CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

Tone tone inatumwa kwenye account za chama.

Inakaguliwa na CAG.

Halafu Heche hana njaa hizo za kuiba Tone Tone.

Huu ni usenge tu.

Angekuwa nanjaa, wangekuwa wmaeshauza chama kwa mabingwa wa MAUAJI na wizi Kina Samia Abdul
Kama ni hivyo ni rahisi kusema ngapi zimekusanywa na zimetumika vipi. Aidha, kinachokaguliwa ni kilichoingizwa kwenye akaunti, sio fedha taslimu zilizokusanywa kwenye mikutano n.k.

Heche, hata Lissu hawawezi kukiuza chama kwa mtu yeyote. Kinachotakiwa hapa ni uadilifu na si kinginepo. Kama hamna ubadhirifu (au harufu yake) uliotokea, chama kiseme hivyo. Wakifanya hivyo watakuwa wamemsafisha Heche na kuonyesha kuwa ni chama ambacho hakiogopi kukoselewa.

Amandla...
 
Mchome amemtuhumu Heche "kunufaika kisiasa na hali ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kuwa gerezani", kwahiyo Mchome anataka Heche aache kukiendesha chama kwa nafasi yake ya umakamu mwenyekiti! Chama kisimame mpaka Liss atakapotoka gerezani!
Mkuki kwa nguruwe. Hata Heche aliwatuhumu Sigrada na Salome bila ushahidi wowote. Mchome ana haki ya kusema lolote. Chama nacho kina haki ya kukataa ushauri wake. Ndio demokrasi.

Amandla....
 
Huko kwenye hicho kikao Mchome alikuwa peke yake na Lema?

Mbona Lema nae yupo kimya. Au ndio anaficha siri za chama?

Haya mambo huwa yanaanzia chini baadae yanakuja kujitokeza hadharani.

Time will tell
 
Mkuu Mmawia naamini unao uwezo wa kuchanganua mambo, yaani umeshindwa kujua aliyewasilisha hizo tuhuma anayo background gani?
Alichokifanya kwa kuweka wazi tuhuma hizo na mto tuhuma ndio namna ya kuzizika milele. Kukaa kimya na kuzipuuza kwa sababu aliyezileta haaminiki sio solution.
Angalia hii post , kajamaa kalituaminisha magari yameuzwa vipuri na hayatotembea chama kikitoka kifungo haramu ,kichekesho ni kaliposema ni habari ya kuaminika kabisa je magari yalishindwa kutembea baada ya chama kufunguliwa kutoka kifungo haramu?
Kutembea kwake ndio kumethibitisha kuwa alikuwa anasema uongo. Hilo ndio jawabu linalotakiwa, halafu yeye aseme alikuwa ana maanisha nini kwa kutoa tuhuma zile.

View: https://x.com/i/status/2038158815338664131
Hii ni project part II baada ya ile ya msajili kufeli hizi tuhuma iweje kamati kuu ikae kimya eti wanaozifahamu wawe wanachaumma waliohama baada ya kugaragazwa katika box la kura kwa haki na uwazi
Haueleweki. Ungeweka koma na full stop ingesaidia kukuelewa.
Yericko Nyerere na Mchome ndio wawe wanazijua tuhuma hizi halafu viongozi walioko kamati kuu wawe kimya?
Inawezekana kabisa kuwa viongozi wamekaa kimya kukilinda chama. Dawa ni kuzikanusha na sio kukaa kimya.
Sasa kama kwako kila kitu mchawi wake ni Chaumma utawezaje kumsema Heche ikiwa atathibitishwa kuwa ameiba? Si utasema alikuwa nae anatumiwa na Chaumma?
Kwenye hilo na mengi mengine haaminiki. Nae inaonekana chuki zake binafsi na viongozi wa Chadema zina mpofusha. Hata hivyo ni vyema zaidi kukabiliana nazo badala ya kuzipuuza.
Sio dhambi kuhudhuria mkutano wa chama chochote.

Amandla...
 
Mmawia usiingizwe Cha kike na huyo mchome pandikizi Hilo
 
Alichokifanya kwa kuweka wazi tuhuma hizo na mto tuhuma ndio namna ya kuzizika milele. Kukaa kimya na kuzipuuza kwa sababu aliyezileta haaminiki sio solution.
Mbona hasemi zimeibiwa kiasi gani?

Pesa ni namba.
Kutembea kwake ndio kumethibitisha kuwa alikuwa anasema uongo. Hilo ndio jawabu linalotakiwa, halafu yeye aseme alikuwa ana maanisha nini kwa kutoa tuhuma zile.
Kwanini asieleze kwa kina tumuelewe , hivyo mimi na wewe hatujamuelewa kama kashindwa kuelezea kitu alichokiibua tumuamini vipi hicho unachosema ni "uthibitisho"?
Haueleweki. Ungeweka koma na full stop ingesaidia kukuelewa.
Sentensi ipi haijaeleweka?
Inawezekana kabisa kuwa viongozi wamekaa kimya kukilinda chama. Dawa ni kuzikanusha na sio kukaa kimya.
Kwanini wakae kimya?

Katibu mkuu wa chama ndio mtendaji mkuu wa chama tusubiri atatoa majibu , lakini shaka ipo kwa hao waleta tuhuma nimeweka mfano hai hapo wakidai magari yameuzwa vipuri na wakisema kabisa ni taarifa za kuaminika na chama kimefunguliwa tumeona mikutano imerindima bila shida.
Sasa kama kwako kila kitu mchawi wake ni Chaumma utawezaje kumsema Heche ikiwa atathibitishwa kuwa ameiba? Si utasema alikuwa nae anatumiwa na Chaumma?
Wapi nimesema Heche ndio athibitishe ameiba?

Au ndio yale yale ya kusema polisi wanaotuhumiwa kwa utekaji wanasema wanachunguza?

Nadhani umechagua upande ila sasa twende huko huko ulikoenda kwamba kwanini nimetaja CHAUMMA na sio ACT au TLP.

Jibu ni moja baaaa ya uchaguzi kwisha Mbowe kushindwa kambi yake ilianzisha vuguvugu la kupinga NO REFORMS NO ELECTION ambayo waliisimamia tangu uchafuzi wa serikali za mitaa 2024 wakihaidi hawatoshiriki chafuzi yoyote hadi mabadiliko ya tume ya uchaguzi na katiba mpya ghafla baada ya kushindwa uchaguzi wa wazi kabisa wakahama na kuanza kukipinga chama kutokea ndani na wakaunda G-55 na baadae wakahamia CHAUMMA wapo waliojikita na chama kipya ila hawa wawili Yericko na Mchome wao waliendelea kuichonokoa CHADEMA kwa uzushi na tuhuma nyingi za uongo mfano wa tuhuma za uongo ni kama hizo kusema viongozi waliopo madarakani kwenye chama wananufaika na uwepo wa Lissu gerezani sasa swali ni je hao watu ndio walimfunga Lissu?

Tena walioipinga NO REFORMS NO ELECTION ghafla walikua miongoni mwa viongozi wa nafasi za juu kabisa katika chama na waliokua wakiipigia chapuo.


View: https://x.com/i/status/1921484745856200780
Kwenye hilo na mengi mengine haaminiki. Nae inaonekana chuki zake binafsi na viongozi wa Chadema zina mpofusha. Hata hivyo ni vyema zaidi kukabiliana nazo badala ya kuzipuuza.
Ndio chuki na tuhuma hizo za kizushi ninazoeleza hapa nashangaa mwanzo umepinga halafu hapa unakubali tuhuma hizo zimetawaliwa na uzushi kuliko uhalisia.

Mimi nimeshajipambanua sitetei ufisadi wala wizi haijalishi kafanya Heche au Lissu nitaupinga 100% ila waleta tuhuma wanatia shaka hasa rekodi yao ya taarifa walizokuwa wanaleta awali zimeelekea mrengo wa chuki na propaganda kuliko uhalisia.

Mchome anasema Heche kaiba pesa anashindwa ni kuja aseme ameiba pesa kiasi fulani kutoka kiasi fulani kilichokuwepo awali?
Sio dhambi kuhudhuria mkutano wa chama chochote.

Amandla...
Uliwahi kuona CCM au CHADEMA viongozi kutoka chama kimojawapo wakahudhuria mkutano mkuu??

Huo haukua mkutano wa hadhara bali mkutano mkuu.
 
Vipi Abdully hajambo?
 
Kwamba huyo mamluki wenu aliyefurushwa uanachama ndio anajua ubadhirifu wa pesa za chadema kuliko chadema yenyewe? Ni mpumbavu pekee anayeweza kuamini huo upumbavu.
 
in fact kuna changamoto nyingi mno zitakazopelekea Joseph Selasini kukaimu uenyekiti wa chadema taifa kirahisi mno 🐒
Mashoga na mapumbavu ya ccm mamluki wenu watakaimu uenyekiti wa mama yenu huko ccm kwenye mafisadi, majizi,matekaji na mauwaji yaliyokosa uungwaji mkono pamoja na kujipigia kura asilimia 98.
 
Vijana wa Mbowe bado hamjakubali chama sasa ni cha Lissu na Heche?

Yericko, Mchome, Mmawia jaribuni ku-move on. Mbowe shughuli yake imeshaisha.
Tena ni wapumbavu mamluki wa ccm waliokosa soko baada ya kagenge kao ka chaumma kubuma kama yale manguruwe ya Samia yanayoshangilia ushindi wa asilimia 98 lakini kichwani Yana depression.
 
Kwamba huyo mamluki wenu aliyefurushwa uanachama ndio anajua ubadhirifu wa pesa za chadema kuliko chadema yenyewe? Ni mpumbavu pekee anayeweza kuamini huo upumbavu.
Nashukuru kwa mawazo yako kiongozi
 
Huyo ni kibaraka wa Mbowe. Alitimuliwa zamani sana. Anahangaika tu, ila baadae atapotea. Mtu alikishtaki chama kwa msajili mpaka kikafungiwa ruzuku mpaka Leo, Bado unamuona ana la maana?. Wahamie huko chaumma kwa Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…