CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

Kuhusu utaratibu wa kumchangia Lissu ni jambo linalosubiriwa kwa hamu kubwa sana na watu wenye utu ndani yake, huku mbwa na wapumbavu wakinuna.

Lissu kufutiwa mshahara wake haliwezi kuwa tatizo kubwa kuliko afya yake, kama walishindwa kumuua kupitia risasi hawana jeuri tena mbwa hawa

Mungu mwingi wa huruma anaenda kumuwezesha Lissu kuishi maisha mazuri zaidi ya awali
 
Ni jambo jema kupinga uonevu huu wa wazi aliofanyiwa,l kuhusu kuchangiwa chadema tajeni akaunti ya lissu moja kwa moja, pia wekeni na ya chama ili kila mtu anayetaka kuchangia achague mwenyewe. binafsi niko tayari kumchangia lissu
 
Kuhusu utaratibu wa kumchangia Lissu ni jambo linalosubiriwa kwa hamu kubwa sana na watu wenye utu ndani yake, huku mbwa na wapumbavu wakinuna.

Lissu kufutiwa mshahara wake haliwezi kuwa tatizo kubwa kuliko afya yake, kama walishindwa kumuua kupitia risasi hawana jeuri tena mbwa hawa

Mungu mwingi wa huruma anaenda kumuwezesha Lissu kuishi maisha mazuri zaidi ya awali
Ameen
 
Bora mchagga anayetafuta pesa kwa njia halali kuliko huyo mhutu anayejichotea tu kinyemela tena bila idhini ya Bunge! 2.4 trillions za walipa kodi kakwapua toka hazina.

Wachaga nana

Yaan katoka Mahabusu Hata wiki haijaisha kishakuja Na Mpango Mkakati wa kuKusanya Fedha

Mchagga Mchaga bana sio kina Mashinji Na Prof Safari waliishia kushangaa shangaa
 
Kimbilia mahakamani kuzuia huo wizi unaousema, au ukiona haiwezekani mwambie huyo Lucifer wenu jiwe aingilie kati

Tutazuia hizo Accounts kwa hoja wanazotumia Wamarekani kudhibiti Magaidi

Huenda hii Michango Sijui ya kuchangia Chama Sijui kumChangia Lissu kuna Mkono wa Money laundering
 
Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu

Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Matapeli at work
 
Makosa ya kiufundi haya wana fanya Lissu asikauke kwenye vyombo vya habari na vinywani mwa watanzania

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wachaga nana

Yaan katoka Mahabusu Hata wiki haijaisha kishakuja Na Mpango Mkakati wa kuKusanya Fedha

Mchagga Mchaga bana sio kina Mashinji Na Prof Safari waliishia kushangaa shangaa
Kwa nini mlishindwa kusitisha mshahara kabla huyu Mchaga akiwa mahabusu ili msiumie na hiki anachokifanya sasa?
 
Back
Top Bottom