CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

Watu wasiojulikana AKA watu wa Magogoni.

Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu

Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wekeni utaratibu huyu ni Mtanzania mwenzetu.
 
Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu

Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge

Sent using Jamii Forums mobile app

Vipi na yale Mabasi mapya kabisa ' yanayonadiwa ' hapa 24/7 yatakuwa nayo yakihojiwa na Wanahabari hao hao au?
 
Back
Top Bottom