LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,497
- 3,388
ha ha ha ...
CHADEMA wanampeleka akatumikie jimbo la nyumbani kwao Machame!
msalani kazini.............utawanga sana daadekiii!!!!
Last edited by a moderator:
ha ha ha ...
CHADEMA wanampeleka akatumikie jimbo la nyumbani kwao Machame!
hahaha!!! porojo kama za nape vuvuzela na ashumpter mshama?Soma habari vizuri, LEMA anaondolewa na wana CHADEMA wenzie! CCM haihusiki hapa.
CCM kazi yake ni kuwaletea maendeleo watanzania sio kupiga porojo za kisiasa.
LEMA kwa sasa ni Mbunge wa Arusha mjini, na mimi ni mkazi wa hapa, Mvua ipi unyozungumzia?
lema sio riziki
Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!
Hizi ni habari zenye uhakika 100% nilizozipata kutoka ndani ya CHADEMA na zikathibitishwa na mmoja wa viongozi wakuu hapa mkoani.
CHADEMA kupitia mwenyekiti wao wameongea na Mbunge wa Arusha mjini Bw Godbless J Lema na kumuomba asigombee tena ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama hicho.
Habari zaidi zinasema, CHADEMA wamefikia hatua hiyo baada ya kugundua kuwa wakazi wa Arusha mjini hawana tena Imani na Bw.Lema baada ya LEMA kushindwa kutimiza karibia asilimia 98 ya ahadi zake kwa wana Arusha, Kwahiyo kama angegombea angeshindwa vibaya na hivyo kuwa ni aibu kwa chama hicho, ukichukulia kuwa wameshatangaza kuwa Arusha mjini ni ngome yao.
Suala lingine lililosababisha CHADEMA kumuondoa LEMA ni hili la wanachama wengi wa CHADEMA ambao nao ni viongozi katika ngazi za chini kuonyesha wazi kupingana na uongozi wa Mbunge huyu! Kwa mfano kijana wa CHADEMA siku nyingi Bw.Noel Ole Veroya kutangaza Nia ya kumn'goa LEMA Arusha. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na siasa za fujo alizosiasisi Ndg.Lema.
Suala la Ukabila nalo Limechukua nafasi yake, kwani Bw.Noel ametajwa kuwa ni mzawa wa Arusha huku Godbless LEMA akishawishiwa akagombee Jimbo la HAI(Nyumbani kwao) kwani Mbowe anatarajiwa kuhamia jimbo la Moshi mjini.
Pia CHADEMA imemtoa wasiwasi Bw.LEMA kwamba iwapo atakosa nafasi ya Ubunge watampa cheo kama kile cha NAPE, kwahiyo hatakufa njaa hapa mjini.
Wapiga Kura wengi wa Arusha mjini wamefurahishwa na habari hizi kwani wengi wao wamechoshwa na vituko vya Mh.LEMA na sasa wanataka maendeleo.
lema sio riziki
Sogea karibu na hapo ulipo siku yoyote jioni nikununulie supu ya Makongoro hapa jirani na unapokaaga, kwakua naona unaupungufu wa Bonn marrow!Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!
Hizi ni habari zenye uhakika 100% nilizozipata kutoka ndani ya CHADEMA na zikathibitishwa na mmoja wa viongozi wakuu hapa mkoani.
CHADEMA kupitia mwenyekiti wao wameongea na Mbunge wa Arusha mjini Bw Godbless J Lema na kumuomba asigombee tena ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama hicho.
Habari zaidi zinasema, CHADEMA wamefikia hatua hiyo baada ya kugundua kuwa wakazi wa Arusha mjini hawana tena Imani na Bw.Lema baada ya LEMA kushindwa kutimiza karibia asilimia 98 ya ahadi zake kwa wana Arusha, Kwahiyo kama angegombea angeshindwa vibaya na hivyo kuwa ni aibu kwa chama hicho, ukichukulia kuwa wameshatangaza kuwa Arusha mjini ni ngome yao.
Suala lingine lililosababisha CHADEMA kumuondoa LEMA ni hili la wanachama wengi wa CHADEMA ambao nao ni viongozi katika ngazi za chini kuonyesha wazi kupingana na uongozi wa Mbunge huyu! Kwa mfano kijana wa CHADEMA siku nyingi Bw.Noel Ole Veroya kutangaza Nia ya kumn'goa LEMA Arusha. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na siasa za fujo alizosiasisi Ndg.Lema.
Suala la Ukabila nalo Limechukua nafasi yake, kwani Bw.Noel ametajwa kuwa ni mzawa wa Arusha huku Godbless LEMA akishawishiwa akagombee Jimbo la HAI(Nyumbani kwao) kwani Mbowe anatarajiwa kuhamia jimbo la Moshi mjini.
Pia CHADEMA imemtoa wasiwasi Bw.LEMA kwamba iwapo atakosa nafasi ya Ubunge watampa cheo kama kile cha NAPE, kwahiyo hatakufa njaa hapa mjini.
Wapiga Kura wengi wa Arusha mjini wamefurahishwa na habari hizi kwani wengi wao wamechoshwa na vituko vya Mh.LEMA na sasa wanataka maendeleo.
Nyie kaeni hapo chini mkijidanganya!Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!

Huu uchafu pelekea wakina Makonda pale lumumba[/QUOT
Huu uchafu ni wakwenu na unaotoka UFIPA, kwa hivyo kama umeshikwa na matapishi kamtapikie Slaa, ndiye kiongozi wa kumuondoa LEMA , akijua kuwa lema hatakiwi tena na wana Arusha.
Tusisahau Wachaga na Wamburu ndio wamekuwa wakazi wengi wa Arusha na ni wafanyi biashara wazuri sana, Siasa za Lema simewarudisha nyuma vibaya sana, hawamtaki na hawana imani naye hata kidogo.
Aondoke kesha iharibu ngome ya Chadema , na popote atakapopelekwa huyo ni MZIGO.
Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!
Hizi ni habari zenye uhakika 100% nilizozipata kutoka ndani ya CHADEMA na zikathibitishwa na mmoja wa viongozi wakuu hapa mkoani.
CHADEMA kupitia mwenyekiti wao wameongea na Mbunge wa Arusha mjini Bw Godbless J Lema na kumuomba asigombee tena ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama hicho.
Habari zaidi zinasema, CHADEMA wamefikia hatua hiyo baada ya kugundua kuwa wakazi wa Arusha mjini hawana tena Imani na Bw.Lema baada ya LEMA kushindwa kutimiza karibia asilimia 98 ya ahadi zake kwa wana Arusha, Kwahiyo kama angegombea angeshindwa vibaya na hivyo kuwa ni aibu kwa chama hicho, ukichukulia kuwa wameshatangaza kuwa Arusha mjini ni ngome yao.
Suala lingine lililosababisha CHADEMA kumuondoa LEMA ni hili la wanachama wengi wa CHADEMA ambao nao ni viongozi katika ngazi za chini kuonyesha wazi kupingana na uongozi wa Mbunge huyu! Kwa mfano kijana wa CHADEMA siku nyingi Bw.Noel Ole Veroya kutangaza Nia ya kumn'goa LEMA Arusha. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na siasa za fujo alizosiasisi Ndg.Lema.
Suala la Ukabila nalo Limechukua nafasi yake, kwani Bw.Noel ametajwa kuwa ni mzawa wa Arusha huku Godbless LEMA akishawishiwa akagombee Jimbo la HAI(Nyumbani kwao) kwani Mbowe anatarajiwa kuhamia jimbo la Moshi mjini.
Pia CHADEMA imemtoa wasiwasi Bw.LEMA kwamba iwapo atakosa nafasi ya Ubunge watampa cheo kama kile cha NAPE, kwahiyo hatakufa njaa hapa mjini.
Wapiga Kura wengi wa Arusha mjini wamefurahishwa na habari hizi kwani wengi wao wamechoshwa na vituko vya Mh.LEMA na sasa wanataka maendeleo.
Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!
Hizi ni habari zenye uhakika 100% nilizozipata kutoka ndani ya CHADEMA na zikathibitishwa na mmoja wa viongozi wakuu hapa mkoani.
CHADEMA kupitia mwenyekiti wao wameongea na Mbunge wa Arusha mjini Bw Godbless J Lema na kumuomba asigombee tena ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama hicho.
Habari zaidi zinasema, CHADEMA wamefikia hatua hiyo baada ya kugundua kuwa wakazi wa Arusha mjini hawana tena Imani na Bw.Lema baada ya LEMA kushindwa kutimiza karibia asilimia 98 ya ahadi zake kwa wana Arusha, Kwahiyo kama angegombea angeshindwa vibaya na hivyo kuwa ni aibu kwa chama hicho, ukichukulia kuwa wameshatangaza kuwa Arusha mjini ni ngome yao.
Suala lingine lililosababisha CHADEMA kumuondoa LEMA ni hili la wanachama wengi wa CHADEMA ambao nao ni viongozi katika ngazi za chini kuonyesha wazi kupingana na uongozi wa Mbunge huyu! Kwa mfano kijana wa CHADEMA siku nyingi Bw.Noel Ole Veroya kutangaza Nia ya kumn'goa LEMA Arusha. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na siasa za fujo alizosiasisi Ndg.Lema.
Suala la Ukabila nalo Limechukua nafasi yake, kwani Bw.Noel ametajwa kuwa ni mzawa wa Arusha huku Godbless LEMA akishawishiwa akagombee Jimbo la HAI(Nyumbani kwao) kwani Mbowe anatarajiwa kuhamia jimbo la Moshi mjini.
Pia CHADEMA imemtoa wasiwasi Bw.LEMA kwamba iwapo atakosa nafasi ya Ubunge watampa cheo kama kile cha NAPE, kwahiyo hatakufa njaa hapa mjini.
Wapiga Kura wengi wa Arusha mjini wamefurahishwa na habari hizi kwani wengi wao wamechoshwa na vituko vya Mh.LEMA na sasa wanataka maendeleo.
Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!
Hizi ni habari zenye uhakika 100% nilizozipata kutoka ndani ya CHADEMA na zikathibitishwa na mmoja wa viongozi wakuu hapa mkoani.
CHADEMA kupitia mwenyekiti wao wameongea na Mbunge wa Arusha mjini Bw Godbless J Lema na kumuomba asigombee tena ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama hicho.
Habari zaidi zinasema, CHADEMA wamefikia hatua hiyo baada ya kugundua kuwa wakazi wa Arusha mjini hawana tena Imani na Bw.Lema baada ya LEMA kushindwa kutimiza karibia asilimia 98 ya ahadi zake kwa wana Arusha, Kwahiyo kama angegombea angeshindwa vibaya na hivyo kuwa ni aibu kwa chama hicho, ukichukulia kuwa wameshatangaza kuwa Arusha mjini ni ngome yao.
Suala lingine lililosababisha CHADEMA kumuondoa LEMA ni hili la wanachama wengi wa CHADEMA ambao nao ni viongozi katika ngazi za chini kuonyesha wazi kupingana na uongozi wa Mbunge huyu! Kwa mfano kijana wa CHADEMA siku nyingi Bw.Noel Ole Veroya kutangaza Nia ya kumn'goa LEMA Arusha. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na siasa za fujo alizosiasisi Ndg.Lema.
Suala la Ukabila nalo Limechukua nafasi yake, kwani Bw.Noel ametajwa kuwa ni mzawa wa Arusha huku Godbless LEMA akishawishiwa akagombee Jimbo la HAI(Nyumbani kwao) kwani Mbowe anatarajiwa kuhamia jimbo la Moshi mjini.
Pia CHADEMA imemtoa wasiwasi Bw.LEMA kwamba iwapo atakosa nafasi ya Ubunge watampa cheo kama kile cha NAPE, kwahiyo hatakufa njaa hapa mjini.
Wapiga Kura wengi wa Arusha mjini wamefurahishwa na habari hizi kwani wengi wao wamechoshwa na vituko vya Mh.LEMA na sasa wanataka maendeleo.
JELA NI MAHALI PA KUISHI KAMA SABABU YA KWENDA HUKO NI VITA DHIDI YA UONEVU, UKANDAMIZAJI WA HAKI NA UTU WA BINADAMU.Wapendwa wapiga kura wangu na Watanzania wenzangu. Sina wakati mgumu kuchukua maamuzi haya yanayotokea leo. Upendo huu nilio nao kwa watu wa Arusha na nchi yangu ni sababu ya msingi ya maamuzi haya. Nimetishwa mara nyingi, rafiki zangu wametishwa, jamii ya watu duni imeendelea kuishi kwa mashaka na matisho kwa muda mrefu.![]()
Katika mazingira haya, nikawaza sana kuwa anatakiwa kutokea mtu mmoja jasiri atakayeweza kuona thamani ya watu wengine. Huyo mtu anaweza kuwa wewe lakini kwa wakati huu siwezi kumsubiri tena na nimechagua kuwa mimi nikiamini kuwa utanikuta nikiendelea na safari ya ukombozi.
Tupo wengi sana tunaotaka mabadiliko, haki na ukweli. Hata hivyo hofu, woga na mashaka yamepoteza thamani yetu yote ya maana ya kuishi.
Waliofungwa kwa kuonewa na kuteswa, waliokosa chakula na kulala nje, waliokwenda hospitali na kukosa madawa, waliokosa ajira na kipato mpaka kujikuta wametoroka familia zao, waliopoteza matumaini ya maisha, waliopora utajiri wa nchi yetu kwa manufaa yao binafsi, walionunua haki na sheria dhidi ya wajane na wanyonge na kuwapora vipato vyao vidogo na mashamba yao, USIULIZE SABABU NINI!
Nimetafakari sana na nikatambua kuwa sababu ni mimi pale nilipokuwa kimya wakati wajane na wanyonge wanaonewa.
NIliposikia wengine wanaandamana kupinga uovu, uonevu, wizi, ufisadi na ukandamizaji wa haki nikasema ni hao na wala sio mimi, kumbe nilipaswa kuwa mbele katika harakati hizi.
Nilipoona wenzangu hawawezi kupata matibabu nikasema mimi sio mgonjwa, nilipopata taarifa za rafiki zangu kufungwa kwa makosa yasiyo yao, nilipoona watoto wa mitaani wanaomba chakula, nilipoona wazee
wamepoteza matumaini ya kuishi katika uzee wao, nilipoona vijana hawana ajira, nilipoona mabinti wasichana wadogo wameamua kufanya biashara ya ukahaba, NIKATAFAKARI,TENA NIKATAFAKARI, dhahabu zetu, almasi yetu, Milima na mabonde yetu, Tanzaninte yetu, samaki wetu, Uranium yetu, makaa ya mawe yetu, utalii wetu, ardhi na kilimo chetu na zaidi utu na mahusiano yetu.
Na sasa siwezi kukaa kimya tena. NI afadhali vita inayotafuta haki na usawa kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu. Na katika msingi huu hofu na mashaka vimekosa thamani kwangu, sitamwogopa mtu yoyote, mwenye silaha yoyote, mwenye cheo chochote na wala sitaogopa jela yoyote katika kupigania haki, utu wa kweli katika jamii yangu.
Wanafikiri wataendelea kutuogopesha kwa sababu wana jela na silaha, wanafikiri tutaendelea kuabudu uoga, wanafikiri wataendela kutunyanyasabila sababu ya msingi LAKINI SISI TUNAJUA TUTASHINDA KWA SABABU HAKI TUNAYOIPIGANIA NI MAKUSUDI YA MWENYEZI MUNGU.
Leo nitakwenda jela kwa hiari yangu binafsi kwa siku kadhaa na si kwa NIA YA KUJITAFUTIA UTUKUFU WANGU bali ," JELA NI MAHALI PA KUISHI KAMA SABABU YA KWENDA HUKO NI VITA DHIDI YA UONEVU, UKANDAMIZAJI WA HAKI NA UTU WA BINADAMU.
Kila mara nilipotishiwa nikagundua wanaonitishia, wananitishia kwa jela na mauti. Na mimi nikagundua na nikatambua ni afadhali kuishi miaka hamsini jela huku sababu ikiwa ni kupinga uonevu na ukandamizaji kuliko maisha ya woga na anasa yasiyo na kusudi katika kutetea utu na heshima ya mwanadamu mwenzangu.
Wale mlionitishia kunipeleka jela sasa nimetangulia kwa hiari yangu na wale mliobaki msiogope jela endeleeni kupigania ukombozi utakaoleta usawa katika nchi yenu.
Watakaotubeza na kututukana wasameheni kwani wanahitaji ukombozi wa fikra, watakaotupongeza na kutuonea huruma wafundisheni ujasiri na waambieni mapambano bado yanaendelea tunahitaji umoja wao. Nitarudi mapema.
MSIOGOPE, MSIOGOPE, MSIOGOPE, MUNGU YUPO UPANDE WETU.
Hata kama sipo arusha, na si mwenyeji wa Arusha I wish we could have ten people like him, Tanzania yenye Neema Ingepatikana kwa vyovyote vile.........
Let him have long life and lets wait if he is going to behave contrary......
Uko KIBOSHO halafu unajifanya uko Arusha.
Acha maigizo wewe, huijui Arusha kuzidi sisi wazawa wa hapa!
Hujui Adha tunazopata kwa kukosa mwakilishi sahihi bungeni!!