CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

Arusha inamhitaji Lema kuliko wakati mwingine wowote ule, CCM sahauni tena Arusha, hata chadema ikiweka mtoto mchanga ashindane na.JK mtoto ataibuka mshindi
 
Lema kiboko bwana we mwandishi acha kupamba sana hata ikitokea ukaona hivo unavyofiki ni mbinu za kuwachapa wahun ccm.
 
arusha tumechoka hatuwez kuongozwa na jmbaz anashindwa kutatua matatzo ya wananachi kazi yake nikujipeleka jela na kushnda mahakamani hakuna cha maana alicho tufanyia zaidi ya maandamano,naaondoke hatuwez kuendelea kuongozwa na wakuja wakat wazawa wapo
Mzawa ni nani na wakuja ni nani? Soma katiba ya nchi yetu kama inasema hivyo.....,
Arusha ni ya Watanzania wote kama una chuki zako hama ukatafute sehemu nyingine ya kukaaa lakini penda usipende mbunge wako atakuwa Lema hadi amalize miaka 50.
 
Mnaonekana jinsigani mulivyo mashabiki hata habali ikiwa sahihi amuiungi mkono msifuate mkumbo kamaafai apishe wenzie uo ndio uzalendo
 
leo nipo ARUSHA,nilipita miaka 4 iliyopita naona mji umezidi kuzorota.
 
Halafu nashindwa waelewa Gemu ya wapinzani mnaielewa sana kuliko ya kwenu sio?

Mbona yasemekana Peter Serukamba anaenda Kigoma kaskazini na Zitto Z. Kabwe anarudi. Kigoma town hapo kwa wazee wa. Dubai ya afrika?
 
Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!

Hizi ni habari zenye uhakika 100% nilizozipata kutoka ndani ya CHADEMA na zikathibitishwa na mmoja wa viongozi wakuu hapa mkoani.

CHADEMA kupitia mwenyekiti wao wameongea na Mbunge wa Arusha mjini Bw Godbless J Lema na kumuomba asigombee tena ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama hicho.

Habari zaidi zinasema, CHADEMA wamefikia hatua hiyo baada ya kugundua kuwa wakazi wa Arusha mjini hawana tena Imani na Bw.Lema baada ya LEMA kushindwa kutimiza karibia asilimia 98 ya ahadi zake kwa wana Arusha, Kwahiyo kama angegombea angeshindwa vibaya na hivyo kuwa ni aibu kwa chama hicho, ukichukulia kuwa wameshatangaza kuwa Arusha mjini ni ngome yao.

Suala lingine lililosababisha CHADEMA kumuondoa LEMA ni hili la wanachama wengi wa CHADEMA ambao nao ni viongozi katika ngazi za chini kuonyesha wazi kupingana na uongozi wa Mbunge huyu! Kwa mfano kijana wa CHADEMA siku nyingi Bw.Noel Ole Veroya kutangaza Nia ya kumn'goa LEMA Arusha. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na siasa za fujo alizosiasisi Ndg.Lema.

Suala la Ukabila nalo Limechukua nafasi yake, kwani Bw.Noel ametajwa kuwa ni mzawa wa Arusha huku Godbless LEMA akishawishiwa akagombee Jimbo la HAI(Nyumbani kwao) kwani Mbowe anatarajiwa kuhamia jimbo la Moshi mjini.

Pia CHADEMA imemtoa wasiwasi Bw.LEMA kwamba iwapo atakosa nafasi ya Ubunge watampa cheo kama kile cha NAPE, kwahiyo hatakufa njaa hapa mjini.

Wapiga Kura wengi wa Arusha mjini wamefurahishwa na habari hizi kwani wengi wao wamechoshwa na vituko vya Mh.LEMA na sasa wanataka maendeleo.
duh..wanasiasa hakika ni kizazi cha nyoka. ukabila udini rushwa ushirikina etc. hapo mtu anataka kuondoa kisiki.
 
umeota unakunya umejinyea kweli teh!
 
Back
Top Bottom