alberaps
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,568
- 1,002
Acha ufinyu wa mawazo. We muda wote uliokaa jamvini umefanya nini?Ni sawa na mtu aliyeishi miaka mingi lakini hakuna alichoacha na hivyo hawezi kukumbukwa kwa chocgote.Ni heri ufe ktk umri mdogo ufanye jambo la kishujaa kuliko uishi miaka mini kama kondoo.Nimetumia maelezo haya ili uelewe kuwa naweza kuwa nimejiunga leo lakini impact yangu ikawa kubwa kuliko wewe uliyemaliza karne jamvini.
Punguza Jazba, Vuta Pumzi Kidogo alafu andika tena hii thread ukitueleza maana ya hayo maneno yenye rangi nyekundu.
Tatizo la kukaririshwa Imani ya wengine bwana!