CHADEMA kukutana na wanahabari leo mchana

CHADEMA kukutana na wanahabari leo mchana

Mkuu, kwa nini unasema hayatuhusu? Chadema ni kama shetani na adui wa taifa. Lazima tufuatilie kila anachofanya ili asituvurugie amani yetu

duuh leo lazma upate zaid ya buku 7......hv hata kutumia akl kdogo kujua kuwa kuongezeka kwa gap kat ya low income earners vs high income earners ndo inasababisha mivutano nchini.....!!

Hata kujua yule dhaifu kashawah kusema ana majina ya wauza madawa ya kulevya lkn ndo kwanza biashara imeshimiri na hakuna kinachofanyka.......!!

Ungekuwa na akl znazokutosha ungesubr wakasema hayo wanayohtj kusema ndo ujenge arguments zako.....unawaza kwa kutumia makalio wewe
 
Wanataka kutuambia watatupia chopa kumi Kalenga

chris siulisema utagombea ubunge kalenga?
Unaogopa kwenda iringa kwasababu ulikula rambirambi?au unakijua chama chako ni cha ukoo?ww hutakaa kuwa hata mwenyekiti wa kijiji

bi.Grace kiboko yenu
 
Chadema tumeshawazoe na MATAMKO yao yasiyo na kichwa wala miguu...
 
CHADEMA kufanya press conference leo saa 7 mchana. Wakati wa kipindi cha yasemavyo magazeti leo asubuhi, zimetoka habari kuwa uongozi wa CHADEMA leo mchana utakuwa na mkutano na wanahabari makao makuu ya chama.

Kitakachozungumzwa tuvute subira!

Tumesha wa choka! Wala hatuna hamu ya kusikiliza ipuuzi wao,wao watilie tu kabiri lao lonawakaribia.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
images.jpg
 
chris siulisema utagombea ubunge kalenga?
Unaogopa kwenda iringa kwasababu ulikula rambirambi?au unakijua chama chako ni cha ukoo?ww hutakaa kuwa hata mwenyekiti wa kijiji

bi.Grace kiboko yenu

unacheza na ccm nini ? Huyo atatumikishwa mpaka atakapochukuliwa na mungu .
 
Lizaboni na Msalani wakati mwingine jaribuni kuilinda hadhi ya JF. tujadili hoja kadri ilivyoletwe. mara nyingi naona mnakuja na maneno yanayotia karaha. nikiamini anayeweza kuandika maandishi yakasomeka ni mtu mzima; tujaribu kama staha yetu ilivyo tuchangie kufuata hoja ili wengine wajivunze toka kwetu.

Haipendezi kuja na maneno kama MBURURA HAO; vichwa vyao havina akili. nk. ni baadhi ya meneno ambayo yanatoka kwenu. STAHA TAFADHALI
 
Mkuu, kwa nini unasema hayatuhusu? Chadema ni kama shetani na adui wa taifa. Lazima tufuatilie kila anachofanya ili asituvurugie amani yetu

Sio asivuruge amani yetu bali asiwavurugie wizi wenu.
 
Chadema waliwahi kutoa siku saba waziri wa elimu ajiuzulu. La sivyo wataandamana nchi nzima. Matokeo yake waziri hakujiuzulu na hakuna maandamano wala nini. Watanzania wameshazoea porojo za CHADEMA. Hawazichukulii serious tena.

Miezi sita ya Mangula inaisha lini?
 
Mkuu, kwa nini unasema hayatuhusu? Chadema ni kama shetani na adui wa taifa. Lazima tufuatilie kila anachofanya ili asituvurugie amani yetu

Hujui usemalo!!! Poor GT maadui kwenu mafisadi wa Taifa.
 
Lizaboni na Msalani wakati mwingine jaribuni kuilinda hadhi ya JF. tujadili hoja kadri ilivyoletwe. mara nyingi naona mnakuja na maneno yanayotia karaha. nikiamini anayeweza kuandika maandishi yakasomeka ni mtu mzima; tujaribu kama staha yetu ilivyo tuchangie kufuata hoja ili wengine wajivunze toka kwetu.

Haipendezi kuja na maneno kama MBURURA HAO; vichwa vyao havina akili. nk. ni baadhi ya meneno ambayo yanatoka kwenu. STAHA TAFADHALI

Mkuu fukujima hebu jiheshimu, sijawahi kutukana mtu yeyote hapa JF, Kwakuwa kumbukumbu zipo hebu leta ushahidi wa Post yangu yeyote ambayo nimemtukana member yeyote! Usinilazimishe kuwa na mawazo/mtazamo sawa na wewe!
 
Last edited by a moderator:
Kunafanyika mkutano wa waandishi wa habari hapa makao makuu ya CHADEMA moja ya maswala yanayoongelewa ni kuhusiana na maamuzi ya kamati kuu juu ya mgombea ubunge jimbo la Kalenga.

Kwanza kunafanyika utambulisho wa Mgombea aliyeteuliwa na kamati kuu Mama GRACE TENDEGA,
 
Back
Top Bottom