CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

Status
Not open for further replies.
asante ndgu nape kwa kuanza kuwaonyesha njia wale vipofu wasiohata na fimbo ya kuwaongoza,ukwel uko palepale ccm ikiendelea kujiimarisha nyie wana democrasia mmeanza kumalizana na kutofautiana wenyewe!!wengi wana cdm wamepewa tu mavuvuzela wapige lkn wanachoshangilia hawakijui,wakaben viongoz wenu wawaeleze utumbo uliondani ya chama chenu pengine mnaweza kuwasaidia coz mnaelekea kukata roho gafla na mtajizika wenyewe
KWELI KAZI WANAYO Wana CDM!! Kama mawazo ya wananch kama wewe wachache, ni kuwa cdm kife!! Ni vizuri ungetuibia siri ww unafanya kaz ofisi gani kiac kwamba hujui au kuona adha ya maisha tunayo ipata!! Unadhani isingekuwa CDM Kuibua mijadala mizito bungeni tungejua hata kidogo hiki tunachokijua cha ufisadi. Unadhani ktk ccm ni nani unayemwamini anaweza anzisha hoja nzito afu akabaki salama? Ona 6 alivyoruhusu mijadala mizito bungeni walivyomfanyia. Lakini ujue kuwa hata kikifa kama dua zako zinavyomwelekea Allah wenu, kitaibuka kingine kitakacho tutoa blanket WATZ. Najua furaha yako ni kuona mnaiba bila kukemewa. Mungu awabariki.
 
Eti wewe ndo katibu mwenezi wa chama cha majambazi?Karibu javini na pole kwa ndoto yako ya alasiri,Chadema haitakufa ila wewe ndo utakayekufa?vp ushapewa vijivyeo umekuwa zuzu namna hiyo?Baada ya nyoka kujivua GAMBA wewe ndo umekuwa KOBE?
 
Huyu B.weg.e aliyeanzisha hii Thread ananitafutia BAN tu mie,Moods Nilindeni Tafadhali
 
utakufa wewe na ****** yako, nenda kaoge na kupigwa mswaki
Hivi kweli hawa ndo wafuasi wa cdm?? Wenye kutukana hovyohovyo. Wasiojua kufikiri kabla ya kusema. Wenye kuwaka hasira pale wanapopewa hoja ya kujibu. Wenye midomo iliyojaa matusi! Wenye kupelekwa na upepo wa ushabiki bila kufikiri? Wenye uchu wa madaraka? Walio tayari kutetea dhambi mathalani tu imefanywa na chama chao??Duuh! Kama hawa ndio wafuasi basi hiki chama hakifai hata kuongoza kata, achilia mbali jimbo au nchi!
 
wanacdm acheni jazba huo ndio ukwel hata km mtabisha cdm iko hatarini tena inapumulia mashine,nyie tukanenii mkichoka lalen mkiamka tena mnaweza kuendelea km mtakuwa na akili finyu
Waache waendelee kupiga kelele huku chama kinaendelea kuoza. Siku wanaacha kelele na chama kishakufa!!
 
we mwenye jina la kitambaa kinachozuia mavi ya mtoto{nepi} embu tuambie Tunasababu gani za kukipenda Chama cha maneno?
 
Eti wewe ndo katibu mwenezi wa chama cha majambazi?Karibu javini na pole kwa ndoto yako ya alasiri,Chadema haitakufa ila wewe ndo utakayekufa?vp ushapewa vijivyeo umekuwa zuzu namna hiyo?Baada ya nyoka kujivua GAMBA wewe ndo umekuwa KOBE?
Kama chetu ni cha majambazi, bac CDM ni chama cha degedege.
 
we mwenye jina la kitambaa kinachozuia mavi ya mtoto{nepi} embu tuambie Tunasababu gani za kukipenda Chama cha maneno?
Great thinkers always argue with facts and evidence as we ccm do. Sio nyie cdm mmetunukiwa tunu ya matusi!
 
chama chako kimefulia Wadada wa viti maalum wanaliwa kama mboga Wewe mwenyewe unatumika bila uwoga Ukiona umeanzisha thread af mtu kama MMM Hajachangia ujue huna Pointi. Nepi ni kitambaa kinachozuia mavi ya mtoto yasidondoke,je we nepi unauwezo wa kuzuia CCM ISIFE kwa hoja zako nyepesi kama hizi?
 
tuambie tunasababu gani ya kukipenda chama chako?
We unaeneza nini uku? Nenda kapake poda na karolite.

Huna brain ware,nenda kwa CCM WENZAKO
 
chama chako kimefulia Wadada wa viti maalum wanaliwa kama mboga Wewe mwenyewe unatumika bila uwoga Ukiona umeanzisha thread af mtu kama MMM Hajachangia ujue huna Pointi. Nepi ni kitambaa kinachozuia mavi ya mtoto yasidondoke,je we nepi unauwezo wa kuzuia CCM ISIFE kwa hoja zako nyepesi kama hizi?
Acha ujinga wewe!! Uwezo wangu kifikra haupimwi na MMM. Kama huyo MMM ndo kipimo cha akili zenu huko cdm basi mmepotea.Never ever try to compare my thinking capacity with weak minded people!
 
angalia usije waweka rehani ndugu zako mana tunakwambia ukweli wajifanya usikii. Hata yuda alimuuza yesu lakini hela yake haikupokelewa na mtu yoyote. Na wewe uangalie mana kama alipuuzwa makamba nawe utapata ichoicho. Na bdo mapacha wanakuchemshia dawa yako ikiiva utaipata. We hujiulizi Ramadhani mapori yuko wapi? Utapelekwa atlantic wewe.
 
chama chako kimefulia Wadada wa viti maalum wanaliwa kama mboga Wewe mwenyewe unatumika bila uwoga Ukiona umeanzisha thread af mtu kama MMM Hajachangia ujue huna Pointi. Nepi ni kitambaa kinachozuia mavi ya mtoto yasidondoke,je we nepi unauwezo wa kuzuia CCM ISIFE kwa hoja zako nyepesi kama hizi?
MODs do you see this? Hivi ingekuwa imeandikwa na mwana ccm si mngeshampa barn? Au kwa kuwa ni cdm mnajifanya hamjaona huu upuuzi alioufanya!
 
kwanini haukusema chama cha magamba kinaelekea kufa unasema chadema, au we unapenda chadema ife!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom