CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

Status
Not open for further replies.
CCM ndiyo ipo mbioni kufa kifo cha mende. Ona Nape kijana mdogo kitambi utafikiria mzee wa miaka 70
 
Hakuna mgogoro, unao ushahidi?
kweli, asiye macho haambiwi tazama. Unataka ushahidi gani zaidi ya yanayotoe Arusha kwa sasa?Nashangaa unasema hakuna mgogoro wakati unasikia mvutano wa waziwazi kati ya Mbunge Lema na madiwani wake.We mgogoro unauelewaje? Au mlitaka kuua tena kama kipindi kile ndio uamini kuna mgogoro.Lakini tatizo lako umekosa elimu, so hata maana ya mgogoro huijui. Pole!
 
Hongera sana, nisaidie kuwaelimisha vijana hawa kuwalisha unga wa rutuba maana hawaelewi hata kidogo.Ukweli wanauona lakini wanajifanya vipofu,udhalimu wa viongozi wao wanauona lakini wanajifanya viziwi,ugomvi wa Arusha unadhirisha kuwanguka kwa chama hicho lakini wanajitia mabubu.Your post is very useful to the people with high IQ.
Great thinkers have to be objective. Thanx for your objectivity. Your comments are constructive.
 
hebu tuondokee hapa. nendeni mkashughulikie umeme kwanza yahani watu wanalala giza nyie mnakenua menu tu muda wote. Nendeni mkatuletee umemem, maji, barabara, elimu nzuri ndo uje hapa uongee utumbo wako.


Acha ufinyu wa mawazo. We muda wote uliokaa jamvini umefanya nini?Ni sawa na mtu aliyeishi miaka mingi lakini hakuna alichoacha na hivyo hawezi kukumbukwa kwa chocgote.Ni heri ufe ktk umri mdogo ufanye jambo la kishujaa kuliko uishi miaka mini kama kondoo.Nimetumia maelezo haya ili uelewe kuwa naweza kuwa nimejiunga leo lakini impact yangu ikawa kubwa kuliko wewe uliyemaliza karne jamvini.
 
kweli, asiye macho haambiwi tazama. Unataka ushahidi gani zaidi ya yanayotoe Arusha kwa sasa?Nashangaa unasema hakuna mgogoro wakati unasikia mvutano wa waziwazi kati ya Mbunge Lema na madiwani wake.We mgogoro unauelewaje? Au mlitaka kuua tena kama kipindi kile ndio uamini kuna mgogoro.Lakini tatizo lako umekosa elimu, so hata maana ya mgogoro huijui. Pole!

Mzee vipi mmeshayavua MAGAMBA yenu?
 
Jamani kuna mambo ya msingi ambayo ccm wanapaswa wakae chini kuangalia. kitakachowaondoa madarakani sio chadema ila ni sera ambazo zinaliweka taifa kuwa masikini na huku wananchi wakizidi kubebeshwa magunia ya gharama za maisha kama umeme wa uhakika hakuna, maji ya uhakika hakuna, huduma za afya kimeo, shule/vyuo kimeo (wanaongeza majina ya vyuo na idadi ya wanafunzi na sio kuboresha elimu). Kuhusu Chadema kufa hiyo sahau kabisa ndugu yangu hapa kinachotakiwa ni nyie CCM kurejesha imani kwa wananchi na sio kuiombea Chadema kufa. Kwani hata hiyo Chadema ikifa ndo matatizo yatakuwa yamesolve? Tatizo kubwa la CCM ni uongozi mbovu na mmejisahau sana na madaraka, kwa mfano sasahivi iko kero ya umeme, madini nk lakini CCM kama CCM mnachukua hatua gani ktk kuhakikisha hizi kero zinakwisha?

Kwa sasa mmeshachelewa saana hatuwataki tena, sisi tunataka nchi ibadilike sasa na iwe na sura mpya ktk uongozi, tumechoka na wizi wenu. CHADEMA HAIFI NG'O na Kama huipendi kasage chupa ule ama chukua kamba ujinyonge.
 
Ninyi badala ya kwenda kushughulikia matatizo mnakaa humu kuipinga CDM, kweli nyani haoni kundule, mlishazoe vya kunyonga sasa mtakiona cha moto maana nawaambieni hamna kipindi kingine cha kuongoza nchi hii, tunataka maendeleo na si kelele za kiswahili
 
asante ndgu nape kwa kuanza kuwaonyesha njia wale vipofu wasiohata na fimbo ya kuwaongoza,ukwel uko palepale ccm ikiendelea kujiimarisha nyie wana democrasia mmeanza kumalizana na kutofautiana wenyewe!!wengi wana cdm wamepewa tu mavuvuzela wapige lkn wanachoshangilia hawakijui,wakaben viongoz wenu wawaeleze utumbo uliondani ya chama chenu pengine mnaweza kuwasaidia coz mnaelekea kukata roho gafla na mtajizika wenyewe
 
Ninyi badala ya kwenda kushughulikia matatizo mnakaa humu kuipinga CDM, kweli nyani haoni kundule, mlishazoe vya kunyonga sasa mtakiona cha moto maana nawaambieni hamna kipindi kingine cha kuongoza nchi hii, tunataka maendeleo na si kelele za kiswahili
bona ww unakaa huku kuipinga ccm?jiimarishen sio mnashabikia tu viongoz wenu wanajua mziki mzito
 
utakufa wewe na ****** yako, nenda kaoge na kupigwa mswaki
Chama (kinachojiita) cha Demokrasia na Maendeleo kiko mahututi (ICU) na huenda kikafa rasmi kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.

Utafiti binafsi nilioufanya bila kushirikisha REDET wala SYNOVETE unaonesha chama hicho kukosa mwelekeo na hivyo huenda kikavurugika kabisa kutokana na uchu wa madaraka.

Hali inayoendelea Arusha ni kielelezo cha ninayoyasema.

Wiki iliyopita VUA GAMBA aliandika uhalisia wa kile alichokiona kwenye chama chake. Katika maelezo yake alidai yeye ni mwanachama wa chadema lakini HAKUBALIANI NA MUAFAKA ULIOFANYIKA ARUSHA.

Alitoa sababu zenye mashiko na kudhibitisha bila shaka yoyote kuwa kilichofanyika ARUSHA ni kwa maslahi ya wachache.

Lakini wafuasi wa chadema hapa JF walimtukana, kumpuuza na kumwita shushushu, bila hata kujaribu kutafakari ukweli wa kilichokuwemo kwenye thread. Ajabu hata Dr.KITILA MKUMBO nae akaangukia kwenye mkumbo huo wa wenzake.

Lakini mbaya zaidi MODS wakamburn.

Cha kushangaza ni kuona eti walewale waliotetea muafaka hapa jamvini wakiongozwa na TUKUTUKU eti ndio wanasimama kuungana na LEMA bila hata chembe ya aibu.

Mlisema chadema sio chama cha fujo na wanakubali muafaka, sasa mmetoka wapi leo kumtetea LEMA? Historia itawahukumu.
 
Acha mawazo mgando kijana. Uhalisia wangu haupimwi kwa kujibu picha. Take care!
''Ulusengela mka so, lukadya nyoko'' (unamwombea kifo mke mdogo wa babako, kinamchukua mamako. Hakifi ng'ooo!! CDM kife kwa manufaa ya nani? Elezaa!!
 
wanacdm acheni jazba huo ndio ukwel hata km mtabisha cdm iko hatarini tena inapumulia mashine,nyie tukanenii mkichoka lalen mkiamka tena mnaweza kuendelea km mtakuwa na akili finyu
 
Wanacdm acheni jazba huo ndo ukwel cdm iko hatarini tena inapumulia mashine,nyie tukaneniii mkichoka lalen mkiamka mnaweza kuendelea km mtakuwa na akili finyu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom