makengeza aendelee hivi hivi kuongoza chama kidikteta na kuendelea kuwa na
washauri wake wale wale malesbians mwakani ataongoza nchi
 
Jikite kwenye mada mkuu.

Dj zero na uliyemtaja nani yupo madarakani muda mrefu?
Jiwe ndiye yuko madarakani,jeuri aliyebweteka kama nchi ni yake!Siku asipokuwa na hayo madaraka atazomewa sana na watanzania wengi!Aombe Mungu asiishi kuishuhudia siku hiyo!Ajiandae kisaikolojia na Konda wake a.k.a uno!
 
Jibu swali kwanza.

Dj zero na uliyemtaja wamekaa madarakani kila mmoja kwa muda gani? Tuanzie hapo then tuendelee.
 
Ndoto za misukule huwa hazina maana
 
Jibu swali kwanza.

Dj zero na uliyemtaja wamekaa madarakani kila mmoja kwa muda gani? Tuanzie hapo then tuendelee.
Jiwe yuko madarakani mwaka wa 5 huu!Mbowe hajawahi kuongoza nchi!

Nasema hivi,siku Jiwe akitoka Madarakani ajiandae kwa fedheha kubwa sana!Nchi italipuka kwa nderemo na vifijo!Au hapa katikati Mungu akifanya yake,mtaani itakuwa kama Tz imechukua kombe la dunia!
 
Mbowe ajawahi kuongoza nchi lakini ameongoza chama kwa muda gani hadi sasa?
 
Back
Top Bottom