CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

Jeshi limejaa makada tupu
Benjamin, makada ni wale wazee ambao watakuambia nilipigana Comoro au Msumbiji na Kagera. Vijana waliopo sasa bado kuna wengi wasomi na wamekuwa wakitekeleza tuu amri kulingana na nature ya kazi yao.
Huwa hawahitajiki wote katika kufanya mambo!
 
Lissu akitoboa awamu hii akae atulie maake dola imeamua
 
Haki haiombwi, Usibaki nyumbani tafadhali. Jukumu la kuufurusha utawala wa IMLA/MKONO WA CHUMA liko mkononi mwako.
noReformsNoElection.PNG
 
Lissu akitoboa awamu hii akae atulie maake dola imeamua
Unafahamu anayemletea vitabu mahakamani na kumfanyia printing ya materials? Au Anaelinda chakula na maji anayoyatumia?
Usiwachukulie binadamu kama unavyowaona kwa nje; ushahidi gani wa kumnyonga Lissu?
Kama Mbowe alitangazwa ni gaidi na akapatikana na hatia ila leo anasimama mgongoni mwa Rais unadhani hiyo serikali na mahakama wako serious na mambo yao!!!
Lissu atakufa kwa natural death; anayo ulinzi zaidi ya ulinzi wa Rais wetu...nimekuibia hayo machache.
 
Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa kama Mabadiliko ya Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Namba 2 ya 2018.

Agosti 4, 2025, Jaji Hussein Mtembwa alisema kutokana na uzito wa kosa la uhaini na hofu ya mashahidi kutishiwa, ni haki kwa mashahidi raia kulindwa kwa kutotajwa majina yao, anuani wala mahali walipo katika hatua ya committal, Preliminary Inquiry (PI) na hata wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo.

Hata hivyo, Kaimu Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugemeleza Nshala amesema leo Agosti 6 kuwa sharia hiyo japo ilipitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano, haikufuata utaratibu wa kutumika.

“Bunge lilipitisha ila liliitaka Serikali kuweka utarratibu wa kuitumia, lakini haikufanya hivyo. Tumefuatilia na tumegundua kuwa sheria hiyo haikutangazwa kwenye gazeti la Serikali jambo ambalo ni kinyume cha Katiba na tumegundua kuna wafungwa 27 wamehukumiwa kunyongwa kwa sharia hiyo,” amedai Dk Nshala.

Lissu anatarajia kufikishwa tena mahakamani Agosti 13, ambapo anatarajiwa kusomewa mashitaka yake (comital) ili ahamishiwe mahakama kuu kusikiliza kesi hiyo ya uhaini.



“Bado hatujachelewa, tutamweleza jaji haya mambo yote, mambo ndiyo yameanza,” amesema Dk Nshala.
Lissu afungwe tu
 
Chadema sasa wanashinda magakamani,hiki ni Chama au kituo cha haki za binadamu?
 
Aisee Kwaio Ukishitakiwa Kwa Sheria Hii Ya Kuficha Mashahidi Ni Hakuna Kupona ? Dah
Kwaheri Jemedari Lissu.
Ccm Wamekupenda Zaidi.
Iko wazi mkuu, na mara ya mwisho alisema ana list ya watu hapo ukonga wamehukumiwa kunyongwa na hawajawahi kuwaona mashahidi.

Inasikitisha sana kiukweli
 
Chadema sasa wanashinda magakamani,hiki ni Chama au kituo cha haki za binadamu?
Mika 7:8-9
8 Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, Bwana atakuwa nuru kwangu.
9 Nitaivumilia ghadhabu ya Bwana, kwa kuwa nimemwasi; hata atakaponitetea teto langu, na kunifanyia hukumu; atanileta nje kwenye nuru, nami nitaiona haki yake.
 
maskini chadema, dah!

hadi huruma 🐒
Huruma inatakiwa kwa CCM na mashine zake za uharibifu.Kila wanachofanya wanakosea na hakuna Nia njema.Hiyo Sheria batili inawezaje kutumika na Watu wenye Akili timamu?Mnaenda kuangukia pua na No Reforms No Elections.
Pole Tlaatlaah asma tlatlaar dak'tiimà.
 
Mwamba Mwamba Mwamba

Yesu alimuuliza Petro mara tatu “ je wanipenda?”
Hakika Dunia uwanja wa fujo.
Yuda eskari yote akawauliza , mtanilipa kiasi gani mikimtoa kwenu?
Baada ya hukumu Yuda akagundua kuwa amemsaliti mtu ambaye hakusitahili kunyongwa. Akazitupa zile fedha na kwenda kujinyonga. 😭😭😭😭😭😭kweli mwamba???????
 
Hakika Dunia uwanja wa fujo.
Yuda eskari yote akawauliza , mtanilipa kiasi gani mikimtoa kwenu?
Baada ya hukumu Yuda akagundua kuwa amemsaliti mtu ambaye hakusitahili kunyongwa. Akazitupa zile fedha na kwenda kujinyonga. 😭😭😭😭😭😭kweli mwamba???????
Na Fedha alizozitupa wakatumia kununua eneo la kuzikia na yeye akawa mtu wa kwanza kuzikwa eneo hilo

Lakini Mwamba 🐼😄
 
Jihurumie Mwenyewe, watoto wako na ndugu zako kwa sheria za ovyo zinazopitishwa na wabunge wa ccm.....
Tlaatlaah hajui hili. Anashangilia ujinga huu leo hajui kuwa mitego ya namna hii hukaa hadi hufikia kipindi ikawanasa walewale walioitengeneza...🤔

Kama anataka aamini awatazame kina Humphrey Polepole, Cyprian Musiba, Ole Lengai Sabaya, Luhaga Mpina, Bernad Membe, Edward Lowassa na wengine wengi...

Walipokuwa upande ule wa udhalimu, walikula matunda ya wadhalimu na udhalimu huku wakishangilia kusema kuwa "maisha si ndiyo haya" au "tuna kula maisha kwa raha zetu"...

Leo mfumo ule wa udhalimu umeanza kuwatafuna wao wenyewe walioutengeneza au kuwapigia makofi walioubuni na sasa wanalia na kukumbuka shuka kukielekea kucha...!

Hatari..
 
Back
Top Bottom