CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

Amesha wa assign akina malisa na kilewo kuchapisha t-shirts za changia mgonjwa lissu. Moja ni 30,000/=
Wadeki lami wanahaha kupata hiyo fedha kwa sasa.
Hapo yanatolewa malengo ya kufa mtu Kuwa Kila Wilaya na mikoa inunue t-shirts za milioni kadhaa na Kila mbunge na diwani atoe pesa fulani Kila mwezi
 
Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu

Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubiria akaunti namba sisi tuzijaze tu mahela
 
Hapo yanatolewa malengo ya kufa mtu Kuwa Kila Wilaya na mikoa inunue t-shirts za milioni kadhaa na Kila mbunge na diwani atoe pesa fulani Kila mwezi
tutanunua hata aseme tumnunulie helkopta tutanunua! kwani wewe inakuuma nini?
 
kumbe KUB unamujua vizuri
Sasa hivi atakuwa anapiga calculation bavicha, bawacha wote wachomolewe shilingi ngapi na matawi yote ya chadema nchi nzima wachomolewe shilingi ngapi wakati hela ya ruzuku huko hajawahi peleka hata shilingi mia.
 
Wewe yaonekana una roho mbaya sana. TL kanyimwa mshahara na stahiki zake nyingine kinyume na katiba na sheria za kibunge, ilhali hakuna asiyejua kilichompata hadi akawa huko aliko kimatibabu baada ya kuuchungulia umauti. Sasa watu wenye utu wakipanga namna ya kumsaidia watakuwa ni wajinga?
Siku litakufika jambo LA kutisha wewe ama mtu wako wa karibu ndo utajua usemi wa mkuki kwa kitimoto, kwa binadamu mchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko USA nako alikua kwenye matibabu?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Sasa hivi atakuwa anapiga calculation bavicha, bawacha wote wachomolewe shilingi ngapi na matawi yote ya chadema nchi nzima wachomolewe shilingi ngapi wakati hela ya ruzuku huko hajawahi peleka hata shilingi mia.
Zaidi anafikiria 2020 awaletee konki gani apige hela awadekishe lami, maisha yasonge.
 
HILI INATAKIWA PESA TUTAKAZOCHANGA ZIENDE KWA ACCOUNT YA HUKO HUKO UBELIGIJI MANA ILE YA MARA YA KWANZA ILIPIGWA NA VIONGOZI WAKE TULIPODAI AUDITORS WAKARUKA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza wewe usichange.... tuachie sisi tutachanga wewe unaotaka auditors kawambie wakwambie ilipo ile 1.5 trilion ndo ushughulike na za lisu.
KOROSHO ZIMEMSHINDA ATAWEZA MBAAZI?
 
Back
Top Bottom