WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
Tuko pamoja,
tunasubiri kwa hamu kutoka kwenye chama cha ukombozi kwa wanyonge wa nchi hii.
tunasubiri kwa hamu kutoka kwenye chama cha ukombozi kwa wanyonge wa nchi hii.
Mkuu, hakika viongozi wa CHADEMA hawaachi kulalamika
Naona Nyumbu wa Lumumba wakiongozwa na Lizaboni na MSALANI wamevamia thread kwa Speed kubwa sana.
Hawa Ma Punguani siwaonagi kabisa katika nyuzi zile Nyuzi zinavyoonyesha Serikali ilivyo kinara katika Ujangili wa kuua tembo na Faru.
Hawa ndo wale watu walioko ndani wanapiga soga tuu huku Nyumba yao inaungua wakati kuna watu kutoka mbali kabisa wanapiga kelele kuwastua kuwa Nyumba yao inaungua.
Hawa watu ni wa Kupuuzwa na kuonewa huruma kwa kuwa bado hawaja Jitambua.
Leo nitafunga ofis mapema kuwahi
press ya chama maikini.CHADEMA
kinachowajali wananchi
Mkuu, hakika viongozi wa CHADEMA hawaachi kulalamika
Chadema waliwahi kutoa siku saba waziri wa elimu ajiuzulu. La sivyo wataandamana nchi nzima. Matokeo yake waziri hakujiuzulu na hakuna maandamano wala nini. Watanzania wameshazoea porojo za CHADEMA. Hawazichukulii serious tena.
watueleze matumizi ya ruzuku ya chama, watueleze operation chopa ilitumia shillings ngapi, watueleze kwa nini wameshindwa vibaya uchaguzi wa udiwani kwa kupata kata tatu tu, ..