CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

Sasa ndugu yangu unadhani MUNGU Anashindwa kumsaidia mtu yeyote? Akitaka hata sasa Anaweza kumuinulia mtu wa kumsaidia hata kama si Rais Samia na akapelekwa hata Uingereza, hivyo kumtegemea YEYE Ndiyo point ya msingi kuliko kuwanyooshea watu vidole kwani hata mimi na wewe pia ni wajibu wetu kumsaidia Mtanzania mwenzetu.
Je angekuwa ni baba ako ungejisikiaje Rais ananunua magoli @30M lakini kuna baba ako ana miaka 5 anaumwa amekosa milioni 3 tu? mbaya zaidi kaenda mpaka Ikulu lakini alifukuzwa kama panya, ungeona nyumba wanayolala na watoto wake 4 wadogo, hata mbwa wako huwezi kumlaza asee, fuatilia Star TV uone mpk unatokwa machozi.
 
Ni kweli sikatai kwamba hapitii magumu najua anapitia magumu na si yeye tu wapo wengi sana wanaopitia mambo mazito hayafai hata kueleza, ila ninukuu maneno yangu; muda wa MUNGU haujafika ukifika kila kitu kitakuwa sawa haijalishi ni kupitia Rais au mtu yeyote yule.
 
Unataka kusemaje kwa mfano? Hao wengine ambao upo nao siku zote walishindwaje kutekeleza hiyo wishes zako Hadi uje kama new member? In short elewa NoRENE for now.
Mimi ni Mwanajamii, Mtanzania na Mzalendo, si Mwanachadema wala Mwanaccm hivyo chochote kinachohusu Maendeleo ya Jamii ndicho ninachokipigia kampeni na wala si msimamo wala mtazamo wa chama fulani.
 
Wacha utapeli boss
 
Ni kweli sikatai kwamba hapitii magumu najua anapitia magumu na si yeye tu wapo wengi sana wanaopitia mambo mazito hayafai hata kueleza, ila ninukuu maneno yangu; muda wa MUNGU haujafika ukifika kila kitu kitakuwa sawa haijalishi ni kupitia Rais au mtu yeyote yule.
Basi sawa
 
Back
Top Bottom