CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu

Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Atavunja rekodi kwa kupata pesa nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saccos at work!

Kwanza inabidi Serikali ifuatilie kwa karibu hapa kuna dalili za utakatishaji wa fedha kwa kivuli cha matibabu
 
Ushapimwa tezi dume dogo
Naskia dokta alikuwa na midole minene

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Dole lililompima hili hapa

tapatalk_1552561695964.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu

Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Watajulikana tu ni watu wasiojulikana kwa awamu ya 5 labda na ya 6
 
Tutazuia hizo Accounts kwa hoja wanazotumia Wamarekani kudhibiti Magaidi

Huenda hii Michango Sijui ya kuchangia Chama Sijui kumChangia Lissu kuna Mkono wa Money laundering
Lazima mtajaribu kufanya hivyo. Mkishindwa nitakutag ku kuonyesha roho ya koroshow hailp wala nini!
 
Mbowe kufanya analysis vizuri sana, kwani huu sio wakati wa kumadhibu Lissu kwa kueka nidhamu za chama kuhusu kugombea.

Baada ya kuzisoma mioyo ya wanachama NA sakata la Lowasa kubwaga manyanga, kwanza ni mikakati ya kumtuliza Lissu na kuhakikisha hapongani naye, ila anamtengenezea kula na kuzigawa huruma za wanaomuunga mkono.
 
Back
Top Bottom