Mkuu, we ndo hujutambui
Ccm ndiyo hawana ofisi.wamepola majengo ya wananchi.!Ofisi gani? Kwani chadema wana ofisi?
Teh!teh!teh ccm bana!Naona Nyumbu wa Lumumba wakiongozwa na Lizaboni na MSALANI wamevamia thread kwa Speed kubwa sana.
Hawa Ma Punguani siwaonagi kabisa katika nyuzi zile Nyuzi zinavyoonyesha Serikali ilivyo kinara katika Ujangili wa kuua tembo na Faru.
Hawa ndo wale watu walioko ndani wanapiga soga tuu huku Nyumba yao inaungua wakati kuna watu kutoka mbali kabisa wanapiga kelele kuwastua kuwa Nyumba yao inaungua.
Hawa watu ni wa Kupuuzwa na kuonewa huruma kwa kuwa bado hawaja Jitambua.
watueleze matumizi ya ruzuku ya chama, watueleze operation chopa ilitumia shillings ngapi, watueleze kwa nini wameshindwa vibaya uchaguzi wa udiwani kwa kupata kata tatu tu, ..
Sasa kma waliyajua hayo zile kura za maoni walupiga za nnn????
Walitaka kulipana Posho,wanachama wamemchagua mwanasheria,Uongozi wanamtaka Mwanamke,kwani waliomchagua huyo mama hawajui kama uyo mama yupo
mtatapatapa sana vinyamkera nyie!!Tumesha wa choka! Wala hatuna hamu ya kusikiliza ipuuzi wao,wao watilie tu kabiri lao lonawakaribia.
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
Wanataka kutuambia watatupia chopa kumi Kalenga
Iringa mwaka 2010, wanachama wa CCM walimchagua Fredrick Mwakalebela, KK ya CCM, ikamuondoa na kumuweka mama Mbega. Je! CCM ni Role model wa vyama vingine? nauliza tu lakini.