CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NAPENDA MASASI, Jun 28, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. N

  NAPENDA MASASI Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama (kinachojiita) cha Demokrasia na Maendeleo kiko mahututi (ICU) na huenda kikafa rasmi kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015.

  Utafiti binafsi nilioufanya bila kushirikisha REDET wala SYNOVETE unaonesha chama hicho kukosa mwelekeo na hivyo huenda kikavurugika kabisa kutokana na uchu wa madaraka.

  Hali inayoendelea Arusha ni kielelezo cha ninayoyasema.

  Wiki iliyopita VUA GAMBA aliandika uhalisia wa kile alichokiona kwenye chama chake. Katika maelezo yake alidai yeye ni mwanachama wa chadema lakini HAKUBALIANI NA MUAFAKA ULIOFANYIKA ARUSHA.

  Alitoa sababu zenye mashiko na kudhibitisha bila shaka yoyote kuwa kilichofanyika ARUSHA ni kwa maslahi ya wachache.

  Lakini wafuasi wa chadema hapa JF walimtukana, kumpuuza na kumwita shushushu, bila hata kujaribu kutafakari ukweli wa kilichokuwemo kwenye thread. Ajabu hata Dr.KITILA MKUMBO nae akaangukia kwenye mkumbo huo wa wenzake.

  Lakini mbaya zaidi MODS wakamburn.

  Cha kushangaza ni kuona eti walewale waliotetea muafaka hapa jamvini wakiongozwa na TUKUTUKU eti ndio wanasimama kuungana na LEMA bila hata chembe ya aibu.

  Mlisema chadema sio chama cha fujo na wanakubali muafaka, sasa mmetoka wapi leo kumtetea LEMA? Historia itawahukumu.
   
 2. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Pigeni majungu wakati wenzenu wanajiandaa kuchukua nchi
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Pumba bin Crap
   
 4. N

  NAPENDA MASASI Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanachukua nchi baada ya chama kufa au? Maana migogoro inayoendelea baina ya viongozi inaashiria mwisho wa chama.
   
 5. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Join Date : 28th June 2011
  Posts : 1
  Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0
  karibu sana jamvini
   
 6. N

  NAPENDA MASASI Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aibu kwa mtu anayejiita great thinker kushindwa kuargue na kuishia kusema (kwa unyonge) eti pumba.Fellow tafuta jukwaa lingine maana upeo wako ni mdogo sana huwezi kuwa hapa JF.
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Ila Nape NNauye unajishushia hadhi cheo chaako kikubwa punguza mda unaoutumia hapa JF adui yako sio CDM ni ubovu wa mfumo wa kiuongozi ndani ya chama chako ukimaliza kukisafisha nenda CCJ kaifufue
   
 8. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  manajibizana na zuzu,hajapewa leo hela ya chai
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0

  Join Date : 28th June 2011
  Posts : 2
  Thanks 0
  Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0


  duh huyu jamaa kajiunga leo

  yaani jamaa kama hawa ndiyo wanamharibia nape political future yake

  sijui hata nichangie nini humu , wacha nipotezee tuu
   
 10. K

  Kitwanad Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi NAPE, mgogoro wenu ule wa arusha ulikuwa ndio mwisho wa ccm? migogoro yote iliyotokea katika chama chako cha mafisadi ndio mwisho wenu? well, utaona tatizo hili litakavyoshughulikiwa na chama cha ukombozi (toka kwa makaburu weusi)-cdm kitakavyoshlishughulikia tatizo hilo. mambo yatakaa vizuri....2015 cdm itachukua nchi.jiandaeni kuwa wapinzani.nifikishie salamu kwa JK:mwambie asije akasuka mipango ya kuiibia nchi kuelekea uchaguzi 2015...safari hii ataozea keko.nawasilisha.
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  [​IMG]
   
 12. N

  NAPENDA MASASI Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha ufinyu wa mawazo. We muda wote uliokaa jamvini umefanya nini?Ni sawa na mtu aliyeishi miaka mingi lakini hakuna alichoacha na hivyo hawezi kukumbukwa kwa chocgote.Ni heri ufe ktk umri mdogo ufanye jambo la kishujaa kuliko uishi miaka mini kama kondoo.Nimetumia maelezo haya ili uelewe kuwa naweza kuwa nimejiunga leo lakini impact yangu ikawa kubwa kuliko wewe uliyemaliza karne jamvini.
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  ila wewe ni mwenyeji hapa, etiee?
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  [h=5]0 Friends[/h] NAPE MASASI has not made any friends yet
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Chadema kama chama cha siasa kinaweza kufa,lakini kwa bahati mbaya akiwezi kufa kama unavyotaka!kwa nini unataka kife kabla ya uchaguzi wa 2015?unataka CCM ipate ushindi wa kisindo?unataka ufisadi uendelee kwa kasi mpya?hilo ni dua la kuu kamwe haliwezi kumpata mwewe!!!
   
 16. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Tunashukuru kwa kujiweka wazi ndugu VUA GAMBA. Baada ya kupigwa ban wiki iliyopita umeamua kujiunga leo kwa jina lingine la NAPE MASASI ili uendeleze uzushi wako hapa. Hauna lolote kwa kujifanya eti mwanaCDM umeonyesha tayari uko hapa kumtumikia nani kwenye hilo jina lako jipya!....njaa mbaya sana!
   
 17. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,203
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Yani we kijana unaroho nzuri sana! umejiunga leo ili kutujuza hayo tu? Ina maana bila wewe tusingepata hiyo habari. Hongera mwanangu kwakuwa na akili kinyumenyume!! Lakini ni kusaidie habari yako ni sahihi kabisa ila ulichokosea ni herufi tu, badala ya ccm aumeandika cdm! Niherufi moja tu uliyoikose,jitahidi kuwa makini!! Karibu jf.
   
 18. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  O.k kumbe unataka uandike jambo lolote ili ukumbukwe,kama ni hivyo basi umefikia malengo yako!!hongera kwa hilo mkuu!!
   
 19. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kama VUA GAMBA alikula BAN nawewe umejiunga leo,unaweza kutushawishije kwamba wewe siye na kwa maneno yako unaonekana sio mgeni humu?Angalia pia post zako zisipokua na mashiko unakula BAN tu.
   
 20. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Du! kweli nyani haonikundule.
  Hivi chama kinachokata roho ni kipi kama sioCCM?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...