CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu

Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza watuambie Azimio la mkutano uliopita kuhusu mikutano ya kisiasa wametekeleza kwa asilimia ngapi sio kila siku kuwafanya watanzania hawakumbuki Hao ni wachumia tumbo tu kama wachumia tumbo wengine
 
Waandishi wa habari ulizeni maswali kama ya BBC hard talk kuudhihirishia ulimwengu ambao husema kuwa Tanzania hamna Waandishi wa habari kuna reporters tu wa habari. Waulizeni maswali yaliyokakamaa short and clear. Mfano mheshimiwa mwenyekiti chadema mna calendar of events za Chama? Je uchaguzi mkuu wa chama utafanyika tarehe zipi? Na wewe Mwenyekiti mheshimiwa Mbowe utagombea tena?
 
well done nasubiri kwa hamu nimeandaa buku mbili tumesha changia sana kwenye vipindi vya ushauli wako hata lisu tuna mchangia
 
Bado hii haitoshi inataliwa wabunge wooote kugomea Bunge kulishinikiza kumpa Lisu stahili zake. Chama kisiwe soft kwa watawala wa namna hii ndio maana wanawekwa lumande, mnataka mpigwe risasi ngapi zaidi ili mjie nia ovu ya watesi wenu. Au mkae lumande siku ngapi ndio mjue nia yao TL ni kuwapima imani yenu tu.

Maongezi yawe tofauti wakati huu na iwe zamu yenu sasa kuchukua hatua kuzuia unyama huu nchini.

Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu

Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga nana

Yaan katoka Mahabusu Hata wiki haijaisha kishakuja Na Mpango Mkakati wa kuKusanya Fedha

Mchagga Mchaga bana sio kina Mashinji Na Prof Safari waliishia kushangaa shangaa
Wewe yaonekana una roho mbaya sana. TL kanyimwa mshahara na stahiki zake nyingine kinyume na katiba na sheria za kibunge, ilhali hakuna asiyejua kilichompata hadi akawa huko aliko kimatibabu baada ya kuuchungulia umauti. Sasa watu wenye utu wakipanga namna ya kumsaidia watakuwa ni wajinga?
Siku litakufika jambo LA kutisha wewe ama mtu wako wa karibu ndo utajua usemi wa mkuki kwa kitimoto, kwa binadamu mchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu

Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lisu is the hope we have,
 
Toka majuzi ni kuongea na vyombo vya habari ila hola.
Waandishi wa habari hawakutokea Ile majuzi Mbowe na Matiko walipoona hakuna PA kuuza sura Mbele ya Waandishi wa habari wakatokomea gizani kwa aibu kimya kimya. Hebu tuangalie na Leo.
 
Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu

Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge

Sent using Jamii Forums mobile app
kinachofuata ni kufuta ubunge kutokana na utoro. pia tutakuwepo mtueleze hao wasiojulikana akina nani maana tunajua ofisi iliyofuta inajulikana. Deko mwisho ilikuwa 2015
 
Wachaga nana

Yaan katoka Mahabusu Hata wiki haijaisha kishakuja Na Mpango Mkakati wa kuKusanya Fedha

Mchagga Mchaga bana sio kina Mashinji Na Prof Safari waliishia kushangaa shangaa
Amesha wa assign akina malisa na kilewo kuchapisha t-shirts za changia mgonjwa lissu. Moja ni 30,000/=
Wadeki lami wanahaha kupata hiyo fedha kwa sasa.
 
Amesha wa assign akina malisa na kilewo kuchapisha t-shirts za changia mgonjwa lissu. Moja ni 30,000/=
Wadeki lami wanahaha kupata hiyo fedha kwa sasa.
Mangi keshaona Fursa chezea Mangi na mangi wenzie Akina malisa na kileo
 
Back
Top Bottom