CHADEMA kukutana na wanahabari leo mchana

CHADEMA kukutana na wanahabari leo mchana

Iringa mwaka 2010, wanachama wa CCM walimchagua Fredrick Mwakalebela, KK ya CCM, ikamuondoa na kumuweka mama Mbega. Je! CCM ni Role model wa vyama vingine? nauliza tu lakini.
Kamati kuu ya CCM wasingeondosha jina la Mwakalebela ungekuta leo hii jimbo la Iringa mjini ni chini ya CCM. Msigwa alipita kiujanja ujanja tu.
 
Kamati kuu ya CCM wasingeondosha jina la Mwakalebela ungekuta leo hii jimbo la Iringa mjini ni chini ya CCM. Msigwa alipita kiujanja ujanja tu.

Vipi kuhusu nyamagana kwa bwana Lau masha.
 
Iringa mwaka 2010, wanachama wa CCM walimchagua Fredrick Mwakalebela, KK ya CCM, ikamuondoa na kumuweka mama Mbega. Je! CCM ni Role model wa vyama vingine? nauliza tu lakini.

CCM siyo Role wa vyama vingine bali vyama vyote ni matawi ya CCM
 
Hao bado kizunguzungu cha kata tatu kimewapagawisha tu, hawana jipya.
 
Kunafanyika mkutano wa waandishi wa habari hapa makao makuu ya CHADEMA moja ya maswala yanayoongelewa ni kuhusiana na maamuzi ya kamati kuu juu ya mgombea ubunge jimbo la Kalenga.

Kwanza kunafanyika utambulisho wa Mgombea aliyeteuliwa na kamati kuu Mama GRACE TENDEGA,

Kumbe ni huyu aliyesajiliwa juzi tu, hata mazoezi hajafanya but kishapewa namba...... Sifa kubwa et anajulikana! Kujulikana ndio muamue kumtema yule Mwenda aliyekitumikia chama walau hata miaka mitatu.....
 
Kwa nini wamemtosa Senkala na kumleta Grace?!

Grace anajulikana huko Kalenga kuliko Mwenda. Lakin mwenda ni wa muda kidogo ndan ya chama huyu kasajiliwa juzi.... Pia inadaiwa mwenda alipita za mkato kushinda kule iringa.
 
chadema chama makini hakiogopi mtu. mimi si mwanachama ila napenda vuguvugu la chadema
 
Chadema ni chama kinachokua kwa kasi,wakati CCM kinazidi kudidimia.Imani ya wananchi inaongezeka kwa Chadema,kila uchaguzi kura zinaongezeka ukilinganisha na chaguzi zilizopita. Hii hali inawafanya CCM kupata matumbo ya kuhara damu kila wakisikia jina Chadema,hadi wakajiita majina ya maliwatoni mf msalani. Post zao wanatoa wakiwa chooni maana CDM inawakata tumbo balaa.
Hadi 2015 CCM kwisha habari yake. Kinana(tusker baridi!): "Kwa matokeo haya sioni sababu ya kubadili daftari la wapiga kura". Likibadilishwa,wakaingia vijana wa .com, CCM itabaki kwenye vitabu vya historia kama KANU
 
Sasa hivi si ndivyo wanavyofanya akina CCM? Kuwakata watu walioshinda kura za maoni? Akina Kitila wanaposema CCM na CHADEMA wanafanana wana hoja!
 
CCM wanaleta mchezo kama wa Arumeru kwa dogo janja Nasari walivyomleta Sioi eti kuifariji familia baada ya kifo cha baba yao.Mnaufanya ubunge kuwa ubani kwa wafiwa? Wanakalenga hawatawaelewa safari hii. Kama ilivyokuwa Arumeru mlivyopigwa na Nasari,ndivyo wana Kalenga watakavyowafanya,tena kupitia kwa Dada Grace. Wanawake wanaweza,tuwape nafasi. Mh Mdee(Iron lady),Grace Kiwelu,Josephine,Rose, na wengine pigeni kambi Kalenga.
 
Back
Top Bottom