CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

CHADEMA itakutesa sana . Mlisema bila ruzuku haitafika mahali ila Sasa mmebadilisha Tena usemi mnadai ubadhirifu wa pesa baada ya kuona haitetereki.
Mkuu hujui kuwa mti wenye matunda ndiyo upigwao mawe siku zote?
 
Tena ni wapumbavu mamluki wa ccm waliokosa soko baada ya kagenge kao ka chaumma kubuma kama yale manguruwe ya Samia yanayoshangilia ushindi wa asilimia 98 lakini kichwani Yana depression.
Duuuu ,hatari sana
 
unataka watu wajadili udaku.
leo hii mtu x atajirekodi huko uchochoroni na kusema Mmawia ni *****, unataka ndugu zako waichukulie habari hiyo seriously?
haujui kwamba watu wanaweza kuandika au kuongea chochote wanachojisikia hata kama ni cha uongo.
Unatumia nguvu nyingi kuongea na mpuuzi??? Mbona haongelei riport ya CA G na maandamano ya Jana??
 
Wangefuata ahadi ya uwazi waliyotoa haya yote yasingetokea. Siri siri ndio zinaibua maneno haya.

Amandla...
Uwazi upi?. Leo mnalilia uwazi. Si nyie mlisema ruzuku ndio imewafanya muhamie chaumma?. Kwamba CHADEMA haiwezi kudumu bila ruzuku. Mmeona michango ya raia mmeanza kelele. CHADEMA kwa Sasa ni Mali ya wananchi.
 
Sasa mbona hamuishi kumfuata fuata? Pambaneni na hao mnaowaita vijana wake, muache mjumbe wenu wa kudumu wa Kamati Kuu aliye mmoja wa waasisi wa CDM aendelee na maisha yake bila kumbughudhi. Kama hamu mmiss mpotezeeni.

Amandla....
Nani anammiss huyo tapeli? Aje achukuwe mamluki wake aondoke nao. Very stupid
 
Rubbish......yaani huyu ndio nani vile. Wewe na nani ? Moto umekuwa mkali na bado
 
Kwa faida ya watanzania wote hasa hasa wapenda siasa za mageuzi
Anayeweza thibitisha ubadhirifu ni CAG tu kupitia taarifa zake za ukaguzi, pia Financial intelligence Unit etc

Sasa kaguzi ya mwaka jana tu sijaona hizi query za wizi au ubadhirifu je nyie mnatoa wapi hizi taarifa? Mchome ni wazi ni mpinzani wa uongozi mpya hawezi kuwa credible source ya kuibua shutuma na zikaaminika.

Kubalini tu majira yamebadilika, chadema mpya ni ya moto sana na ndio wananchi wanaiunga mkono. Hivyo mjiunge mapema au mwende chaumma mkapotee kisiasa
 
itakuwaje wamuondoe kwenye uenyekiti wa CDM mtu ambae wanajua ni mwanachama wa Chaumma? Tafuteni uongo mwingine.

Jibuni shutma za mwanachama wenu. Chaumma wana matatizo yao na haya ya mwanachama wa CDM hayawahusu.

Amandla...
Soma hilo T-shirt kabla ya kukometi
 
Waliokuwa G55 walikuwa wanachama wa Chadema. Kuvaa t shirt hiyo hakuna maana zaidi ya kuwa alikuwa anawaunga mkono. Kuwaunga kwake mkono hakumaanishi kuwa aliunga mkono uamuzi wa baadhi yao kujiunga na Chaumma.

Amandla...
 
Kwa faida ya watanzania wote hasa hasa wapenda siasa za mageuzi
Tangu lini Mchome akawa ni kiongozi CHADEMA ?
Huyu sio mwanachama... Alishirikiana na Ofisi ya Msajili kusema Katibu Mkuu Mnyika hakuchaguliwa kihalali..

Msajili akamzuia Katibu mkuu, bahati nzuri Mahakama ikaona ni ulimbukeni

Sasa Leo kapewa Hela ndio umuamini huyu limbukeni ?
 
Pia nasikia Heche kakimbilia Ubelgiji na pia twaomba ufafanuzi kwa hili.kwanini akimbilie ubelgiji na je anaenda huko kufanya nini?
Yule aliyeenda kumtembelea mjane leo siyo heche kumbe
 
Kuna utaratibu wa ripoti za mahesabu hata kwenye kikoba huwezi kusonewa TU

Isitoshe Kila mkoa walikuwa WANASOMA jumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…