CHADEMA kukutana na wanahabari leo mchana

CHADEMA kukutana na wanahabari leo mchana

Kigonsela

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
24
Reaction score
10
CHADEMA kufanya press conference leo saa 7 mchana. Wakati wa kipindi cha yasemavyo magazeti leo asubuhi, zimetoka habari kuwa uongozi wa CHADEMA leo mchana utakuwa na mkutano na wanahabari makao makuu ya chama.

Kitakachozungumzwa tuvute subira!
 
chadema kufanya press conference leo saa 7 mchana. wakati wa kipindi cha yasemavyo magazeti leo asubuhi, zimetoka habari kuwa uongozi wa chadema leo mchana utakuwa na mkutano na wanahabari makao makuu ya chama. kitakachozungumzwa tuvute subira!

Lazima utakuwa ni mkutano wa kulalamika kama kawaida yao
 
Wanaenda kujikanyaga juu ya kuibaka demokrasia huko kalenga
 
Labda itakuwa tamko kuhusu hujuma ya kuunguza ofisi
 
Leo watatoa SIKU SABA kwa tume ya uchaguzi kuboresha daftari la wapiga kura.
Mkuu, kwa sasa madai hayo wameweka kiporo. Ila wakipigwa moja bila wataanza kutokwa na mapovu tena
 
Leo watatoa SIKU SABA kwa tume ya uchaguzi kuboresha daftari la wapiga kura.

Watatoa siku saba majangili yote ya meno ya tembo yakamatwe, serikali iwajibike na isikimbilie nje kutoa matamko ama kuwatishia majangili kwa mabango.
 
Back
Top Bottom