CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

Ccm kwisha habari yenu kumbe mnamgwaya Lema kiasi hicho. Hahahaaaa, Rip Ccm Arusha
 
Ccm kwisha habari yenu kumbe mnamgwaya Lema kiasi hicho. Hahahaaaa, Rip Ccm Arusha

Soma habari vizuri, LEMA anaondolewa na wana CHADEMA wenzie! CCM haihusiki hapa.

CCM kazi yake ni kuwaletea maendeleo watanzania sio kupiga porojo za kisiasa.
 
kwa taarifa tu. arusha hakuna maendeleo zaidi tunayotaka. lema afanye asifanye. tayari arusha kuna lami karibia mitaa yote maji shule zenye maabara umeme mahosipitali hoteli nyingi za kitalii. arusha ndio jiji linaloongoza kwa urahisi wa kupata hela. hakuna tunachoitaji arusha zaidi ya kulinda na kusimamia haki za wana arusha na kusimamia mapato na matumizi ndani ya arusha. maendeleo kaulizeni wakina komba olemedeye na wengine wengi wa ccm. wananchi wa arusha ndio cc lema hoooooooyeeeeeeee.
 
Uko KIBOSHO halafu unajifanya uko Arusha.

Acha maigizo wewe, huijui Arusha kuzidi sisi wazawa wa hapa!

Hujui Adha tunazopata kwa kukosa mwakilishi sahihi bungeni!!
 
Wewe na MBOWE nani anayejua majaliwa ya LEMA?

Allan
hivi anayemuondoa Ubunge Lema ni chadema ama wananchi wakaazi wa Arusha?

Subiri sinema ana madiwani 17, wenyeviti wa kumwaga,na Naibu Meya subiri 2015, kauli yako itakoma kama ya Nape Nnauye wakati wa kura za uchaguzi wa marudio ya udiwani
 
MSALANI huwa unapenda kutukanwa ee?? Movie za kigaidi Part II zimeshtukiwa sasa unakuja na porojo za kijinga ili upate attention ... Lema atakuwa Mbunge wa Kudumu ndani ya A-town ... chini ya Lema CCM imewekwa kwenye Museum ..
 
ungetaka mwakilishi sahihi ungeanzia kuiondoa ccm. kuanzia mkulu mpaka ten house.
Uko KIBOSHO halafu unajifanya uko Arusha.

Acha maigizo wewe, huijui Arusha kuzidi sisi wazawa wa hapa!

Hujui Adha tunazopata kwa kukosa mwakilishi sahihi bungeni!!
 
MSALANI huwa unapenda kutukanwa ee?? Movie za kigaidi Part II zimeshtukiwa sasa unakuja na porojo za kijinga ili upate attention ... Lema atakuwa Mbunge wa Kudumu ndani ya A-town ... chini ya Lema CCM imewekwa kwenye Museum ..

Unapingana na Mbowe?
 
Wewe wafanyie kazi zao, muda ukiisha watakutupa kama yule aliyekuwa muuza maneno kabla ya Nape.
 
"hakuna dhambi kubwa kama dhambi ya uoga"-Lema,nami naongeza ndani ya dhambi ya uoga kuna unafski,huu ndio unafksi utakao waongopea wazandiki
 
MUSSA ALLAN

Research umefanya lini kuonyesha kuwa wapiga kura wengi wamefurahishwa na huu upuuzi wako?
 
Last edited by a moderator:
Muache kiongozi wa taifa aingoze Arusha waliokutuma kawaambie Lema anakubarika nchi nzima si Arusha tu! Ngombe mufu wewe

Avatar yako tu mkuu! Naona chief wa Gombe, mzee wa koti mpishano wa vifungo!
 
Hivi lema alikuwa na kazi gani hapo awali. ? Ni ile ile aliyosemaga kamanda zombe au? Lema ni miongoni mwa mizigo
 
Wanachadema Arusha hovyo kabisa,

Hamjui hata habari za ndani za chama chenu?

Jana baada ya mkutano na wadau pale CORRIDOR SPRINGS Mbowe alifanya kikao cha siri na viongozi wa CHADEMA pale SAFARI Hotel na haya ndio yaliyojiri!
ba wewe umejiona umefungua thread.

Swissme
 
Wanachadema Arusha hovyo kabisa,

Hamjui hata habari za ndani za chama chenu?

Jana baada ya mkutano na wadau pale CORRIDOR SPRINGS Mbowe alifanya kikao cha siri na viongozi wa CHADEMA pale SAFARI Hotel na haya ndio yaliyojiri!
Vizuri kama wamefanya hivyo mimi mwenyewe tarudi Arusha kuwekeza nilikuwa nahofia fujo na maandamano yasiyokuwa na tija yeyote.
 
Msalani, Umekuwa lini Nape wa Chadema? Shughulikia CCM ambayo ila uchao inakufa mioyoni mwa maelfu ya Watanzania!
 
Back
Top Bottom