CHADEMA kwanini inacheza ngoma za Rais Magufuli?

Kila mtu anajua mpango wa kuivuruga Chadema unavyokwenda.

Sasa why Chadema Wana play na mchezo huo? Kwanini wasijifunze kucheza tofauti?

Kama mpango ni kuwavuruga mfukuzane ..why msiamue 'hafukuzwi' mtu Kwa sasa?

Muache anaetaka kutoka atoke Tu mwenyewe?

Why kumjibu mtu kama Makonda?

Kwanini Chadema wasicheze mchezo wa wa kukataa Ku react wanapokuwa provoked?

After all imebaki miezi Tu uchaguzi uje .na wanafiki wote watahamia NCCR na kubaki kujipanga upya?Why uwape Kiki kuwa uliwafukuza?Why usiwaache kama huwaoni ..huku unachukua tahadhari kimyakimya?
Uwezo wa Mwenye SACCOSS yake ndio umeishia hapo. Na washauri wake ni wale Wasaga unga wawili wa kaskazini, huku Katibu Mkuu akiona marue rue tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Wabunge 2 wametangaza watajiunga NCCR baada ya Bunge kuvunjwa na hawajafukuzwa au hawa walioingia Bungeni zaman wangewafukuza Uanachama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yako nzuri sana ila jibu lake ndio linalosababisha Mhe. Mbowe aonekane uwezo wake wa kuwaza umekomea hapo na jibu ni DOUBLE STANDARD ndio kwamba wengine wakichamba sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anajua mpango wa kuivuruga Chadema unavyokwenda.

Sasa why Chadema Wana play na mchezo huo? Kwanini wasijifunze kucheza tofauti?

Kama mpango ni kuwavuruga mfukuzane ..why msiamue 'hafukuzwi' mtu Kwa sasa?

Muache anaetaka kutoka atoke Tu mwenyewe?

Why kumjibu mtu kama Makonda?

Kwanini Chadema wasicheze mchezo wa wa kukataa Ku react wanapokuwa provoked?

After all imebaki miezi Tu uchaguzi uje .na wanafiki wote watahamia NCCR na kubaki kujipanga upya?Why uwape Kiki kuwa uliwafukuza?Why usiwaache kama huwaoni ..huku unachukua tahadhari kimyakimya?
Acha waondoke... tulishawajua. Mbowe is smart.
 
that's not how politics should be played out my friend.

scientifically speaking, you're probably correct though!
 
Kwa taarifa yako magufuli ndio anacheza ngoma ya chadema...MUOGA SN HUYU JAMAA......kila akimsikia mbowe lazima aje ki hardcore/kihuni huni kumjibu kwa kuzunguka mbuyu.......
Bado kwa magufuli adui wa watz ni wapinzani wala sio umasikini ujinga na maradhi km Mwl alivotuaminisha
 
Back
Top Bottom