Mimi ni Israelite katika Roho.1. Zinaitwa siasa za kimachale machale, ujanja ujanja, wizi wizi nk. Huku:
Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama
2. Tulikuwa nao sana hawa ndugu zetu wa damu (wa aina ya CHADEMA , John Mnyika, JokaKuu, Proved, Elli, Rabbon, imhotep, denoo JG, Allen Kilewella na wengine) kabla ya kuanza kuadimika magomani kama Vicky.
3. Vicky na Jabali la Muziki:
"Vicky mtoto wa mama?
Vicky mbona umaeadimika?
Vicky mbona huonekani?
Hata kwenye magoma hutaki kufika?" 🎶🎼🎵
Israel ni mzaliwa wa kwanza, amebarikiwa sana.
Mungu ibariki CHADEMA,
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki ISRAEL.
Amen.