CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

leo nipo ARUSHA,nilipita miaka 4 iliyopita naona mji umezidi kuzorota.

Unayajua majukumu ya mbunge? Na kama kipimo chako ndio hicho nenda morogoro mjini ukawaambie wasimchague tena Abood maana mji wao umedorora kwa miaka (nimekupa mf m1 ipo zaid ya 100)
 
Lema hawezi kuwa mbunge wa arusha tena tumemchoka ametuharibia mji wetu
 
Nyie mnaosema Lema hafai mnajidanganya ..hamna hoja za msingi semeni ahadi ambazo hazijatimizwa ni zipi? Co Maneno dry ..Lema ndo chaguo letu wana Arusha.
 
Arusha mji wa kikamanda magamba mwisho monduli tena kwavile wamasai elim ya uraia imechelewa na kuwaapiza kimila
 
Mkuu labda arusha ya kuzimu kwenu huko(magambani), Lkn sio hii Arusha ninayoijua mimi ya kaskazini mwa Tz.Njoo uzungumze utumbo huu Arusha mjini kama kuna rangi utaacha kuiona.
 
Back
Top Bottom