CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

unachozungumza ni sawa na kusema Bacelona hawamtaki Messi. sisi kina gogo la shamba tulishasema Lema ni Messi wa Arusha
 
Lema ametia aibu sana Arusha. uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo sana. Waliomchagua Lema nina wasiwasi na utimamu wao wa akili

Mkuu hata sisi huku moshi vijijini tunajuta kumchagua Cyril Chami.. Hakuna alichofanya kajichimbia huko mjini
 
Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!

Hizi ni habari zenye uhakika 100% nilizozipata kutoka ndani ya CHADEMA na zikathibitishwa na mmoja wa viongozi wakuu hapa mkoani.

CHADEMA kupitia mwenyekiti wao wameongea na Mbunge wa Arusha mjini Bw Godbless J Lema na kumuomba asigombee tena ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama hicho.

Wapiga Kura wengi wa Arusha mjini wamefurahishwa na habari hizi kwani wengi wao wamechoshwa na vituko vya Mh.LEMA na sasa wanataka maendeleo.
Mkuu Musa Alani, jee ahadi zenyewe ndio hizi?, kama zinavyoelezwa na hawa wana jf wawili hapa?.

Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?

CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.

  1. Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
  2. kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
  3. Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.

Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?

CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.


Pasco
 
Vizuri kama wamefanya hivyo mimi mwenyewe tarudi Arusha kuwekeza nilikuwa nahofia fujo na maandamano yasiyokuwa na tija yeyote.

Mwekezaji gani wewe,ivi uji unaouza kila jioni mtaa wa sikukuu kariakoo pembeni mwa bendera ya ccm ndo nawe tukuite mwekezaji?
 
Lema hatufai wana Arusha kama vipi kagombee kwa kina SOCIOLIGSTTZ Ndo wanataka matapeli wa Siasa

Hakufai wewe na ukoo wako wa panya,lakini sisi wananchi na wakazi wa arusha mh lema anatufaa sana.
 
Wanachadema Arusha hovyo kabisa,

Hamjui hata habari za ndani za chama chenu?

Jana baada ya mkutano na wadau pale CORRIDOR SPRINGS Mbowe alifanya kikao cha siri na viongozi wa CHADEMA pale SAFARI Hotel na haya ndio yaliyojiri!

Ovyooo wana ccm kuendelea kubaki na chama kinacho waibia rasilimali zao na kodi zao
 
MUSSA ALLAN


Lema ni litapeli lisilojielewa kabisa. amedhulumu watu wengi sana hasa wa jimboni. amemdhulumu 4m aliyekuwa mpiga debe wake aitwae Jackson baada ya kumtengenezea gari yake na hakumlipa chochote. amedhulumu hoteli ya sterio arusha baada ya kulala na michepuko yake bila kulipa chochote. vituo mbalimbali vya mafuta arusha vinalia kwa mambo anayowafanyia. amedhulumu kampuni inayoitwa Senkondo's export and import co ltd inayojihusisha na clearing ni fowarding na sasa anafanya biashara ya kuzungusha magari ya transit na kuonga maofisa custom pale tunduma ili wamka nselie bond.

Kwa kifupi jamaa hana uadilifu hata chembe. zaidi amewatapeli wana arusha mambo mengi sana zikiwepo ambulance na trector toka uingerrza.
 
Last edited by a moderator:
Lema akiamua kugombea Ubunge Chalinze mtaani kwa Baba Liz bado atashinda vibaya sana.
 
Habari imeletwa kama tetesi, ndani mleta habari anasema ana uhakika 100%.. Chief mbona wanichanganya ??
 
Lema sio Malaika ni mwanadamu kama sisi ana udhaifu na mapungufu yake kibao hilo baadhi ya Wana-CHADEMA wamefumba macho wasione na kuziba masikio wasisikie.



Tuwe wa kweli,Hizi taarifa za Godbess Lema kwenda HAI mbona zimezagaa Arusha mjini na ni za kitambo tu?
 
Vizuri kama wamefanya hivyo mimi mwenyewe tarudi Arusha kuwekeza nilikuwa nahofia fujo na maandamano yasiyokuwa na tija yeyote.

Karibu sana Mkuu, siasa za fujo na visasi sasa zimefikia ukingoni Arusha.
 
Muache kiongozi wa taifa aingoze Arusha waliokutuma kawaambie Lema anakubarika nchi nzima si Arusha tu! Ngombe mufu wewe

si kweli mzee, mi ni mkazi wa Arusha mjini,MH Lema 2010 hata mimi nilimpa kura ila 2015 hapati tena ,si mimi tu ni watu kibao hatumpiiiiiiiiiiiiii tena hakuna alichofanya Arusha kumrudishia ubunge ni zero wisdom yule.
 
Back
Top Bottom