Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 5,957
- 4,514
Nipo kituo kimoja cha kujaza mafuta hapa mitaa ya Kirumba jijini Mwanza namuona kamanda Wenje na mwenzie Highness wakiijaza mafuta kwenye gari lao. Nimewadadisi wakaniambia kuwa kazi ndio inaanza wanaelekea Igunga wakiwa na mabom maalumu ya kuisambaratisha kabisa CCM pia wamenijuza kuwa makamanda Halima Mdee, Zitto na Lema akiwa ame ambatana na Selasin wako njiani vilevile.