CHADEMA kumbe bado mpo Geita hadi Chato, hongereni sana

Nimeona ofisi zenu na wanachama wa kutosha hapo Geita mjini, hongereni sana akina bwashee.

Kadhalika nimeona mbwembwe zenu kule Chato mkiongozwa na mwanamama Husna, hongereni sana. Lindeni rasilimali mlizoachiwa na mwendazake Magufuli wakati serikali ikiendelea kutafakari ombi lenu la kupewa mkoa.

Sikutarajia Chadema kuwa "inaishi" huko Geita, hongera Upendo Peneza.

Kazi Iendelee.
Asante john kwa kuona kwajicho la tatu.
 
Umeandika kwa hisia sana mkuu
Mkuu, sikuikubali hata kidogo staili yake ya kutuongoza kikatili, lakini nilibaki mdomo wazi baada ya kuyajua ya Chato. Mtu anadiriki kuvunja sheria ili apeleke miradi ya kutosha kwao, lakini nduguze wanazidi kumchukia kuliko hata tuliotengwa!
 
Nimeona ofisi zenu na wanachama wa kutosha hapo Geita mjini, hongereni sana akina bwashee.

Kadhalika nimeona mbwembwe zenu kule Chato mkiongozwa na mwanamama Husna, hongereni sana. Lindeni rasilimali mlizoachiwa na mwendazake Magufuli wakati serikali ikiendelea kutafakari ombi lenu la kupewa mkoa.

Sikutarajia Chadema kuwa "inaishi" huko Geita, hongera Upendo Peneza.

Kazi Iendelee.

Vipi TLP, NCCR, CUF, UMD na vile vyama rafiki hukuviona huko?
 
Nimeona ofisi zenu na wanachama wa kutosha hapo Geita mjini, hongereni sana akina bwashee.

Kadhalika nimeona mbwembwe zenu kule Chato mkiongozwa na mwanamama Husna, hongereni sana. Lindeni rasilimali mlizoachiwa na mwendazake Magufuli wakati serikali ikiendelea kutafakari ombi lenu la kupewa mkoa.

Sikutarajia Chadema kuwa "inaishi" huko Geita, hongera Upendo Peneza.

Kazi Iendelee.
Chadema is not only physical but also Holly by existence.
 
Kati ya wilaya ambazo upinzani upo wa kutosha, Chato ni miongoni.

Na nikuibie siri tu kuwa katika wilaya ambazo mwendazake hakukubalika, Chato inaweza kuingia top five, hadi watu walisherehekea kifo chake! Ubinadamu kazi sana bora umfadhili mbuzi tu. Chato ilitakiwa wamuone ni heaven sent! Mtu unachukiwa hadi na ndugu dah! Anyway, sijui chanzo cha hayo yote, ila huo ndio uhalisia.
Siri ya mtungi aijuaye Ni kata! Happy ndo wanamjua mwendazake nje ndani. Kwa hiyo usishangae kwanini walimchukia.
 
Na itaendelea kuishi..

Utaiacha iko hai kama alivyoiacha mwendazake aliyejigamba kuizika badala yake akazikwa yeye.

Mojawapo ya mambo ambavyo yanamtambulisha aina ya mwanadamu aliyeshindwa maisha na Pia kuwa Ni wa ajabu, Ni Hii ya kuzungumzia marehemu ili kutimiza faraja ya moyo Wake. Ni Aibu.
 
Nimeona ofisi zenu na wanachama wa kutosha hapo Geita mjini, hongereni sana akina bwashee.

Kadhalika nimeona mbwembwe zenu kule Chato mkiongozwa na mwanamama Husna, hongereni sana. Lindeni rasilimali mlizoachiwa na mwendazake Magufuli wakati serikali ikiendelea kutafakari ombi lenu la kupewa mkoa.

Sikutarajia Chadema kuwa "inaishi" huko Geita, hongera Upendo Peneza.

Kazi Iendelee.
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
 
Kati ya wilaya ambazo upinzani upo wa kutosha, Chato ni miongoni.

Na nikuibie siri tu kuwa katika wilaya ambazo mwendazake hakukubalika, Chato inaweza kuingia top five, hadi watu walisherehekea kifo chake! Ubinadamu kazi sana bora umfadhili mbuzi tu. Chato ilitakiwa wamuone ni heaven sent! Mtu unachukiwa hadi na ndugu dah! Anyway, sijui chanzo cha hayo yote, ila huo ndio uhalisia.
Alipasua jeneza kwashoka mbeleyao watampendaje
 
Yafaa tupelek

Yaafaa tupeleke hoja ya mswaada wa hati ya dharura elimu ya ngumbaru ifutwe nchini kwani inatengeneza watu wanao chafua nchi kwa mawazo na fikra zao.
 
Mojawapo ya mambo ambavyo yanamtambulisha aina ya mwanadamu aliyeshindwa maisha na Pia kuwa Ni wa ajabu, Ni Hii ya kuzungumzia marehemu ili kutimiza faraja ya moyo Wake. Ni Aibu.
Mada inahusu uwepo wa CHADEMA, nikakumbushia aliyejitapa kuizika(kama yupo mwingine tofauti na marehemu naomba unitajie), wewe unaona ni nongwa.

Nitamtaja kwa kila jambo ambalo linamuhusu
 
Nimeona ofisi zenu na wanachama wa kutosha hapo Geita mjini, hongereni sana akina bwashee.

Kadhalika nimeona mbwembwe zenu kule Chato mkiongozwa na mwanamama Husna, hongereni sana. Lindeni rasilimali mlizoachiwa na mwendazake Magufuli wakati serikali ikiendelea kutafakari ombi lenu la kupewa mkoa.

Sikutarajia Chadema kuwa "inaishi" huko Geita, hongera Upendo Peneza.
Umepelekwa tena Geita, mbona Dom wamekutoa?
 
Kati ya wilaya ambazo upinzani upo wa kutosha, Chato ni miongoni.

Na nikuibie siri tu kuwa katika wilaya ambazo mwendazake hakukubalika, Chato inaweza kuingia top five, hadi watu walisherehekea kifo chake! Ubinadamu kazi sana bora umfadhili mbuzi tu. Chato ilitakiwa wamuone ni heaven sent! Mtu unachukiwa hadi na ndugu dah! Anyway, sijui chanzo cha hayo yote, ila huo ndio uhalisia.
Watanzania hawapendi Udikteta hata kama ni Ndugu yao
 
Back
Top Bottom