johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Enzi za Lowassa angeclear hizo bill zote kama MO ila ndio hivyo itabidi mtumie mbinu za mzee Yahya Akilimali wa Yanga!Kesho tarehe 14/03/2019 chama kikuu cha upinzani Chadema kitaongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Pamoja na mambo mengine wataweka wazi utaratibu wa kumtibu na kumchangia Shujaaa Tundu Lissu
Hii ni baada ya wasiojulikana kuzuia asilipwe Mshahara wake na posho zingine za kibunge
Sent using Jamii Forums mobile app