Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,705
- 5,316
Sisi tunafuata maneno ya Mbowe sio wewe Kibaraka!
Kama maneno ya Mbowe unayafuata na kuyaamini basi jiandae kwa gwanda mkuu.
Sisi tunafuata maneno ya Mbowe sio wewe Kibaraka!
Mods, naona kazi imewashinda kiasi cha kuruhusu hata wagonjwa wa akili kuja na taarifa za kipuuzi kama hizi hapa jamvini!Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!
Hizi ni habari zenye uhakika 100% nilizozipata kutoka ndani ya CHADEMA na zikathibitishwa na mmoja wa viongozi wakuu hapa mkoani.
CHADEMA kupitia mwenyekiti wao wameongea na Mbunge wa Arusha mjini Bw Godbless J Lema na kumuomba asigombee tena ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama hicho.
Habari zaidi zinasema, CHADEMA wamefikia hatua hiyo baada ya kugundua kuwa wakazi wa Arusha mjini hawana tena Imani na Bw.Lema baada ya LEMA kushindwa kutimiza karibia asilimia 98 ya ahadi zake kwa wana Arusha, Kwahiyo kama angegombea angeshindwa vibaya na hivyo kuwa ni aibu kwa chama hicho, ukichukulia kuwa wameshatangaza kuwa Arusha mjini ni ngome yao.
Suala lingine lililosababisha CHADEMA kumuondoa LEMA ni hili la wanachama wengi wa CHADEMA ambao nao ni viongozi katika ngazi za chini kuonyesha wazi kupingana na uongozi wa Mbunge huyu! Kwa mfano kijana wa CHADEMA siku nyingi Bw.Noel Ole Veroya kutangaza Nia ya kumn'goa LEMA Arusha. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na siasa za fujo alizosiasisi Ndg.Lema.
Suala la Ukabila nalo Limechukua nafasi yake, kwani Bw.Noel ametajwa kuwa ni mzawa wa Arusha huku Godbless LEMA akishawishiwa akagombee Jimbo la HAI(Nyumbani kwao) kwani Mbowe anatarajiwa kuhamia jimbo la Moshi mjini.
Pia CHADEMA imemtoa wasiwasi Bw.LEMA kwamba iwapo atakosa nafasi ya Ubunge watampa cheo kama kile cha NAPE, kwahiyo hatakufa njaa hapa mjini.
Wapiga Kura wengi wa Arusha mjini wamefurahishwa na habari hizi kwani wengi wao wamechoshwa na vituko vya Mh.LEMA na sasa wanataka maendeleo.
Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!

Wanachadema Arusha hovyo kabisa,
Hamjui hata habari za ndani za chama chenu?
Jana baada ya mkutano na wadau pale CORRIDOR SPRINGS Mbowe alifanya kikao cha siri na viongozi wa CHADEMA pale SAFARI Hotel na haya ndio yaliyojiri!
.....
Habari zaidi zinasema, CHADEMA wamefikia hatua hiyo baada ya kugundua kuwa wakazi wa Arusha mjini hawana tena Imani na Bw.Lema baada ya LEMA kushindwa kutimiza karibia asilimia 98 ya ahadi zake kwa wana Arusha,......
Ungetulia tu ili dawa iingie vyema. Hakuna namna.
Wanachadema Arusha hovyo kabisa,
Hamjui hata habari za ndani za chama chenu?
Jana baada ya mkutano na wadau pale CORRIDOR SPRINGS Mbowe alifanya kikao cha siri na viongozi wa CHADEMA pale SAFARI Hotel na haya ndio yaliyojiri!
Wanajamvi! Amani idumu Tanzania!
Hizi ni habari zenye uhakika 100% nilizozipata kutoka ndani ya CHADEMA na zikathibitishwa na mmoja wa viongozi wakuu hapa mkoani.
CHADEMA kupitia mwenyekiti wao wameongea na Mbunge wa Arusha mjini Bw Godbless J Lema na kumuomba asigombee tena ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia chama hicho.
Habari zaidi zinasema, CHADEMA wamefikia hatua hiyo baada ya kugundua kuwa wakazi wa Arusha mjini hawana tena Imani na Bw.Lema baada ya LEMA kushindwa kutimiza karibia asilimia 98 ya ahadi zake kwa wana Arusha, Kwahiyo kama angegombea angeshindwa vibaya na hivyo kuwa ni aibu kwa chama hicho, ukichukulia kuwa wameshatangaza kuwa Arusha mjini ni ngome yao.
Suala lingine lililosababisha CHADEMA kumuondoa LEMA ni hili la wanachama wengi wa CHADEMA ambao nao ni viongozi katika ngazi za chini kuonyesha wazi kupingana na uongozi wa Mbunge huyu! Kwa mfano kijana wa CHADEMA siku nyingi Bw.Noel Ole Veroya kutangaza Nia ya kumn'goa LEMA Arusha. Hali hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na siasa za fujo alizosiasisi Ndg.Lema.
Suala la Ukabila nalo Limechukua nafasi yake, kwani Bw.Noel ametajwa kuwa ni mzawa wa Arusha huku Godbless LEMA akishawishiwa akagombee Jimbo la HAI(Nyumbani kwao) kwani Mbowe anatarajiwa kuhamia jimbo la Moshi mjini.
Pia CHADEMA imemtoa wasiwasi Bw.LEMA kwamba iwapo atakosa nafasi ya Ubunge watampa cheo kama kile cha NAPE, kwahiyo hatakufa njaa hapa mjini.
Wapiga Kura wengi wa Arusha mjini wamefurahishwa na habari hizi kwani wengi wao wamechoshwa na vituko vya Mh.LEMA na sasa wanataka maendeleo.
Huna mpya zaidi ya uwakala wa vifo!Ungetulia tu ili dawa iingie vyema. Hakuna namna.
ha ha ha ...
CHADEMA wanampeleka akatumikie jimbo la nyumbani kwao Machame!
Story zakutunga huku umechuchuma. ChooniWanajamvi! Amani idumu Tanzania!